Pwani: Magari yagongana uso kwa uso, wanne wafariki

Umejenga majumba makubwa Tabata, kisirisiri ili mumewe asijue, sasa sijui itakuaje? Kamq nakiona vile kibenten chake kikiwa tajiri.

Mumewe alikua haongei chochote kwake cz pesa hana

Natoka muda wowote saa yeyeto, naenda nchi za njee nakaa miezi hadi mwaka, sitaki mume unipangie pesa ni zangu elimu ni yangu
Duh 🙄 !! Maneno gani hiyo tena. ???!!!
 
Ndo akina msuya hawa??
Hujawaho kwenda kwenu..miaka na miaka..baba yenu anawaita njoo nyumbana niongee nanyi..mnajifanya busy..mnachofanya ni kumchukua mama yenu na kukaa nae mjin na baba anabaki kijijin akiwa hana msaada wowote huku AMEINAMISHA nafsi yake kwa sababu ya matendo yenu...linakuja kutokea tatizo kubwa pasipo kureconcile na baba yenu mnajibeba mnaenda.........
Heeh !!!
 
Waliotengeneza pamoja na hizi kampuni zinauza hawana utaalamu wa ugunduzi wa matatizo kama haya na kufanya kitu kinaitwa Recall ili kufanya marekebisho ambayo ni Free. Kwa jinsi hii na nchi zetu za uchakachuaji mengi yatajitokeza.
 
Mchepuko naye atakufa ataziacha. Ni kawaida hamna jipya.

Masuala binafsi haya.

Kifo hakichagui boss, hata angempa mumewe zote angekufa. Usione kama ni malipo ya alichokifanya.
Mkuu usimzibe mdomo, acha tujifunze kuishi vema ktk dunia hii yenye kupita, kupitia mafunzo ya wengine.kuna elimu wala usimzibe mdomo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Back
Top Bottom