Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,387
Hebu iweke hadharani bana!..Ujanja sasa hivi kuanika mambo yako, mficha uch^i hazai!
Afro denz
Hebu iweke hadharani bana!..Ujanja sasa hivi kuanika mambo yako, mficha uch^i hazai!
Nashukuru vile umepokea salam yangu....mie mzima wa afya kabisa.... Nna karibia miezi 6 sasa napost via mobile, hiyo profile yangu yenyewe wala sikumbuki yafananaje...sina kazi nayo sana ila usijali nimeanza kujichangisha upya ninunue laptop ingine(nitahitaji na mchango wako pia) nikinunua tu, nawawekea mnifanyie tathmini....lolz.Salamu zako nishazipokea SL.
Mzima weye?
Kama vipi Weka Profile yako hapa tukutathmini!
SASA hivi ujanja Profile bana!
Ha ha ha! Umenkumbusha kuna mtu nilimuita "Kishoiya" kidogo antoe roho! Ila tuache utani jf siku hizi imevamiwa na "vishoiya" wengi...
Sasa kama getini kwenu kuna mjeda ole wako nikukamate ukitumwa dukani!
Ukiwa hivi,mara nyingi utapenda uonekane
Daaah! Asee kumbe kwenu matajiri hivyo?.... Afu anatibua huku akijua kabisa kuwa anatibua,...lol..dukani siendagi ndani kwetu kuna supamarikiti....
heheheee waache amabao umri na interest zinaruhusu washoiye bana
Mpoleeee kawajulia kweli watu, kila siku lazima awatibue nyongo lol...
Afro denz
Daaah! Asee kumbe kwenu matajiri hivyo?.... Afu anatibua huku akijua kabisa kuwa anatibua,...lol..
Mpolee
Profile yako ipo juu
fafanua...lol!!
halafu nahisi kama Mpoleee yuko kwenye ka stage fulani hivi kaukuaji (kiJF) akikapita hako tu basi
He he he! Jumatatu iba hela tuje tununue ngubiti na ufuta... Kweli mie ngoja nimwache mpoleeee ajivinjari kwa raha zake...mafogo sisi....usiponipiga ntakuibia vitu nikuletee...lol
SL mwacheni mpolee bana, mbona bebii alianzaga hivi hivi, kwani hadi leo yuko hivo?
He he he! Jumatatu iba hela tuje tununue ngubiti na ufuta... Kweli mie ngoja nimwache mpoleeee ajivinjari kwa raha zake...
Una bahati umesema (kiJF) vinginevyo nisingekuelewa!fafanua...lol!!
halafu nahisi kama Mpoleee yuko kwenye ka stage fulani hivi kaukuaji (kiJF) akikapita hako tu basi
Hahaha! Gee mimi sio mchoya bana... Subirini nawawekea mda sio mrefu.Acha choyo mwaya... Profile haina brand!! Hahaha
nani alikuwababishia ban?PJ dont take it so serious..huku ni chit chat
Hahaha! Gee mimi sio mchoya bana... Subirini nawawekea mda sio mrefu.