johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,108
Project ya CCM ilikuwa ni kuwatumia Dr Slaa, Prof Lipumba na Mchungaji Mtikila kuhakikisha Lowassa hashindi urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015.
Uchaguzi ulipoisha na hiyo project ikakamilika CCM ikawatelekeza baada ya kudaiwa Lowassa alipata kura za kutosha mbele ya macho ya Mungu wa mbinguni ila Binadamu akazichakachua.
Hivyo ni huruma binafsi ya Shujaa Magufuli ndio akamrudishia Prof. Lipumba Chama chake cha CUF na Dkt. Slaa akapewa zawadi ya Ubalozi.
Nawatakia Sabato Njema 😄