Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mkuu Joni, hayo ni mazingaombwe tuu, au kiini macho!, huyo mtu unayemuona kama anatembea juu ya maji, kwa kule chini amekanyaga kitu ambacho kimefunikwa na maji hivyo nyinyi hamkioni!. Mazingaombwe yanaitwa hypnotism, mfanya mazingaombwe anaitwa hypnotist na kitu kinachofanyika kinaitwa hypnosis, hapa wanatumia nguvu tuu ya ushawishi, iitwayo 'mind suggestibility' kwa kukuzuga kuwa anabadili karatasi kuwa noti, anachinja mtu, etc. Anatumia tricks tuu kuzugia, zipo hadi operations zinaitwa psychic surgery lakini kiukweli hakuna chochote kinachofanyika physically bali ni just playing with peoples mind kama wafanyavyo wahubiri wa miujiza!, unaangalia na kuona unachoona kumbe ni zuga tuu!.

Ila katika zuga hizo, kuna watu wanapona kweli, kinachowafanya wapone ni nguvu za Mungu za uponyaji zilizomo ndani yako ambazo kila binadamu au viumbe hai wanazo, ndio maana hata wanyama kila siku wanaugua na kujitibia wenyewe!.

Huo mchezo wa huko Congo kwa maiti kutembea, inafanywa sana visiwa vya Haiti, Trinidad and Tobago, Babados na america ya kati, kwa kutumia uchawi unaitwa Voodoo, ni kama imani inatwa voodoism, unaweza kuisoma kwenye ile thread ya kwanza kwenye link ya

NB, kwenye hizo links, ukifungua, ili uweze kusoma na kuelewa, ni lazima kwanza uwe na kiwango fulani cha uelewa kwa sababu mambo mengine ni uchawi kabisa, yaani pure magic!, hivyo ushauri wangu ni ujitafakari kwanza kiwango cha uelewa wako kabla hujazama kwenye hizo links, ukifungua na kujiona huelewi, achana nazo!.

Pasco
Nimefaulu moja kutoka kwako mkuu nimeweza kuipinga malaria tangu nianze fuatilia uz wako na hakika nimeweza mpaka sasa Nina miaka 2 malaria naisikiaga tuu
Na kipindi cha nyuma ilikuwa inanisumbua mno
 
Mkuu Ifa, huo ni mwanzo mzuri wa kuanza kujitambua!, nguvu hizi sote tunazo na ziko ndani yetu!. Usiishie kwenye kuzuia ugonjwa wa malaria tuu, zuia na magonjwa mengine yote, kisha anza kujipanga unataka nini, kazi nzuri, pesa nzuri, nyumba nzuri, gari nzuri, maisha mazuri!, sky is the limit!.

All the best!.

Mimi nina gari moja lakini naliwazia lipate mengine hata matatu nifanye biashara ya Car for hire.najaribu kuchochea hlo ndani yangu bado halijawezekana
 
kila mtu ana power of will...
power of will
power of will...my foot!!!!
hamjakutana na mtu mbishi mpaka unakuja na power zako kama druid
unamwangalia mdada (i need you)
na yeye ana kuangalia, mbishi mpaka unajibiwa (https://jamii.app/JFUserGuide off)
ndani ya power zako...
 
Mkuu Ifa, huo ni mwanzo mzuri wa kuanza kujitambua!, nguvu hizi sote tunazo na ziko ndani yetu!. Usiishie kwenye kuzuia ugonjwa wa malaria tuu, zuia na magonjwa mengine yote, kisha anza kujipanga unataka nini, kazi nzuri, pesa nzuri, nyumba nzuri, gari nzuri, maisha mazuri!, sky is the limit!.

All the best!.

Pasco
Mkuu ndio maana naendelea kusema naitaj uwepo wako ili kujua mengi zaid na kujifunza mengi
Ikiwezekana mkuu nije pm kama hutojali
 
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers

Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo

Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno

Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu

Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness

Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.
EBu naomba uniambie kwwa ufasaa uwo mfumo wa sita wa saba na wanane jinsi unavyo fanya kazi naona hapo mkuu ameeleza kwa kingereza
 
At the last night wakat na_meditate ilishindikana kuendlea kwan yale matukio yanayonijia yananfanya yanizubaishe had kubadil direction ya pumz na kurudia upya, wiki kadhaa nyuma nilimeditate na wakat matukio yanaingia na kufany km naota. Then baada ya mda nkastushwa na energy flan km mvua inaninyeshea mwil mzima. Baada ya hapo nkarud katka hal ya kawaid!. Jana nmeota nmewakuta dada na marafik zang wawil wa kiume wakiwa wanapiga kelel juu ya mti ambao uko karib na mto uliokauka alaf mamba alikua anawaendea kutaka kuwadhuru ghafl dada alimwangush yle mamba na wao pia wakaanguka had chin mamba hakuwadhur. Mamba alipoangkua chini akafa ila dada na wale marafk zang walpona ila waliumia kidogo. Nlimulza dada umefanyej had ukamwangusha mamba kwnye mti akasem wakat mamba ananijia wale jamaa wa kiume wananielekez sehem ya kum,bonyez aanguke. Wakat watu wamekusanyka na kumchinchnja mamba nkakurupuka kwa speed. Msaad wakuu!.
 
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers

Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo

Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno

Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu

Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness

Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.
Duh Kuna Mchizi naye miaka ya 1997 hivi alienda huko South mambo ya kibudha hayo hayo nadhani itakuwa kipindi hicho jamaa nadhani alienda trip ya pili hivi Tulimuita Stivo lazima mlikuwa naye japo kama kuna tetesi kuwa hakumaliza.. nakumbuka alikuwa anashauri twende maana ilikuwa ni free nikafikiria kunyolewa nywele dah... Mafunzo ya Kupinga Mungu si tatizo kwani ni mambo ya kusadikika sio issue
 
At the last night wakat na_meditate ilishindikana kuendlea kwan yale matukio yanayonijia yananfanya yanizubaishe had kubadil direction ya pumz na kurudia upya, wiki kadhaa nyuma nilimeditate na wakat matukio yanaingia na kufany km naota. Then baada ya mda nkastushwa na energy flan km mvua inaninyeshea mwil mzima. Baada ya hapo nkarud katka hal ya kawaid!. Jana nmeota nmewakuta dada na marafik zang wawil wa kiume wakiwa wanapiga kelel juu ya mti ambao uko karib na mto uliokauka alaf mamba alikua anawaendea kutaka kuwadhuru ghafl dada alimwangush yle mamba na wao pia wakaanguka had chin mamba hakuwadhur. Mamba alipoangkua chini akafa ila dada na wale marafk zang walpona ila waliumia kidogo. Nlimulza dada umefanyej had ukamwangusha mamba kwnye mti akasem wakat mamba ananijia wale jamaa wa kiume wananielekez sehem ya kum,bonyez aanguke. Wakat watu wamekusanyka na kumchinchnja mamba nkakurupuka kwa speed. Msaad wakuu!.
msaada wa??...........................
 
Back
Top Bottom