Radhi ya Mwema.

Malova

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
784
228
Life is DIGITAL, either you die or you live. Sasa kusema samahani au naomba radhi wakati tumeshakufa kutasaidia nini? Haya mauaji ya Songea (na polisi) ni ya ngapi kutokea.

Yalifanyika Nyamongo, Arusha, Mbeya na leo Songea. Ina maana sababu hamuijui mpaka leo? Huko kwingine alisema naomba radhi? RADHI YAKO HAISAIDII KWASABABU LIFE HAS BEEN MADE to 0 state from 1 (digitally).
 
Sirikali inaweweseka na CDM - kila yanapotokea maandamano au watu kudai haki yao kama ilivyotokea Mbeya basi kichwani kunajaa jinamizi liitwalo CDM.

kutokana na hivyo kichwa kinatengana na kiwiliwili na masaburi ndo yanato maamuzi ya kuua watu wasio hatia.
 
Life is DIGITAL, either you die or you live. Sasa kusema samahani au naomba radhi wakati tumeshakufa kutasaidia nini? Haya mauaji ya Songea (na polisi) ni ya ngapi kutokea. Yalifanyika Nyamongo, Arusha, Mbeya na leo Songea. Ina maana sababu hamuijui mpaka leo? Huko kwingine alisema naomba radhi? RADHI YAKO HAISAIDII KWASABABU LIFE HAS BEEN MADE to 0 state from 1 (digitally).

Akili zao ni fupi sana hawa watu, wanafikiria kuishia chini ya pua zao. Wanadhani wantutisha kuwa tutakufa tukiandamana. Pumbafu sana halafu unaomba msamaha,halafu ***** anasema eti walipiga mawe ofisi ya ccm, mi nilidhani kuna kada wa hilo li chama la kishetani kafa, mashetani kabisa hawa. Na hao polisi niwa msumbiji nini? mbona kwa taarifa zilizoko wanalipwa hela kiduchu sana,hii adabu ya kishetani wanaitoa wapi?
 
Umefika wakati wa kuwa na utamaduni wa kuachia ngazi unapojiona kuwa kazi inakushinda. Kama kweli ni Mwema basi anza kuwajibika na sio kuomba radhi pekee.
 
Back
Top Bottom