Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Wanasheria wabobezi wa mikataba wanajua siyo wengine wanadakia tu wakati tangu ahitimu hajahusika kwenye mkataba wa kimataifa hata mmoja
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Sheria siyo maji ya kunywa.., hata asiyekuwa na meno anakunywa. Assad kwenye Uchumi sawa ila kwenye sheria tuwaachie kina Prof Shivji.
 
Hakuna mwanaCCM anaepinga uwwkezaji wa bandariii. Ukiona anapinga wewe tambua huyo atakuwa nyumbuu. Uwekezaji huu wa bandariii ni tunu kubwa kwa taifa, halafu unasema kuna mwanaCCM eti kaona fedhehaaa??
Kuna tofauti kati ya mkataba na uwekekezaji
 
Waislamu Ni watu wa ajabu sna ingekuta Ni mgalatia anafanya haya wangemkozoaa sna ,,ovyo kbsa Hawa watu tuwapuuze
 
Ni kweli kabisa hakuna palipoandikwa inauzwa lakini pia hakuna palipoandikwa inakodishwa wala kupangishwa hivyo basi.

Kama haiuzwi
Kama haikodishwi
Kama haipangishwi

Maana yake ni moja tu inatolewa bure...

Zaidi Assad naye anataka kugeuka mchumia tumbo.

Maana yeye anazungumzia bandari moja tu wakati IGA inasema bandari zote Tanzania na miundombinu yake.

Mwambie kachelewa kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni njaa inamsumbua huyu, kwanza alikuwa anahojiwa channel ten, tv ya maccm
 
Ndio mjue hawa ni moja ya watu waliokuwa wanapambana binafsi na JPM si uzalendo. Hii nchi ufisadi una mizizi mirefu sana!
 
Mimi swali langu ni kama mkataba ni mzuri hivyo mbona bandari za Zanzibar hazimo. Charity should begins at home.
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Hivi hiyo Chanel teni nitelevisheni ya chama gani vile?!
 
Mambo ya afya tuwaachie madaktari, mambo ya uchumi tuwaachie wachumi, mambo ya fedha tuwaachie wanamahesabu, mambo ya sheria waachie wanasheria.

Renowned lawyers like Professor shivji walishaongea, wewe ni nani katika sheria?
YEYE NI CPAT PROF ASSAD
 
Asad ana njaa sana. Tangu jiwe amtumbue kwa uonevu Asad hajawahi kuachwa salama na mahitaji ya tumbo.
Asad ni wa kuuunga mkono upumbavu huu? Kama siyo njaa nini??
Jua kwamba kila alietumbuliwa na jiwe ni takataka
 
Points Muhimu kwenye mahojiano ya Profesa Assad pale Channel Ten kwenye kipindi cha Dira ya Uchumi

👉🏾 Hakuna Bandari Inayouzwa, ni uelewa mbaya tu wa watu. (Sikiliza zaidi)

👉🏾 Ukomo hauwekwi kwenye IGA, bali kwenye mikataba ya chini (Projects Agreements). (Sikiliza Zaidi)

Profesa Assad ametoa majibu mazuri kabisa, na huyu ndio Profesa wa kweli sasa, sio wale wengine akina Tibaijuka na Shivji, wachumia tumbo tu, Sikilizeni nondo kutoka kwa Prof.

View attachment 2712096
View attachment 2712097
View attachment 2712098
View attachment 2712099
Huyu naye udini unamsumbua, ndiyo maana alitumbuliwa na magufuli.
hajaongelea sifa za mkataba, mkataba mama (IGA) kuwa ile midogo itakuwa ina abide by theso terms stipulated in the IGA.
 
Back
Top Bottom