Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi afafanua mkataba wa Bandari

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,321
24,228
UFAFANUZI WA MWANASHERIA WA WIZARA YA UJENZI BW. MOHAMED SALUM

Bw. Mohamed Salum mwanasheria wa wizara anafafanua na kujibu masuala yafuatayo katika exclusive interview na kituo cha televisheni cha Azam cha jijini Dsm Tanzania
  • Shukrani kwa wadau waliotoa maoni
  • Mkataba mama ulioridhiwa na Azimio la Bunge tarehe 10 June 2023 mjini Dodoma
  • Ni mkataba wa kupangisha bandari ya Dar es Salaam ibara ya 23.1
  • Mkataba wa biashara bado haijatiwa
  • Kwenye mkataba lazima kutatokea kutoelewana au kugombana ndiyo maana migogoro itarudi chini ya ibara 20 kwa kuwa serikali huko nyuma ilikuwa na spidi ya kuvunja mikataba lakini ibara ya 20 inazuia jazba ya serikali
  • migogoro itatatuliwa kupitia Diplomatic channels, IGA consultation Committee na abritation
  • Subsequent amendments yaani marekebisho siku za usoni
  • Je process / mchakato ya marekebisho lazima irudishwe bungeni ili liridhie
  • Je kuna uwezekano wa baada ya mambo yanayojadiliwa na jamii mkataba wa tarehe 10 June 2023 kurudishwa bungeni ?
  • Mwanasheria Mohamed Salum anasema mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 wa Azimio la Bunge haugusii makubaliano ya kodi
  • Contract ya mkataba huu siyo binding kufuantana na maneno katika mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 uliopitishwa na Azimio la Bunge
  • Makubaliano ya kimataifa yata supersede sheria za procurements yaani haihitaji ushindani ni sawa uwe single sourced na mkataba huu ni wa nchi mbili Tanzania na Dubai anasisitiza mwanasheria wa wizara ya ujenzi na uchukuzi
  • Ibara 63 (3) (e) ya Katiba ya Tanzania mikataba ya kimataifa ya inatamka hatua gani ifuatwe. Na inatakiwa Mchakato wa ndani ufikishwe baraza la mawaziri halafu inakwenda bungeni na bunge linatakiwa kuomba maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kutoa Azimio la Kuunga mkono
  • Je ni mkataba au makubaliano maridhiano au ni mkataba wa kibiashara
  • Consideration / kishika uchumba cha thamani huonesha katika hatua gani ?
  • Fidia kwa maeneo ya wananchi na wawekezaji wazawa itakayochukuliwa na mradi wa DP World ?
  • Kesi ya mahakama kuu Mbeya tunajipanga kwenda kujitetea

More :

Ibara 63 (3) (e) ya Katiba ya Tanzania mikataba ya kimataifa ya inatamka hatua gani ifuatwe. Na inatakiwa Mchakato wa ndani ufikishwe baraza la mawaziri halafu inakwenda bungeni na bunge linatakiwa kuomba maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kutoa Azimio la Kuunga mkono

TOKA MAKTABA Mwaliko

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
Simu: +255 026 23222761-5
Fax No. +255 026 2322624
E-mail: cna@bunge.go.tz
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Bunge,
S.L.P. 941,
DODOMA.

Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Miundombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai
kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa Bandari Tanzania la Mwaka 2023(Intergovernmental Agreement – IGA , between the United Republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning Economic and Social Partnership for the Development and Improving Performance of Ports in Tanzania).

Mkutano wa kupokea na kusikiliza maoni ya wadau (Public Hearing) utafanyika siku ya Jumanne tarehe 06, Juni saa 7:30 mchana katika Ukumbi wa Msekwa ‘D’, Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.

Kamati inawaalika watu wote wenye maoni kuhusu Azimio hilo kufika na kuwasilisha maoni yao kabla haujapelekwa katika hatua nyingine.

Vilevile Kamati itapokea maoni kwa njia ya Posta au Barua pepe kwa anuani ifuatayo:-

Katibu wa Bunge, Ofisi ya Bunge,
10 Barabara ya Morogoro
S.L.P. 941,
40490 Tambukareli
DODOMA.
Baruapepe: cna@bunge.go.tz na kamati@bunge.go.tz

Azimio hilo linaweza pia kupakuliwa katika tovuti ya Bunge,
www.bunge.go.tz. Aidha, unashauriwa kuwasilisha jina lako kupitia barua pepe tajwa endapo utapenda kuwasilisha maoni yako kwa kuzungumza kwa ajili ya
hatua za kiutawala.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa,
Ofisi ya Bunge,
S.L.P 941,
DODOMA.

JE KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CABINET MEETING WAJUMBE WAKE NI NANI ?

KUTOKA MAKTABA: 3 Feb 2011
Ili kuongeza ufahamu kuhusu kikao cha baraza la mawaziri kina nani na nani hujumuika humo kuunda kikao cha cabinet

Mheshimiwa Rais Kikwete aongoza Kikao cha Baraza La Mawaziri Leo

1688120868271.png
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete chairs a cabinet meeting at Dar es Salaam State House this afternoon.Others in the picture are the Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal(second right), The Prime Minister Mizengo Pinda(third left), Chief Secretary,Philemon Luhanjo(third right), and Attorney General Judge Frederick
 
Makubaliano ya kimataifa yata supersede sheria za procurements yaani haihitaji ushindani ni sawa uwe single sourced na mkataba huu ni wa nchi mbili Tanzania na Dubai anasisitiza mwanasheria wa wizara ya ujenzi na uchukuzi
Tuna nchi inaitwa Dubai? Natanguliza Shukrani kwa majibu. Nimejiongeza kidogo
===
The United Arab Emirates (UAE) is situated in the Southeast of the Arabian Peninsula, bordering Oman and Saudi Arabia. In December 1971, the UAE became a federation of six emirates - Abu Dhabi, Dubai, Sharjah, Ajman, Umm Al-Quwain, and Fujairah, while the seventh emirate, Ras Al Khaimah, joined the federation in 1972.
===
Lakini, Emirate ni nini?
---
An emirate is a territory ruled by an emir, a title used by monarchs or high officeholders in the Muslim world. From a historical point of view, an emirate is a political-religious unit smaller than a caliphate. It can be considered equivalent to a principality in non-Muslim contexts.
---
Dubai ni nini?
---
Dubai is a city, state, and emirate in the United Arab Emirates, a country in the Persian Gulf. The new modern city of Dubai sits on a jut of land in the Arabian Peninsula at a latitude of 25.2048° N and longitude of 55.2708° E.

Na hapa ndiyo najuliza Ohio ya Marekani ni Nchi?
===
 
Waziri mkuu afafanua suala la mkataba wa bandari akiongea na watanzania kupitia baraza la Eid Al Adh'aa

Wateja watakimbilia bandari zingine za nje Malindi, Mombasa, Beira, Maputo, Durban, Walvis Bay kutokana na ufanisi duni wa bandari yetu ya Dar es Salaam .. mtuamini hawa DP World watatuletea wateja ..
 
UFAFANUZI WA MWANASHERIA WA WIZARA YA UJENZI BW. MOHAMED SALUM

Bw. Mohamed Salum mwanasheria wa wizara anafafanua na kujibu masuala yafuatayo katika exclusive interview na kituo cha televisheni cha Azam cha jijini Dsm Tanzania
  • Shukrani kwa wadau waliotoa maoni
  • Mkataba mama ulioridhiwa na Azimio la Bunge tarehe 10 June 2023 mjini Dodoma
  • Ni mkataba wa kupangisha bandari ya Dar es Salaam ibara ya 23.1
  • Mkataba wa biashara bado haijatiwa
  • Kwenye mkataba lazima kutatokea kutoelewana au kugombana ndiyo maana migogoro itarudi chini ya ibara 20 kwa kuwa serikali huko nyuma ilikuwa na spidi ya kuvunja mikataba lakini ibara ya 20 inazuia jazba ya serikali
  • migogoro itatatuliwa kupitia Diplomatic channels, IGA consultation Committee na abritation
  • Subsequent amendments yaani marekebisho siku za usoni
  • Je process / mchakato ya marekebisho lazima irudishwe bungeni ili liridhie
  • Je kuna uwezekano wa baada ya mambo yanayojadiliwa na jamii mkataba wa tarehe 10 June 2023 kurudishwa bungeni ?
  • Mwanasheria Mohamed Salum anasema mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 wa Azimio la Bunge haugusii makubaliano ya kodi
  • Contract ya mkataba huu siyo binding kufuantana na maneno katika mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 uliopitishwa na Azimio la Bunge
  • Makubaliano ya kimataifa yata supersede sheria za procurements yaani haihitaji ushindani ni sawa uwe single sourced na mkataba huu ni wa nchi mbili Tanzania na Dubai anasisitiza mwanasheria wa wizara ya ujenzi na uchukuzi
  • Ibara 63 (3) (e) ya Katiba ya Tanzania mikataba ya kimataifa ya inatamka hatua gani ifuatwe. Na inatakiwa Mchakato wa ndani ufikishwe baraza la mawaziri halafu inakwenda bungeni na bunge linatakiwa kuomba maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kutoa Azimio la Kuunga mkono
  • Je ni mkataba au makubaliano maridhiano au ni mkataba wa kibiashara
  • Consideration / kishika uchumba cha thamani huonesha katika hatua gani ?
  • Kesi ya mahakama kuu Mbeya tunajipanga kwenda kujitetea
na mkataba huu ni wa nchi mbili Tanzania na Dubai anasisitiza mwanasheria wa wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UFAFANUZI WA MWANASHERIA WA WIZARA YA UJENZI BW. MOHAMED SALUM

Bw. Mohamed Salum mwanasheria wa wizara anafafanua na kujibu masuala yafuatayo katika exclusive interview na kituo cha televisheni cha Azam cha jijini Dsm Tanzania
  • Shukrani kwa wadau waliotoa maoni
  • Mkataba mama ulioridhiwa na Azimio la Bunge tarehe 10 June 2023 mjini Dodoma
  • Ni mkataba wa kupangisha bandari ya Dar es Salaam ibara ya 23.1
  • Mkataba wa biashara bado haijatiwa
  • Kwenye mkataba lazima kutatokea kutoelewana au kugombana ndiyo maana migogoro itarudi chini ya ibara 20 kwa kuwa serikali huko nyuma ilikuwa na spidi ya kuvunja mikataba lakini ibara ya 20 inazuia jazba ya serikali
  • migogoro itatatuliwa kupitia Diplomatic channels, IGA consultation Committee na abritation
  • Subsequent amendments yaani marekebisho siku za usoni
  • Je process / mchakato ya marekebisho lazima irudishwe bungeni ili liridhie
  • Je kuna uwezekano wa baada ya mambo yanayojadiliwa na jamii mkataba wa tarehe 10 June 2023 kurudishwa bungeni ?
  • Mwanasheria Mohamed Salum anasema mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 wa Azimio la Bunge haugusii makubaliano ya kodi
  • Contract ya mkataba huu siyo binding kufuantana na maneno katika mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 uliopitishwa na Azimio la Bunge
  • Makubaliano ya kimataifa yata supersede sheria za procurements yaani haihitaji ushindani ni sawa uwe single sourced na mkataba huu ni wa nchi mbili Tanzania na Dubai anasisitiza mwanasheria wa wizara ya ujenzi na uchukuzi
  • Ibara 63 (3) (e) ya Katiba ya Tanzania mikataba ya kimataifa ya inatamka hatua gani ifuatwe. Na inatakiwa Mchakato wa ndani ufikishwe baraza la mawaziri halafu inakwenda bungeni na bunge linatakiwa kuomba maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kutoa Azimio la Kuunga mkono
  • Je ni mkataba au makubaliano maridhiano au ni mkataba wa kibiashara
  • Consideration / kishika uchumba cha thamani huonesha katika hatua gani ?
  • Kesi ya mahakama kuu Mbeya tunajipanga kwenda kujitetea

More :

TOKA MAKTABA Mwaliko

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
Simu: +255 026 23222761-5
Fax No. +255 026 2322624
E-mail: cna@bunge.go.tz
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Bunge,
S.L.P. 941,
DODOMA.

Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Miundombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai
kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa Bandari Tanzania la Mwaka 2023(Intergovernmental Agreement – IGA , between the United Republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning Economic and Social Partnership for the Development and Improving Performance of Ports in Tanzania).

Mkutano wa kupokea na kusikiliza maoni ya wadau (Public Hearing) utafanyika siku ya Jumanne tarehe 06, Juni saa 7:30 mchana katika Ukumbi wa Msekwa ‘D’, Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.

Kamati inawaalika watu wote wenye maoni kuhusu Azimio hilo kufika na kuwasilisha maoni yao kabla haujapelekwa katika hatua nyingine.

Vilevile Kamati itapokea maoni kwa njia ya Posta au Barua pepe kwa anuani ifuatayo:-

Katibu wa Bunge, Ofisi ya Bunge,
10 Barabara ya Morogoro
S.L.P. 941,
40490 Tambukareli
DODOMA.
Baruapepe: cna@bunge.go.tz na kamati@bunge.go.tz

Azimio hilo linaweza pia kupakuliwa katika tovuti ya Bunge,
www.bunge.go.tz. Aidha, unashauriwa kuwasilisha jina lako kupitia barua pepe tajwa endapo utapenda kuwasilisha maoni yako kwa kuzungumza kwa ajili ya
hatua za kiutawala.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa,
Ofisi ya Bunge,
S.L.P 941,
DODOMA.

JE KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CABINET MEETING WAJUMBE WAKE NI NANI ?

KUTOKA MAKTABA: 3 Feb 2011
Ili kuongeza ufahamu kuhusu kikao cha baraza la mawaziri kina nani hujumuika humo

Mheshimiwa Rais Kikwete aongoza Kikao cha Baraza La Mawaziri Leo

View attachment 2674033
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete chairs a cabinet meeting at Dar es Salaam State House this afternoon.Others in the picture are the Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal(second right), The Prime Minister Mizengo Pinda(third left), Chief Secretary,Philemon Luhanjo(third right), and Attorney General Judge Frederick

Porojo at its finest!! Hawez enda kinyume cha wakuu wake. Article 23(4) hawez zungumzia milele!!
 
bunge linatakiwa kuomba maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kutoa Azimio la Kuunga mkono

Ilichobaini TLS
Kulingana na taarifa ya TLS kwa umma iliyosainiwa na Rais wake, wakili msomi Harold Sungusia, kushirikisha / ushirikishwaji wananchi ni takwa la kikatiba Ibara ya 21 inayoeleza kuwa kila mwananchi ana uhuru na haki ya kushiriki kikamilifu katika mchakato utakaosababisha uamuzi unaomuathiri yeye au ustawi wa Taifa.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mchakato wa Bunge kuuridhia mkataba huo ulikuwa mfupi kiasi cha kukosekana muda wa kutosha kwa wananchi kutoa maoni.

TLS imesema Serikali ilialika wananchi Juni 6 kwa ajili ya Juni 7 mwaka huu 2023 kwenda kutoa maoni yao bungeni, muda ambao ulikuwa mdogo kufanikisha hilo
 
UFAFANUZI WA MWANASHERIA WA WIZARA YA UJENZI BW. MOHAMED SALUM

Bw. Mohamed Salum mwanasheria wa wizara anafafanua na kujibu masuala yafuatayo katika exclusive interview na kituo cha televisheni cha Azam cha jijini Dsm Tanzania
  • Shukrani kwa wadau waliotoa maoni
  • Mkataba mama ulioridhiwa na Azimio la Bunge tarehe 10 June 2023 mjini Dodoma
  • Ni mkataba wa kupangisha bandari ya Dar es Salaam ibara ya 23.1
  • Mkataba wa biashara bado haijatiwa
  • Kwenye mkataba lazima kutatokea kutoelewana au kugombana ndiyo maana migogoro itarudi chini ya ibara 20 kwa kuwa serikali huko nyuma ilikuwa na spidi ya kuvunja mikataba lakini ibara ya 20 inazuia jazba ya serikali
  • migogoro itatatuliwa kupitia Diplomatic channels, IGA consultation Committee na abritation
  • Subsequent amendments yaani marekebisho siku za usoni
  • Je process / mchakato ya marekebisho lazima irudishwe bungeni ili liridhie
  • Je kuna uwezekano wa baada ya mambo yanayojadiliwa na jamii mkataba wa tarehe 10 June 2023 kurudishwa bungeni ?
  • Mwanasheria Mohamed Salum anasema mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 wa Azimio la Bunge haugusii makubaliano ya kodi
  • Contract ya mkataba huu siyo binding kufuantana na maneno katika mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 uliopitishwa na Azimio la Bunge
  • Makubaliano ya kimataifa yata supersede sheria za procurements yaani haihitaji ushindani ni sawa uwe single sourced na mkataba huu ni wa nchi mbili Tanzania na Dubai anasisitiza mwanasheria wa wizara ya ujenzi na uchukuzi
  • Ibara 63 (3) (e) ya Katiba ya Tanzania mikataba ya kimataifa ya inatamka hatua gani ifuatwe. Na inatakiwa Mchakato wa ndani ufikishwe baraza la mawaziri halafu inakwenda bungeni na bunge linatakiwa kuomba maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kutoa Azimio la Kuunga mkono
  • Je ni mkataba au makubaliano maridhiano au ni mkataba wa kibiashara
  • Consideration / kishika uchumba cha thamani huonesha katika hatua gani ?
  • Kesi ya mahakama kuu Mbeya tunajipanga kwenda kujitetea

More :

TOKA MAKTABA Mwaliko

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
Simu: +255 026 23222761-5
Fax No. +255 026 2322624
E-mail: cna@bunge.go.tz
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Bunge,
S.L.P. 941,
DODOMA.

Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Miundombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai
kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa Bandari Tanzania la Mwaka 2023(Intergovernmental Agreement – IGA , between the United Republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning Economic and Social Partnership for the Development and Improving Performance of Ports in Tanzania).

Mkutano wa kupokea na kusikiliza maoni ya wadau (Public Hearing) utafanyika siku ya Jumanne tarehe 06, Juni saa 7:30 mchana katika Ukumbi wa Msekwa ‘D’, Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.

Kamati inawaalika watu wote wenye maoni kuhusu Azimio hilo kufika na kuwasilisha maoni yao kabla haujapelekwa katika hatua nyingine.

Vilevile Kamati itapokea maoni kwa njia ya Posta au Barua pepe kwa anuani ifuatayo:-

Katibu wa Bunge, Ofisi ya Bunge,
10 Barabara ya Morogoro
S.L.P. 941,
40490 Tambukareli
DODOMA.
Baruapepe: cna@bunge.go.tz na kamati@bunge.go.tz

Azimio hilo linaweza pia kupakuliwa katika tovuti ya Bunge,
www.bunge.go.tz. Aidha, unashauriwa kuwasilisha jina lako kupitia barua pepe tajwa endapo utapenda kuwasilisha maoni yako kwa kuzungumza kwa ajili ya
hatua za kiutawala.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa,
Ofisi ya Bunge,
S.L.P 941,
DODOMA.

JE KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CABINET MEETING WAJUMBE WAKE NI NANI ?

KUTOKA MAKTABA: 3 Feb 2011
Ili kuongeza ufahamu kuhusu kikao cha baraza la mawaziri kina nani na nani hujumuika humo kuunda kikao cha cabinet

Mheshimiwa Rais Kikwete aongoza Kikao cha Baraza La Mawaziri Leo

View attachment 2674033
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete chairs a cabinet meeting at Dar es Salaam State House this afternoon.Others in the picture are the Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal(second right), The Prime Minister Mizengo Pinda(third left), Chief Secretary,Philemon Luhanjo(third right), and Attorney General Judge Frederick

Dubai ni nchi?
 
Swali.la muhimu ni hilo hapo juu, kuna uwezekano wa mambo yanayojadiliwa na jamii kurudishwa bungeni baada ya ule mkutano wa bunge wa 10 June 2023 kuukubali ule mkataba wa hovyo?

Hili ndio linatakiwa kupatiwa majibu, sio habari za watu wajitokeze kwa wingi kupeleka maoni, ambayo yanaweza yasiwe na maana yoyote, kwasababu ule mkataba wa mwanzo bunge lilishaupitisha.

Naona dalili hawa jamaa wanataka kulipeleka hili jambo kisiasa, hawa jamaa wasituchezee.
 
UFAFANUZI WA MWANASHERIA WA WIZARA YA UJENZI BW. MOHAMED SALUM

Bw. Mohamed Salum mwanasheria wa wizara anafafanua na kujibu masuala yafuatayo katika exclusive interview na kituo cha televisheni cha Azam cha jijini Dsm Tanzania
  • Shukrani kwa wadau waliotoa maoni
  • Mkataba mama ulioridhiwa na Azimio la Bunge tarehe 10 June 2023 mjini Dodoma
  • Ni mkataba wa kupangisha bandari ya Dar es Salaam ibara ya 23.1
  • Mkataba wa biashara bado haijatiwa
  • Kwenye mkataba lazima kutatokea kutoelewana au kugombana ndiyo maana migogoro itarudi chini ya ibara 20 kwa kuwa serikali huko nyuma ilikuwa na spidi ya kuvunja mikataba lakini ibara ya 20 inazuia jazba ya serikali
  • migogoro itatatuliwa kupitia Diplomatic channels, IGA consultation Committee na abritation
  • Subsequent amendments yaani marekebisho siku za usoni
  • Je process / mchakato ya marekebisho lazima irudishwe bungeni ili liridhie
  • Je kuna uwezekano wa baada ya mambo yanayojadiliwa na jamii mkataba wa tarehe 10 June 2023 kurudishwa bungeni ?
  • Mwanasheria Mohamed Salum anasema mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 wa Azimio la Bunge haugusii makubaliano ya kodi
  • Contract ya mkataba huu siyo binding kufuantana na maneno katika mkataba mama wa tarehe 10 Juni 2023 uliopitishwa na Azimio la Bunge
  • Makubaliano ya kimataifa yata supersede sheria za procurements yaani haihitaji ushindani ni sawa uwe single sourced na mkataba huu ni wa nchi mbili Tanzania na Dubai anasisitiza mwanasheria wa wizara ya ujenzi na uchukuzi
  • Ibara 63 (3) (e) ya Katiba ya Tanzania mikataba ya kimataifa ya inatamka hatua gani ifuatwe. Na inatakiwa Mchakato wa ndani ufikishwe baraza la mawaziri halafu inakwenda bungeni na bunge linatakiwa kuomba maoni kutoka kwa wananchi kabla ya kutoa Azimio la Kuunga mkono
  • Je ni mkataba au makubaliano maridhiano au ni mkataba wa kibiashara
  • Consideration / kishika uchumba cha thamani huonesha katika hatua gani ?
  • Kesi ya mahakama kuu Mbeya tunajipanga kwenda kujitetea

More :

TOKA MAKTABA Mwaliko

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA
Simu: +255 026 23222761-5
Fax No. +255 026 2322624
E-mail: cna@bunge.go.tz
TAARIFA KWA UMMA
Ofisi ya Bunge,
S.L.P. 941,
DODOMA.

Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Miundombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali
ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai
kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa Bandari Tanzania la Mwaka 2023(Intergovernmental Agreement – IGA , between the United Republic of Tanzania and the Emirate of Dubai concerning Economic and Social Partnership for the Development and Improving Performance of Ports in Tanzania).

Mkutano wa kupokea na kusikiliza maoni ya wadau (Public Hearing) utafanyika siku ya Jumanne tarehe 06, Juni saa 7:30 mchana katika Ukumbi wa Msekwa ‘D’, Ofisi ya Bunge, Jijini Dodoma.

Kamati inawaalika watu wote wenye maoni kuhusu Azimio hilo kufika na kuwasilisha maoni yao kabla haujapelekwa katika hatua nyingine.

Vilevile Kamati itapokea maoni kwa njia ya Posta au Barua pepe kwa anuani ifuatayo:-

Katibu wa Bunge, Ofisi ya Bunge,
10 Barabara ya Morogoro
S.L.P. 941,
40490 Tambukareli
DODOMA.
Baruapepe: cna@bunge.go.tz na kamati@bunge.go.tz

Azimio hilo linaweza pia kupakuliwa katika tovuti ya Bunge,
www.bunge.go.tz. Aidha, unashauriwa kuwasilisha jina lako kupitia barua pepe tajwa endapo utapenda kuwasilisha maoni yako kwa kuzungumza kwa ajili ya
hatua za kiutawala.

Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa,
Ofisi ya Bunge,
S.L.P 941,
DODOMA.

JE KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CABINET MEETING WAJUMBE WAKE NI NANI ?

KUTOKA MAKTABA: 3 Feb 2011
Ili kuongeza ufahamu kuhusu kikao cha baraza la mawaziri kina nani na nani hujumuika humo kuunda kikao cha cabinet

Mheshimiwa Rais Kikwete aongoza Kikao cha Baraza La Mawaziri Leo

View attachment 2674033
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete chairs a cabinet meeting at Dar es Salaam State House this afternoon.Others in the picture are the Vice President Dr.Mohamed Gharib Bilal(second right), The Prime Minister Mizengo Pinda(third left), Chief Secretary,Philemon Luhanjo(third right), and Attorney General Judge Frederick

Eti serikali ina jazba
 
Spika tulia anasema huu si mkataba ni makubaliano tu..mwanasheria aliyehusika kwenye kuuanda na kuhusaini anasema huu ni MKATABA MAMA. hii mijamaa ni migonjwa ya akili?
Yani hii nchi hata wenyewe hawana hakika wamesign nini na wabunge wamepitisha nini ni mvurugano
 
Back
Top Bottom