Don Draper
Senior Member
- May 30, 2012
- 176
- 87
So literally, to promote their latest destination in Tanzania (KIA), Qatar Airways have also launched a special 6-day holiday treat in Tanzania. Ironically, this treat is marketed online as a 'Kenyan Safari'. Ndugu zangu wadanganyika, is it really this bad? Kilimanjaro iko wapi kwanza? Maana mimi mwenyewe naanza kuwa na wasiwasi mafisadi waliipiga bei long tym..
Lakini naamini kuwa blozi Maharage pale UAE, bodi ya utalii Tanzania (TTB) watakuwa kimya sana juu ya hili
lakini badaya ya kuwasubiri akina TTB na hao wengine nashauri pigeni simu ofisi za Qatar mlalamike juu ya hili tangazo:
Contact Address and Agent Office Center
Qatar Airways City Office - Dar es salaam, Tanzania
Elia Complex, Ground Floor,
Junction of Zanaki and Bibititi Road,
Dar es salaam, Tanzania, Tanzania
Telephone:+ 255 22 2198300
Fax:+255 22 2127400
Naendelea kutafuta namba ya simu ya area manager wa Qatar Tanzania