Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,801
- 71,226
Kama yule aliyekuwa anamwaga ungaunga kwenye viti vya wenzake na kwa Spika.Natumai jamaa akiweza kuingia mjengoni itakuwa balaa maana watakaoingia na ndumba zao atakuwa anawaona
Kama yule aliyekuwa anamwaga ungaunga kwenye viti vya wenzake na kwa Spika.Natumai jamaa akiweza kuingia mjengoni itakuwa balaa maana watakaoingia na ndumba zao atakuwa anawaona
nani atathubutu kumuengua prof. au yeye hajipendi hiyo ndiyo imetoka.Shadow:
Haya matokeo yote ya kura za maoni za CCM ni "mapendekezo" - Tusubiri August 14 ndipo tutafahamu nani alishinda! (right?)
JK anaweza kumteua kuwa waziri wa Afya akamrithi prof. mwenzake Mwandosya au akawa waziri wa utawala bora maana hakuna mtu atakaye hoji maamuzi yake.
Kwa kweli huyu bana ana msaada mkubwa sana kwanza napenda kuwaambia sisiemu wamechelewa kumukubali kuingia mjengoni..inahuzunisha wakubwa wengi sana wabunge na wengine mawaziri wamekuwa wakiingia mjengoni kupitia huyu bana\nahisi safari hii amechoka kufwata ama ameona asome nyakati kwa sababu akliwa bungeni 1)Litamrahasishia watu wake badala ya kwenda mpaka TANGA2)Wana Dododma watanufaika sana na huduma yake aliokuwa akiwapa watu wa TANGA3)Atakuwa akiwakilisha moja ya Proffesion talented ambayo mpaka leo hii serikali wanakaataa kuiamini pamoja na ukweli halisi unaonekana 4)Atasaidia kwa kiasi fulani kupunguza mgawanyiko wa wabunge kama walivyokuwa hapo mwanzi nikiamaanisha akutakuwa na makundi ya watu wa bagamamoyo-Tanga-Zanzibara mchamba wima...na kuwa kundi moja la DomKila la kheri Prof
JAMANI MNATUVUNJA MBAVU!Ahaaahaaa! Profesa longi wota? Na huyo jamaa ni Simba s.c bladi, yaani yebo yebo mtakoma.
CCM kwa uchawi na uwanga, hivi mumerithi toka kwa nani?