Tumefikia hapa, nakosa muda wa kupita huku sana smhn wakuu...
Mratibu Mkazi UN Atembelea Kiwanda cha Kuchakata Muhogo Rufiji
Tema mate! Ulipokuwa na shida ulipata muda wa kufika JF lakini kwa sasa eti uko busy!. Maisha siyo ya kuendesha kwa staili hiyo! Kilichowezekana Rufiji hata Kigoma kinawezekana na wadau wamo humo Jf!