master gland
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 198
- 60
Wewe ndio Ugreat thinker wako una walakiniHabari za kwa mama ntilie nazo! Huyu naye ni GT
Mtoa mada kamaanisha kapita katika makundi yote ya kijamii bila kujalisha level za za kimaisha
na sasa wewe unaonesha dharau kwa hawa mama zetu ambao ni wengi mno kwenye jamii zetu
Shame on you Masanilo