Wingu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,318
- 401
Asante mkuu yaani ingekuwa laptop like ingekuhusu.Ngoje niipige hapa hapa kwenye simu.LIKE
Na siyo lazima azungumze kama utakavyo, wala hatoi mihadhara kwa lengo la kukuridhisha kila utakalo. Chukua linalokufaa, potezea lisilokufaa hutabadili lolote