Prof. Maghembe adhulumiwa mali ya bilioni !

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
SALAM WANABODI
Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Profesa Jumanne Abdala Maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni Diwani wa Kata ya Shighatini Mh. Enea Mrutu.
Mali hizo ni mabasi makubwa ya kubebea abiria aina ya UTONG na Moja aina ya Scania yanayaofanya safari kati ya Dar na Arusha na malori mawili aina ya Mitsubishi FUSO ambayo kwa sasa Mh. ameyapeleka huko Kahama . Mabasi (KIRUMO CHARO) ambayo mheshimiwa Mbunge alikubaliana na Mhe. Diwani kuwa kwa kuwa yeye (enea) ana kampuni ya mabasi anaomba kutumia jina la Kampuni yake ya CHARO GENERAL SUPPLY LTD ili kufanya biashara hiyo kutokana na sababu za kiutumishi wake serikalini(kama mbunge na waziri). Ukichukulia status yake ya maisha hapa nchini haieleweki kwani alikuwa mtafiti huko malawi ndo akaja kugombea ubunge hapa mwanga tangu mwaka 2000.
Sakati hili lilianza baada ya Mheshimimiwa Eneah kutumia kiasi kikubwa cha fedha wakati wa Kampeni za uchaguzi wa CCM kwenye jumuiya za Wazazi, UVCCM na Chama kwenye nafasi ya MNEC ambapo jumla ya Tsh 56,000,000 zilitumika kama Rushwa kwa wajumbe na kubahatika kushinda Jumuiya ya UWT tena kwa mbinde na wizi mkubwa wa kura. Mh. enea kwa sasa anatamba mtaani kuwa maghembe hana cha kumfanya kwani hawezi kwenda mahakamani kuhofia kuumbuliwa kuwa ni fisadi.
naomba kuwasilisha.

SOURCE: MHUDUMU WA OFISI YA CHARO GENERAL SUPPLY NA MIMI MWENYEWE
 
Mkuu japokuwa habari hii inaukweli fulani fulani kwa sababu watu hao ninawafahamu vizuri, lakini tupe ufafanuzi ni vipi Enea Mrutu ambaye ni mwanaumme mwenye umri wa zaidi ya miaka hamsini agombee UWT, UVCCM nk. tena kwa pamoja?
 
Unafanya mchezo mkewe mshono wa kwenye moyo umefumuka amerudisha india ghafla
 
Haki ya mola hakuna msafi TANZANIA hii. Sisi makabwela tutakula wali wa sh1000 kwa mama ntilie mpaka tushike adabu. :smash:
 
Mkuu japokuwa habari hii inaukweli fulani fulani kwa sababu watu hao ninawafahamu vizuri, lakini tupe ufafanuzi ni vipi Enea Mrutu ambaye ni mwanaumme mwenye umri wa zaidi ya miaka hamsini agombee UWT, UVCCM nk. tena kwa pamoja?
yeye hakugombea ila kutengeneza team ambayo itawasapoti kwenye vikao vya uchujaji mnamo 2015 kwenye vikao vya chama chao! umenisoma mkuu
 
Kaaz kweli kweli
 
SALAM WANABODI
Mbunge wa Jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji Mh. Profesa Jumanne Abdala Maghembe amedhulumiwa mali yenye thamani ya zaidi ya Tsh bilioni moja na swahiba wake ambaye ni Diwani wa Kata ya Shighatini Mh. Enea Mrutu.
Mali hizo ni mabasi makubwa ya kubebea abiria aina ya UTONG na Moja aina ya Scania yanayaofanya safari kati ya Dar na Arusha na malori mawili aina ya Mitsubishi FUSO ambayo kwa sasa Mh. ameyapeleka huko Kahama . Mabasi (KIRUMO CHARO) ambayo mheshimiwa Mbunge alikubaliana na Mhe. Diwani kuwa kwa kuwa yeye (enea) ana kampuni ya mabasi anaomba kutumia jina la Kampuni yake ya CHARO GENERAL SUPPLY LTD ili kufanya biashara hiyo kutokana na sababu za kiutumishi wake serikalini(kama mbunge na waziri). Ukichukulia status yake ya maisha hapa nchini haieleweki kwani alikuwa mtafiti huko malawi ndo akaja kugombea ubunge hapa mwanga tangu mwaka 2000.
Sakati hili lilianza baada ya Mheshimimiwa Eneah kutumia kiasi kikubwa cha fedha wakati wa Kampeni za uchaguzi wa CCM kwenye jumuiya za Wazazi, UVCCM na Chama kwenye nafasi ya MNEC ambapo jumla ya Tsh 56,000,000 zilitumika kama Rushwa kwa wajumbe na kubahatika kushinda Jumuiya ya UWT tena kwa mbinde na wizi mkubwa wa kura. Mh. enea kwa sasa anatamba mtaani kuwa maghembe hana cha kumfanya kwani hawezi kwenda mahakamani kuhofia kuumbuliwa kuwa ni fisadi.
naomba kuwasilisha.

SOURCE: MHUDUMU WA OFISI YA CHARO GENERAL SUPPLY NA MIMI MWENYEWE

Subirini haya haya yatamkuta baba mwana Asha na mwanae watakapoachilia msonge,
 
yeye hakugombea ila kutengeneza team ambayo itawasapoti kwenye vikao vya uchujaji mnamo 2015 kwenye vikao vya chama chao! umenisoma mkuu
Uko sahihi kabisa. Itakuwa vema kama utarekebisha maelezo yako vizuri kwenye thread uliyoianzisha la sivyo uta-mislead baadhi ya watu humu.
 
Kazi imeanza,laana itaendelea kuwatafuna mpaka kufika 2015 wote waliopata mali kifisadi zitapukutika!
 
Sasa naelewa kwanini wezi wengi na mafisadi wanangangania chama cha magamba!!
 
Acha adhulumiwe tu jinga kubwa kila wizara anayopewa inamshinda kum be hata akili ya maisha hana.
 
Back
Top Bottom