Je mafanikio ni uchaguzi maalum kutoka kwa "higher power"?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,309
4,017
Wale wazee wa "tafuta pesa wewe"

Kama sijakosea tumegawanyika katika makundi haya:
■masikini wa kutupwa
■masikini wa kawaida
■mwenye nafuu katika maisha ■mwenye nafuu zaidi
■mwenye nafuu maradufu
■mwenye utajiri
■mwenye utajiri zaidi
■mwenye utajiri wa kupindukia

Naamini enzi na enzi hivi ndivyo makundi haya yalisimama hata kabla hatujaanza kuipambania pesa bado jamii duniani kote zilikaa kwa mfumo huu.

1% ya watu duniani ni mabilionea (in terms of dollars). Are these people specially chosen kuwa katika nafasi hio au unaamini hardworking pekee ndio ya kukupa mafanikio ya mali nyingi?

Sisi ni mashahidi wa huko mtaani kwetu katika mapambano ya kutafuta pesa na mali. Kuna wazee ni wapambanaji mno na wenye ideas kabambe na wasio wafuja pesa ila wamebaki kuwa nafasi ile ile. Je mawazo yao ni mgando? Au Hawachagulia kuwa katika nafasi ya wingi wa mali?

Kuna shuhuda za kupata pesa kutoka kwa waganga huku watu wakisimulia kuwa mafanikio haya huwa yana masharti pia kuna a price to pay ambayo wewe hauwezi ijua wala mganga hawezi kukuambia. Je mganga ni agent wa kukuanganisha ili ununue mafanikio kutoka kwa higher power kwa ajili ya utajiri ambao haukustahili kuupata?

Kuna mifano halisi ya matajiri wakubwa sana kufariki na kuacha mali zikigawanywa kwa ukubwa tu kwa vijana wao. Hata kwa zile mali nyingi walizoachiwa na bado wao kuziendeleza unashangaa hakuna hata mmoja alieweza kufaidika maradufu na zile mali. Unakuta zinapotea huku wakibaki kuendesha maisha yao na mikono yao binafsi.

Are white people chosen over us in terms in terms of success and brilliance or waliwahi tu kukujanjaruka mapema kabla yetu, lakini tukumbuke tulilizika na life tuliokuwa nalo.

Karibuni
 
Lakini kiukweli, WAGANGA WANAOWEZA MAMBO YA BIASHARA NA UTAJIRI NI WACHACHE MNO.

Kuna utapeli mwingi sana kwenye hayo maeneo 2...

"BIASHARA NA UTAJIRI"

waganga wengi hawayawezi hayo maeneo
 
Kuna mambo yanayotutoa kwenye reli na siri hii wameijua wachache ndio maana una sema mabilionea ni 1% (sina uhakika)

THe rest (most) of us, are soo majoring into the minors. Na moja ya vitu ambavyo mwanadamu amekosea pakubwa kuvielewa na hivyo vikamvuruga zaidi ni Dini.

Ni ukwel ulio waz kwamba, the real, true wealth is so much connected with possesing divine higher powers, but religion has for long time been the wrong agency to facilitate this ndio maana matajiri na mabilionea wa kweli, utaona kama wana utofauti katika mitazamo yao linalpokuja suala hili la dini.

Mwisho, God/Highest divine power as a source of all life, created neither rich nor poor man. It is all upon us to understand amd unlock the secrets
 
Thank you mkuu

Hii ni moja ya comments bora ambazo nishawahi kuziona.

Thanks.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Utajiri anatoa Mungu.
Mungu yuko juu ya uwezo wako wa kufikiri so huwez kumfikiria katika namna yako na akili yako.

Kanuni bado zipo, lakini utajiri wa kwanza ni akili.
Whites wana akili na creativity ya juu sana.
Kuwa billionaire ( in terms of dollar) kwa uchuuzi ni ngumu.
99% ambayo ni sisi huwa tuna ridhika.
Tunajiwekea mipaka ya kusonga mbele kwa mawazo, akili, tabia, ibada, na mwitikio wa mambo.

Kijana wa Tz akiinuka kidogo basi madem wengi, starehe, mabaunsa, kazi anasahau, utafiti unashuka, mwitikio wa vitu unashuka. HII NI LIMIT tuliyonayo 99%
 
Ahsanteee

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mimi ninachokiamini ni kwamba.

BIASHARA NA FEDHA NI VIUMBE HAI.

Ili ufanikiwe katika biashara ni lazima uwe connected na hiyo roho kupitia kanuni mbimbali na sheria mbalimbali za roho hai ya biasahara.

Sasa tatizo la sisi wabongo wengi huamini biashara ni bahati na juhudi binafsi kitu ambacho si kweli. Biashara ni zaidi ya mtaji,masoko na ubora wa bidhaa.

Usipofuata na kujua kanuni za roho hai ya biashara huwezi kutoboa katika biashara. Mwisho wa siku utaishia kuzalisha biashara zenye sifa zifuatazo:-
i/ Biashara yenye roho ya utasa. Hii ni biashara ambayo haizalishi mafanikio yoyote kwenye biashara yenyewe na mafanikio yako kwa ujumla.

ii/ Biashara yenye roho ya wizi. Hii ni biashara ambayo kila Siku itakuwa inakutia hasara kwa kukuibia mtaji wako uliwekeza. Kila ukiweka mtaji unakata fasta.

iii/ Biashara yenye roho ya uovu. Hii biashara itakusumbua sana. Kupitia biashara hii kila siku utakuwa unashinda polisi au kwa mwenyekiti wa mtaa kutatua matatizo yaliyosababishwa na biashara yako uliyoifungua. Yaani unakosa utulivu kabisa katika biashara.

iv/ Biashara yenye roho ya tamaa. Ukishakuwa na biashara ya aina hii ni hatari sana na huwezi kutoboa kabisa duniani. Biashara hii inasifa ya kumuangaisha sana aliyeifungua.

v/ Na mengine mengi.

Sasa duniani ni watu wachache sana walioweza kufungua codes za roho hai ya biashara na mafanikio.

Juhudi bila kujua kanuni na sheria ni kazi bure na ni kujitesa tu.
 
Ahsanteee mkuu, ahsante sana you are the best.

Mfano: Kuna watu wengi wamefungua business kariakoo ambako kuna mzunguko sana ila zimefeli.

Hatarii

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Hiyo 99% inatawaliwa na kung'amuliwa mambo na hiyo 1%. Ni mfumo uliojikita mizizi katika kuficha maarifa ya dunia hii, ikijumuisha elimu, afya, utajiri, imani, nk.
Wanapanga magonjwa, na dawa gani zitumike kutibu. Kama unavyompinia kiwango cha uji au maziwa mtoto mdogo, awe ameshiba au la. Elimu, na maarifa gani yatolewe kwa kizazi kilichopo. Imani, ielekezwe kwenye nini...mind control...tunaishia kuomba utajiri na mafanikio kwenye mahekalu..., Bidhaa au madini yawe na thamani gani na soko likae vipi, sera za kiuchumi na kisiasa, nk.
Wakifanikiwa wengi, inatengenezwa fake inflation, baadae economic depression, mikopo inarudi kwake, minada ya madeni, umasikini unabaki palepale. Ni mfumo ya enzi, kwa wachache.
 
It’s all about NATURE

The default state ya jamii yoyote ile ni poverty.
Umasikini is a natural state. Watu wote tunazaliwa with absolutely nothing..... kisha tunaanza kugombania scarce resources

By nature mifumo ya kugombania scarce resources imejitengeneza watafutaji(masikini) wawe wengi kuliko watakao pata(matajiri)........ hatuewezi kupata wote kwasababu rasilimali ni chache na wazalishaji lazima wawe wengi kufanya dunia ku balance
Changamoto hapo ni kuingia kwenye huo mfereji wa wapataji wachache, wengine wanaingia kwa favor za wazazi, wengine wana struggle from the scratch nk

Niliwahi kusikia Hadithi moja inasema hivi
Katika mji mmoja kulikua na masikini wengi na matajiri wachache
Masiki wakalia sana kwa “Mungu” kwanini asifanye watu wote wawe mataji wafurahi maisha kama matajiri wanavyo furahia..... Mungu akawaambia nimesikia kilio chenu
Asubuhi walivyo amka kila mtu akajikuta ana fedha na madhahabu yamejaa kila kona ya nyumba, kiufupi ghafla kila mtu ni trilionea
Guess what, baada ya wiki kadhaa wakamlilia tena mungu wao bora awarudishe kama ilivyo kuwa mwanzo, yaani masikini na matajiri

Kwanini?
Kwasababu in fact dunia ni kama ilisimama sababu kila mtu anahela na anatafuta mtu wa kumuajiri amfanyie mambo anayoyataka
Hakuna aliyekwenda kazini, kila mtu yupo bize kutaka kutumia hela..... haka kamfano ni FIKIRISHI SANA
 
Aiseeeeee hii ni bonge la comment. Thanks bro.

Kuna vitu nyuma ya pazia sisi 99% hatuelew

Aisee fikirishi kwa kweli.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mhu 9:11​

Mhu 9:11 SUV​

Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom