Proved: Halima Mdee alinena

Jaji

Senior Member
Sep 4, 2011
129
13
Kauli ya Halima mdee kwenye kampeni za kugombea ubunge mwaka 2010 kuwa James Mbatia ni kibaraka wa ccm sasa imetimia. Pia waliompinga Kafulila sasa watakuwa waamefunguka macho na maono. Hii ni baada ya James Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu na JK.
 
Mh jaji wewe ni kibaraka wa nani?na vp hili sembe lingekudondokea wewe ungekataa?
 
Mh jaji wewe ni kibaraka wa nani?na vp hili sembe lingekudondokea wewe ungekataa?

na ndio mana haija mdondokea??

Wanajuana kwa vilemba hao ndio mana wanadondosheana sembe wao kwa wao??
 
Pole Mbatia kwa yote, pengine ni kutokujua kwako dunia inaelekea wapi; Enzi za mwl akikuteua kila mtu anakuheshimu sasa wewe inakuwa kinyume pole sana, maana ni moja tu aliyekuteua hakubaliki kwa wananchi; sasa unafanyaje kukataa au kukubali ni akili zako changanya na za mbayuwayu.
 
Acheni majungu mlitaka amchague Anton Komu?ambaye ameshindwa ata kujieleza vizuri bungeni! Tuache fitina Mh Mbatia anao uwezo mkubwa na ataimudu vizuri nafasi hiyo , kwa fikra mbovu kama hizo inamaana Raisi akimpa uwaziri Mh Mbowe,je Mh Mbowe nae atakuwa kibaraka?tafadhari acheni wivu na majungu yasiyo na tija kwa taifa letu,Mungu ibariki Tanzania,Mungu wabariki wateuliwa wote wafanye kazi kwa uaminifu na uadilifu mkubwa kwa manufaa ya taifa letu!
 
Mungu hupenda kuwaumbua wote wanafiki...chadema ilikataa kuungana na vyama hivi watu wakaisema ooh chadema ni waroho wa madaraka...leo yako wapi
inanikumbusha situation moja ambapo wanandugu fulani walikuwa wakimpiga vita kaka yao aliyeonekana kuwa na busara nyingi ili wenyewe ndio warithi lakini pamoja na nguvu waliyokuwa nayo wakashindwa kutokana na ukweli wa mambo.

Baadae naye akaamua kuacha urithi kwa mwanae badala ya wale brothers na hawa 'baba wadogo na wakubwa' walivyomjia juu aliwaambia tu kitu kimoja kuwa "Mungu atawapa maisha marefu ili waweze kushuhudia kuwa unafiki wao haukuwa na maana".

Hii ni kutaka tu kufikiria ni jinsi gani huu unafiki unavyorudisha nyuma taifa kwa kisingizio tu eti 'usalama wa taifa' huku taifa likiteketea.

Je, ukiacha matatizo mengine lukuki yanayoiandama nchi yetu bila suluhu ya maana chini ya CCM, tuendelee kuitegemea CCM kwamba itaweza kupambana na tatito jipya linaloinyemelea Afrika kwa sasa kwa shinikizo kutoka magharibi yaani tatizo la USHOGA?

Wananchi tufanyeje katika kipindi hiki muhimu cha mchakato wa Katiba Mpya? Je, unadhani kupitia Katiba Mpya tutaweza kupamba na janga hili ambalo ni kinyume kabisa na mila, desturi, na hata maadili yetu? Malawi walijaribu lakini hawaonekani kufanikiwa sana, Uganda, Kenya nako ni hayo hayo!
 
Kauli ya Halima mdee kwenye kampeni za kugombea ubunge mwaka 2010 kuwa James Mbatia ni kibaraka wa ccm sasa imetimia. Pia waliompinga Kafulila sasa watakuwa waamefunguka macho na maono. Hii ni baada ya James Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa kuchaguliwa kuwa mbunge wa viti maalumu na JK.

Dalili ya mvua ni mawingu.Na hii ndio moja ya sababu zinazodumaza maendeleo ya demokrasia hapa nchini.Sasa nimeamini maneno ya Mh.Mdee kwamba Mbatia anatumiwa na chama tawala ili kuua upinzani nchini.Mungu hamfichi mnafiki.Siku zake zinahesabika.
 
Acheni majungu mlitaka amchague Anton Komu?ambaye ameshindwa ata kujieleza vizuri bungeni! Tuache fitina Mh Mbatia anao uwezo mkubwa na ataimudu vizuri nafasi hiyo , kwa fikra mbovu kama hizo inamaana Raisi akimpa uwaziri Mh Mbowe,je Mh Mbowe nae atakuwa kibaraka?tafadhari acheni wivu na majungu yasiyo na tija kwa taifa letu,Mungu ibariki Tanzania,Mungu wabariki wateuliwa wote wafanye kazi kwa uaminifu na uadilifu mkubwa kwa manufaa ya taifa letu!
Hajampa Mbowe na pia hawezi kwani anachagua wanyonge. Kwanini uzungumzie mambo ambayo hayajatokea?
Hana uwezo wowote NCCR tu imemshinda ndio uwe uwaziri jamaa yako kachemka kinoma.
 
mnafiki wa kwanza ni wale waliomfukuza kafulila kwa matusi kibao kwenye chama chao,leo eti anaonekana wa maana kisa ni adui wa mbatia,mbona ni wengi tu wamepata uteuzi wa rais na hawajakataa?
 
Back
Top Bottom