Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

Duuuh!!!!!mkwele mdogo anacheza na mchaga?

Wahindi wanawalia timing hawa wakweree, come 2016 utasikia watakapoanza kulia kuwa wamedhulumiwa mali wanazoedelea kutuibia na kuficha kwa wahindi!! Wakina Subash lazima watawakosha hawa wakweree............watacheza sana kiduku!!
 
Mchaga kumdhulumu mpare mbona ni sawa kwani kuna mpare mjanja wa mchaga.Mfano ni huyo mzee na usomi wake kamkabidhi mtu gari na kadi sio ajabu bila maadishi na wakili wa kudhibitisha
 
yeye hakugombea ila kutengeneza team ambayo itawasapoti kwenye vikao vya uchujaji mnamo 2015 kwenye vikao vya chama chao! umenisoma mkuu

mleta thread hii ni mzushi hayo maneno ni ya uongo, mi namfahamu ndugu AINEA, aliomba mkopo grovin akapewa mkopo wa mabasi manne , akalipa , akaongezea kununua mengine manne, sasa maghembe anhusika vipi na huo mkopo?jamani wachunguzi wa kweli mwende grovin mkapate ukweli .AINEA alikopa mabasi , na amemaliza kulipa: tuache kuchafuana na kupakaza.
 
Tumshukuru Mungu kwa kuanza kutufunilia mali za kifisadi za mafisadi na namna wanavyoanza kudhulumiwa. Huu ni mwanzo tu.Mengi tutayasikia na kuyaona hata kuuana pia kutatokea tu kwani kwa fisadi kutoa roho ya mtu kwa ajili ya mali siyo tatizo. Subirirni muone!
 
Kaicha nkweri,kaka pole haiwa.Mirao,kaicha ijo pesa wetejiiva mvo vuntu pesa ja vukea jeikae.Enda jingi mira kwa nzia ja halali hangi unefanikiwa.
SALAM WANABODI
Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Profesa Jumanne Abdala Maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni Diwani wa Kata ya Shighatini Mh. Enea Mrutu.
Mali hizo ni mabasi makubwa ya kubebea abiria aina ya UTONG na Moja aina ya Scania yanayaofanya safari kati ya Dar na Arusha na malori mawili aina ya Mitsubishi FUSO ambayo kwa sasa Mh. ameyapeleka huko Kahama . Mabasi (KIRUMO CHARO) ambayo mheshimiwa Mbunge alikubaliana na Mhe. Diwani kuwa kwa kuwa yeye (enea) ana kampuni ya mabasi anaomba kutumia jina la Kampuni yake ya CHARO GENERAL SUPPLY LTD ili kufanya biashara hiyo kutokana na sababu za kiutumishi wake serikalini(kama mbunge na waziri). Ukichukulia status yake ya maisha hapa nchini haieleweki kwani alikuwa mtafiti huko malawi ndo akaja kugombea ubunge hapa mwanga tangu mwaka 2000.
Sakati hili lilianza baada ya Mheshimimiwa Eneah kutumia kiasi kikubwa cha fedha wakati wa Kampeni za uchaguzi wa CCM kwenye jumuiya za Wazazi, UVCCM na Chama kwenye nafasi ya MNEC ambapo jumla ya Tsh 56,000,000 zilitumika kama Rushwa kwa wajumbe na kubahatika kushinda Jumuiya ya UWT tena kwa mbinde na wizi mkubwa wa kura. Mh. enea kwa sasa anatamba mtaani kuwa maghembe hana cha kumfanya kwani hawezi kwenda mahakamani kuhofia kuumbuliwa kuwa ni fisadi.
naomba kuwasilisha.

SOURCE: MHUDUMU WA OFISI YA CHARO GENERAL SUPPLY NA MIMI MWENYEWE
 
Tupe bei zake
  1. YUTONG bus
  2. Scania bus
  3. FUSO Mitsubishi lorry X2

Sidhani kama magari hayo yana thamani ya bilioni na sioni mantiki ya thread hii, ati mtu katumia Ths 56 mil na kadenika ili asilipe 1 bil.
Logic inakataa.
 
mnakumbuka Sumaye alitoa pesa zake scandnavia,na kampuni ikafa hapo hapo bila kulipa madeni ya bank
 
Back
Top Bottom