Qatar, Nyalandu, TTB na Balozi Maharage UAE

Don Draper

Senior Member
May 30, 2012
176
87
attachment.php

So literally, to promote their latest destination in Tanzania (KIA), Qatar Airways have also launched a special 6-day holiday treat in Tanzania. Ironically, this treat is marketed online as a 'Kenyan Safari'. Ndugu zangu wadanganyika, is it really this bad? Kilimanjaro iko wapi kwanza? Maana mimi mwenyewe naanza kuwa na wasiwasi mafisadi waliipiga bei long tym..

Lakini naamini kuwa blozi Maharage pale UAE, bodi ya utalii Tanzania (TTB) watakuwa kimya sana juu ya hili

lakini badaya ya kuwasubiri akina TTB na hao wengine nashauri pigeni simu ofisi za Qatar mlalamike juu ya hili tangazo:

Contact Address and Agent Office Center
Qatar Airways City Office - Dar es salaam, Tanzania
Elia Complex, Ground Floor,
Junction of Zanaki and Bibititi Road,
Dar es salaam, Tanzania, Tanzania
Telephone:+ 255 22 2198300
Fax:+255 22 2127400

Naendelea kutafuta namba ya simu ya area manager wa Qatar Tanzania
 
Attachments

  • Uhuni wa Qatar.jpg
    Uhuni wa Qatar.jpg
    108 KB · Views: 3,231
Mkuu huu ni upuuzi kabisa. Kenya waliachwa miaka mingi kuinadi Kilimanjaro huku viongozi wetu wakiangalia bila kuchukuwa hatua madhubuti.

Sijui kazi ya hawa wenzetu wa TTB na mabalozi wetu katika hii nchi.

Mimi ni mdau wa utalii hebu tusaidiane kupata barua pepe ya Qatar airways tuwaandikie warekebishe hiyo program yao.

Yuko mtu najuwa anafanya kazi Qatar Airways Dar, ninampandia hewani sasa hivi
 
Njia rahisi ni ku-protest kwa kutumia tweeter au fb, nimeona hao jamaa wana tweeter na fb pia kwanini kazi isianze sasa hivi....:mod:
 
Mkuu huu ni upuuzi kabisa. Kenya waliachwa miaka mingi kuinadi Kilimanjaro huku viongozi wetu wakiangalia bila kuchukuwa hatua madhubuti.

Sijui kazi ya hawa wenzetu wa TTB na mabalozi wetu katika hii nchi.

Mimi ni mdau wa utalii hebu tusaidiane kupata barua pepe ya Qatar airways tuwaandikie warekebishe hiyo program yao.

Yuko mtu najuwa anafanya kazi Qatar Airways Dar, ninampandia hewani sasa hivi

Ukisha maliza kupanda hewani njoo na majibu ya maongezi yenu tujue pa kuanzia maana inaweza kutupa leads
 
Mwalimu usinibaini, wajinga ndiyo waliwao, nikipata mbili, moja yangu moja yako. Itikieni "Amina" ili kudumisha amani yetu na mshikamano.
 
Utaumia koo kwakusema Tanzania ni shamba la bibi,wenzio washakula wana vitambi wewe unataka kujichosha akili..
 
Tatizo siyo kutua KIA ila ni tangazo la safari in kenya lkn destination ni Tz. Ningetegemea watu wa utalii wangekuwa wamesema kitu au hawapo humu???
 
hivi watati wanafnya hivi wanakuwa naakili timamu? njia rahisi ilikuwa ni kuwazuia wasitue KIA, tuone kama kweli kilimanjaro iko kenya wakatue huko.

Arafu hawa UAE si ndio wezi wa wanyama wetu, sasa wanataka kutumia ndege za kiraia kupora baada ya kuona za kijeshi zinatambulika kirahisi.
 
NEWS
By ADAM IHUCHA

Posted Wednesday, June 27 2012 at 13:59

NORTHERN TANZANIA is increasingly attracting more activity in the aviation industry with international airlines positioning themselves to tap into the region billed as Tanzania's next investment frontier.

The territory, with the lion's share of national parks, horticulture and Tanzanite deposits, has been the domain of a few airlines like KLM, Edelweiss Air, Condor Air, Rwanda Air and Ethiopian Airlines.

Kenya Airways and Middle East carrier Qatar Airways are set to join in with direct flights to the Kilimanjaro International Airport next month.

Qatar Airways will start daily flights from Doha to Kilimanjaro International Airport (KIA) on July 1.

The launch of Qatar and KQ flights at KIA comes at the onset of the tourism high season. Qatar Airways chief executive, Akbar Al Baker says that the airline would serve Kilimanjaro Interational Airport with an Airbus A320.

Kenya Airways managing director Titus Naikuni said KQ would add Kilimanjaro International Airport to its regular destinations starting July 2, with six flights a week until September 30, rising to daily flights from October 1, 2012.

"Kilimanjaro is a strategic destination for the region owing to the vibrant tourism circuit in the hinterland including the Serengeti," said Mr Naikuni.

Kilimanjaro Airport Development Company (Kadco) director of finance and corporate services, Bakari Murusuri, said these lucrative deals imply an increased number of international arrivals at the airport.

"Daily flights to Doha will stimulate growth and help KIA realise its mission of becoming the ideal gateway to the northern tourism circuit of Tanzania," said Marco van de Kreeke, chief executive officer of Kadco, the company that runs KIA.

Also tourists from Europe and America will have another option to reach Tanzania's northern tourism circuit as Doha hub provides many connection opportunities to big capitals and cities around the world.

With increased traffic, a $30 million transformation plan is set to be done which will see all runways, apron, taxiways and passenger lounge refurbished in a bid to offer holidaymakers a hassle-free trip to northern Tanzania's tourist circuit.

Kwa sasa Kenya wanauza mlima Kilimanjaro (seen from Amboseli National Park) zaidi ya Tanzania (alocated) Hii ni aibu tosha.....
 
Hilo ni tatizo la ku copy na ku paste. Originally, tangazo lilikuwa la Kenya. Sasa wamebadili ndani wakasahau heading!
 
attachment.php

So literally, to promote their latest destination in Tanzania (KIA), Qatar Airways have also launched a special 6-day holiday treat in Tanzania. Ironically, this treat is marketed online as a 'Kenyan Safari'. Ndugu zangu wadanganyika, is it really this bad? Kilimanjaro iko wapi kwanza? Maana mimi mwenyewe naanza kuwa na wasiwasi mafisadi waliipiga bei long tym..

Lakini naamini kuwa blozi Maharage pale UAE, bodi ya utalii Tanzania (TTB) watakuwa kimya sana juu ya hili

lakini badaya ya kuwasubiri akina TTB na hao wengine nashauri pigeni simu ofisi za Qatar mlalamike juu ya hili tangazo:

Contact Address and Agent Office Center
Qatar Airways City Office - Dar es salaam, Tanzania
Elia Complex, Ground Floor,
Junction of Zanaki and Bibititi Road,
Dar es salaam, Tanzania, Tanzania
Telephone:+ 255 22 2198300
Fax:+255 22 2127400

Naendelea kutafuta namba ya simu ya area manager wa Qatar Tanzania
Tatizo la Tanzania tourism marketing hakuna cohesive country plan. Two all ministers saves they own interest in this ministry eg zara tours by zakia. Stake holders is interest which overide national interest. Shortage of marketing skills which mafasidi such Riz1 and his merrymen exploit to still our money. Finally nobody care as long marking they own money
 
jamani Air tanzania mko wapi kampuni yetu ya ndege ya taifa!

Tanzania walifundishwa kuwa ili muendelee lazima muue kila kitu chenu kwa kutumia meneno mwaili: Mwekezaji na Kubinafsisha.

Leo yapata miaka 25 tangu zoezi la ubinafsihsaji lilipoanza rasmi, na ni zaid ya miaka 12 tangu zoezi hili lilipokua kwa kasi ya mwanga. Tulichovuna ni ombwe tu!

tukumbuke kuwa Kenya nao walibinafsisha Kenya Airways, lakini walifanya kwa plan, na mpaka leo shirika hilo linamilikiwa na wakenya zaidi. Data za karibuni zinaonyesha kuwa Kenya Airways inamilikiwa ifuatavyo:
(a) Wafanyabishara mbalimbali wa Kenya: 30%
(b) Serikali ya Kenya 23%
(c) Wawekezaji wadogowadogo rai wa Kenya 15%
(d) Wawekezaji wadogowadogo raia wa nje 6%
(e) Air-France na KLM 26%

Utaona kuwa Wakenya wana sauti kubwa sana na shirika lao (68% inamilikiwa na wakenya): Uongozi wa juu wote wa Kenya Airways ni Wakenya (saba) pamoja na mhindi mmoja na mfaransa mmoja.

Tanzania ilikurupuka kufanya privatization bila kujua infanyikaje. Wote walifanya jukumu la privatizatio walichukulia kuwa ni kumuuzia mali yote mtu binafsi kama ambavyo mtu anavyouziwa kitu kama gari aharafu yeye mwenyewe ajijue ataliendeshaje shirika, badala ya kuuza hisa tu huku serikali nayo ikiwa inashiriki kuhakikisha shirika linaendeshwa kwa faida ya nchi. Viongozi walikuwa wanakaa na wanunuaji (eti wawekezaji) wanawuzia kila kitu, tena kwa bei ya bure kabisa. Air Tanzania ilifikia kuwa hata watumishi ndani ya ndege wanatoka Afrika ya kusini. Uongozi wote wa juu ukawa ni wa Afrika ya Kusini. Wakabadilisha kila kitu kiwe kama Afrika ya Kusini, nia yao ikwa ni kuua kabisa shirika hilo kusudi nafasi yake ichukuliwa ni shirika la Afrika ya Kusini. Hakukuwa na wa kukemea kwa vile wahusika walishachukua mgao wao mpaka pale shirika lilipokufa kifo che mende; walioitwa wawekezaji wakajiondoa!! Wale wote waliohusika na uuzwaji wa shirika hilo kwa namna moja au nyingine leo nii ni matajiri wa kutupwa ilihali kabla ya hapo walikuwa watumishi wa serikali tu.
 
Tatizo siyo kutua KIA ila ni tangazo la safari in kenya lkn destination ni Tz. Ningetegemea watu wa utalii wangekuwa wamesema kitu au hawapo humu???

walikuwa wapi siku zote wakati wenzao wanaanza kutangaza?

Tatizo serikali inaweka mabomu katika sehemu nyeti. TTB haina watu creative wala innovative. HAwatambui hili ama kama wanatambua basi ni mbumbumbu.

Wanashindwa ku OUTSOURCE services ambazo wanajua hawana utaalamu nazo. Strategy zao za kizamani. Kila siku wanakalia '' LAND OF KILIMANJARO" tu hawana pitch nyingine!

Kuna products nyingi za kupromote Tanzania na utalii Tanzania lakini wao kazi yao ni KUTALII tu nchi za watu.
 
Msitake kulaumuWA kENYA

uzembe ni wenu na naamini hakuna afisa wa serikali hata mmoja aliye protest hili jambo la Qatar airways
 
Back
Top Bottom