TZ biashara
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 523
- 107
Hii ni Camera ya kazi inawafaa wale wenyekushughulika na uandishi wa habari au wenye kushughulika na mambo ya shooting movies n.k.Ni Camera nzuri sana na imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana.Lakini haipo TZ bado ipo Uingereza nategemea ktk mwezi huu au wa mwezi wa nne itafika.Maelezo yake kuhusu hii Camera ni mengi mno lakini unaweza kuyapata ktk blog inaitwa matangazo na biashara.blogspot.com ambayo yameelezwa kwa urefu zaidi au unaweza uka google MODEL yake DM-XL1E utapata mambo mengi zaidi.Bei yake ni shs milioni 1.8 na kama utapenda kuiona ikifika tafadhali wasiliana na Habibu 0717810318