Prof Shivji Ametumwa na Wazanzibari?

LordJustice1

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
2,263
530
Huyu Prof ukimwangalia kwa makini kwenye Mhadhara wa Katiba katika ITV leo anaonekana kuwatetea Wazanzibari badala ya ku-balance mambo:
Anadai kwamba eti kuongeza mambo ya Muungano, Wazanzibari waliokuwa kwenye kuongeza mambo ya Muungano "
walikuwa hawaongei sana," na Karume alikuwa hajali! Sasa kama walikuwa hawasemi sana, mimi sioni tatizo, si wamekubaliana?
Hapa Prof Simwelewi kabisa, ni kama katumwa vile!
 
Prof. Shivji Sio Mzanzibari Amezaliwa Morogoro; aliteuliwa tu na Mwl. Nyerere kufanya kazi Zanzibar Mahakama Kuu ndipo alipokutana na Haroub Othman

Yeye ni mtu wa Bara... hana Uzanzibari!!!
 
Sasa wewe ulikuwa unataka aongope kama ilivyo kawaida ya Magamba.Profesa ni mwana zuoni aliyebobea atakiwi kuwa longolongo kama Dr Wenu wa Uchumi ambaye anailetea nchii hii Umasikini mpaka MSD inaishiwa ata dawa za Malaria.Shivji anakuambia kuwa ameongea na ata Abdu Jumbe juu ya katiba ya Zanzibar baada ya mapinduzi ya kina Okelo,So anajua mengi na alikuwepo toka ASP na TANU azijaungana na wakati huo alikuwa tayari Mwalimu Cho kikuu cha Dsm. Na anakumbuka ata jinsi CCM ilivyokuwa inaitwa Chai na Maharage na madereva wa Maroli pale Ubungo. sasa wewe unatakaje ndugu ulieanzisha huu uzi? Ebu tujuze mkuu
 
Pr. Shivji anazungumzia ukweli(hali halisi ilivyokuwa hapo mwanzo),tatizo lako laweza kiwa ulitaka ayazungumze Yale uliyoyatarajia ktk fikra zako.
 
Unataka kujuwa katumwa na nani au anaongea nini? kama anachokielezea unao mbadala wake tupe. Kama hauna kaa kimya.
 
Prof. Shivji Sio Mzanzibari Amezaliwa Morogoro; aliteuliwa tu na Mwl. Nyerere kufanya kazi Zanzibar Mahakama Kuu ndipo alipokutana na Haroub Othman

Yeye ni mtu wa Bara... hana Uzanzibari!!!

Sijauliza Prof Shivji kazaliwa wapi, nielewe tafadhali! Remember, Wazanzibari hawaukatai Muungano bali wanakataa Makanisa, keep that in mind, ndio utanielewa namaanisha nini.
 
Pr. Shivji anazungumzia ukweli(hali halisi ilivyokuwa hapo mwanzo),tatizo lako laweza kiwa ulitaka ayazungumze Yale uliyoyatarajia ktk fikra zako.
Kama Wazanzibari walikaa kimya wakati Mambo ya Muungano yanaongezwa Bungeni, kinachomuuma Prof ni nini hapo?
 
Sijauliza Prof Shivji kazaliwa wapi, nielewe tafadhali! Remember, Wazanzibari hawaukatai Muungano bali wanakataa Makanisa, keep that in mind, ndio utanielewa namaanisha nini.

Hii dhambi ya udini itakumaliza na wazanzibar wenzio.
 
Huyu Prof ukimwangalia kwa makini kwenye Mhadhara wa Katiba katika ITV leo anaonekana kuwatetea Wazanzibari badala ya ku-balance mambo:
Anadai kwamba eti kuongeza mambo ya Muungano, Wazanzibari waliokuwa kwenye kuongeza mambo ya Muungano "
walikuwa hawaongei sana," na Karume alikuwa hajali! Sasa kama walikuwa hawasemi sana, mimi sioni tatizo, si wamekubaliana?
Hapa Prof Simwelewi kabisa, ni kama katumwa vile!
ulitegemea upate sapoti kubwa na mawazo yako mgando, kumbe wapo japo wachache wenye kusimama katika ukweli, sipati picha sura yako ulipoiweka mnafiki mkubwa wewe
 
Sasa wewe ulikuwa unataka aongope kama ilivyo kawaida ya Magamba.Profesa ni mwana zuoni aliyebobea atakiwi kuwa longolongo kama Dr Wenu wa Uchumi ambaye anailetea nchii hii Umasikini mpaka MSD inaishiwa ata dawa za Malaria.Shivji anakuambia kuwa ameongea na ata Abdu Jumbe juu ya katiba ya Zanzibar baada ya mapinduzi ya kina Okelo,So anajua mengi na alikuwepo toka ASP na TANU azijaungana na wakati huo alikuwa tayari Mwalimu Cho kikuu cha Dsm. Na anakumbuka ata jinsi CCM ilivyokuwa inaitwa Chai na Maharage na madereva wa Maroli pale Ubungo. sasa wewe unatakaje ndugu ulieanzisha huu uzi? Ebu tujuze mkuu

Mkuu mimi sijauliza mambo ya chai maharage, MSD, TANU, ASP, nk bali ni juu ya kuongezwa kwa Mambo ya Muungano! Prof anataka kujenga dhana kwamba wakati mambo hayo yanaongezwa eti Wazanzibari walikuwa "hawasemi" ndani ya Bunge la Muungano! Hapa kinachomaanishwa ni kuchallenge uhalali wa mambo 11 ya Muungano yaliyoongezwa, kwa uelewa wangu, ni kura ndizo zinazoamua na ndivyo ilivyokuwa kwamba Wazanzibari waliridhia. Kwa hiyo Prof asituzuge hapa, tunamheshimu sana.
 
Kama Wazanzibari walikaa kimya wakati Mambo ya Muungano yanaongezwa Bungeni, kinachomuuma Prof ni nini hapo?

Anazungumzia kile kilichotokea(historia)iliyozua yote haya.Inabidi tukushangae wewe kumshambulia Prf Shivji kuwa( katumwa/kinachomuuma ni nini)kisa tu kauwakilisha uhalisia.Kama viongozi walikengeuka hapo mwanzo huu ndio ulikuwa wakati Wa kuyaweka(kuyajadili)mambo ya Muungano na sio kuchoma makanisa ya watu kama mlivyofanya.Kumbuka ili ulimalize tatizo ni lazima ulijadili na kulifanyia hitimisho kwa utaratibu unaofaa.
 
ulitegemea upate sapoti kubwa na mawazo yako mgando, kumbe wapo japo wachache wenye kusimama katika ukweli, sipati picha sura yako ulipoiweka mnafiki mkubwa wewe

Mbona umeanza na lugha chafu mkuu, sio fresh hivyo, tushindane kwa hoja si kwa matusi!
 
Anazungumzia kile kilichotokea(historia)iliyozua yote haya.Inabidi tukushangae wewe kumshambulia Prf Shivji kuwa( katumwa/kinachomuuma ni nini)kisa tu kauwakilisha uhalisia.

Prof anajenga hoja kwamba Wazanzibari walionewa katika kuongeza mambo 11 ya Muungano, which is purely wrong, sio uhalisia kama unavyotaka tuamini!!!!
 
Sijauliza Prof Shivji kazaliwa wapi, nielewe tafadhali! Remember, Wazanzibari hawaukatai Muungano bali wanakataa Makanisa, keep that in mind, ndio utanielewa namaanisha nini.

Jaribu kuwa unafuatilia habari sio unakurupuka tu kulalamika bila data wala facts za kutosha leo ni mara ya tatu Prof Shivji, kuongea mambo ya katiba ITV wiki moja kabla ya leo Prof Shivji, alisema kipindi kijacho taongea kuhusu katiba ya Zanzibar na Muungano kabla hata fujo za Zanzibar hazijatokea...wewe unadhani Prof Shivji, kaongea leo baada ya sakata la Zanzibar, tuambie katumwa na nani?
 
Mimi huwa simsikilizi Shivji, HATOFAUTIANI NA MZUSHI MWENZIE KARL MARX...
 
Prof anajenga hoja kwamba Wazanzibari walionewa katika kuongeza mambo 11 ya Muungano, which is purely wrong, sio uhalisia kama unavyotaka tuamini!!!!

Kama umeshindwa kumuelewa Prf Shivji mimi uatanielewa vipi?Nnakushauri kuwa bado prf Shivji hajamalizia yote aliyokusudia kutueleza Watanzania nnaomba uumfuatilie ktk vipindi vingine vijavyo na pengine utapata mwanga.
 
Jaribu kuwa unafuatilia habari sio unakurupuka tu kulalamika bila data wala facts za kutosha leo ni mara ya tatu Prof Shivji, kuongea mambo ya katiba ITV wiki moja kabla ya leo Prof Shivji, alisema kipindi kijacho taongea kuhusu katiba ya Zanzibar na Muungano kabla hata fujo za Zanzibar hazijatokea...wewe unadhani Prof Shivji, kaongea leo baada ya sakata la Zanzibar, tuambie katumwa na nani?
we acha tu...mzee wa watu ameelezea mambo vizuri kabisa lakini watu kumbe hata kusikiliza huwa wanakurupuka...!
 
Sijauliza Prof Shivji kazaliwa wapi, nielewe tafadhali! Remember, Wazanzibari hawaukatai Muungano bali wanakataa Makanisa, keep that in mind, ndio utanielewa namaanisha nini.

"Acha kupotosha hoja! Tunachodai ni Zanzibar yetu iliyo huru, hatuutaki muungano. makanisa yamekuwepo mwanzo Zanzibar kuliko hata huko Bara, soma historia acha kupotosha"

Similar Discussions

Back
Top Bottom