Junius
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 3,181
- 139
Usipoacha kusema uwongo wako, heshima yako itaendelea kushuka kidogo kidogo kama kifo cha CCM. Uchaguzi wa mwaka huu ni Oktoba 31, kinachoendelea ni mchakato wake. Thibitisha vipi CUF wanawaandama chadema katika uchaguzi wa mwaka huu?Nadhani uchaguzi wa mwaka huu umethibitisha wazi - CUF wanawaandama sana CHADEMA kuliko wanavyowaaandama CCM.
Kwani ni CUF waliomkashifu na kumchafua mgombea wenu?
Ni CUF waliowarubuni wagombea wenu wa ubunge kujitoa?
Ni CUF waliokushitakini kwa Nec?
Mkuu msitafute visingizio vya kushindwa, watanzania wana akili zao, mtaaibika bure!