CV ya Hilary Ngonyani(Profesor Maji Marefu), Mbunge wa Korogwe Vijijini

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Salutation - Honourable

First Name: Stephen

Middle Name: Hilary

Last Name: Ngonyani

Member Type: Constituency

Member Constituent: Korogwe Vijijini

Political Party: CCM

Office Location: P.O. Box 60, Korogwe, Tanga

Office Phone: +255 784 459090/+255 712 006666

Ext.: Office Fax:

Office E-mail: sngonyani@parliament.go.tz

Member Status: Current Member

Date of Birth 25 May 1956

EDUCATION School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level Kwamndolwa Primary School Primary Education 1970 1976

PRIMARY POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To Chama Cha Mapinduzi,

CCM Member of NEC 2008 Chama Cha Mapinduzi, CCM Regional Economic Secretary 2008 Chama Cha Mapinduzi,

CCM Economic Secretary, Korogwe rural 2007.

Habari zaidi, soma=>Breaking News: - TANZIA: Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Hilary Ngonyani(Prof. Maji marefu) afariki dunia
 
Kwa jinsi uelewa wa wananchi ulivyoongezeka kipindi hichi sijui Kama cv Kama hizi tutaziona tena 2015 kwani hamna hata jimbo moja ambalo CDM asimamishi mgombea na wote wako fit hapo ndipo magamba yataona moto
 
Dah the guy is lucky!!!! Hivi bado anaendelea na uganga wa kienyeji?
 
Kuanzia sasa mbunge awe na Degree moja na kuendelea huu ni upuuzi ndio maana bungeni hukuna mijadala ya haja bali ni vioja tu na maneno ya kanga.
 
watu na madegree yao hawamfikii..asalaleeeeee..huyu jamaa anastahili kuitwa prof..
 
alikuja Lushoto enzi hizo akafungua ofisi ya CCM kiuchawiuchawi halafu leo ndio mwanachama wa CCM
 
Back
Top Bottom