Radi

XOXOQY

Senior Member
Feb 7, 2011
172
36
Je unazijua njia za kujikinga na radi?je unaifahamu huduma ya kwanza kwa mtu aliyepigwa na radi(katika pigo la kwanza na la pili)?je unaimani yoyote inayokutatiza kuhusu radi na ungependa kujua ukweli wa kisayansi kuhusu imani hiyo.uliza ntakujibu kadri ya uelewa wangu nilio upata darasani!
 
KUHUSU NGUO NYEKUNDU HAPANA!rangi ya kitu haina uhusiano na radi(jiulize mbona minara ya simu ambayo ni so sensitive kwa radi inapakwa rangi nyekundu?KUHUSU SIMU NDIYO!kwasababu simu ina receive na kuemit radio waves ambazo huongeza conductability ya space katika njia ya mahusiano kati ya simu ya ko na mnara!(SIO VIZURI KUFANYA MAWASILIANO YA VIFAA VINAVYO TOA RADIO WAVES KIPINDI CHA MVUA ZENYE MARADI!
 
so ukiibeba tu ikiwa on bila kufanya mawasiliano,hamna tatizo.??
 
Simu ya mkononi inakuwa katika hali ya kuwasiliana na mnara wa mtandao husika hata kama huitumii,ndio mana unaona kiwango cha network katika simu yako,So kunakuwa na radio waves ambazo zinakuwa received na simu yako.SO KAMA SIMU ITAKUA ON KAMA RADI ITAFUATA MKONDO WA WAVES HIZO SIMU YAKO INAWEZA IKADHURIKA MARANYINGINE HATA WEWE ULIYE ISHIKA.(inashauriwa kuzima simu yako kipindi cha maradi makali).
 
kwanini radi inapiga mikoani tu na haipigi Dsm?
Kiwango cha umbali kutoka katika usawa wa bahari,kinaweza kika affect uwezo wa radi,maeneo ambayo yapo mbali na usawa wa bahali(maeneo ya miinuko yanakua katika hatari ya kupigwa na radi zaidi),ndo maana maeneo ya nyanda za juu kuna report nyingi za madhara ya radi.HATA HIVYO DAR MARA MOJA MOJA KUNA MARADI TENA YENYE MADHARA.KWANI MWEZI HUU WA 11/2011 RADI LIMEUA MTOTO MMOJA ENEO LA GONGO LA MBOTO!
 
Simu ya mkononi inakuwa katika hali ya kuwasiliana na mnara wa mtandao husika hata kama huitumii,ndio mana unaona kiwango cha network katika simu yako,So kunakuwa na radio waves ambazo zinakuwa received na simu yako.SO KAMA SIMU ITAKUA ON KAMA RADI ITAFUATA MKONDO WA WAVES HIZO SIMU YAKO INAWEZA IKADHURIKA MARANYINGINE HATA WEWE ULIYE ISHIKA.(inashauriwa kuzima simu yako kipindi cha maradi makali).

thanx! Kwa somo zuri mkuu
 
Back
Top Bottom