101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,040
- 2,121
Watu wanne wanasadikika kufariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kwenda Dar es Salaam kugongana na lori la mizigo eneo la Vigwaza mkoani Pwani.
Ajali hiyo imetokea usiku wa leo Oktoba 23, 2023 ambapo inadaiwa watu waliokuwa wakisafiria gari hilo wamefariki papo hapo.
Mwananchi Digital ilipomtafuta Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Pius Lutumo kuthibitisha tukio hilo alisema hana taarifa kamili bado wanafuatilia.