viongozi wakuu wa chama cha wanainchi Cuf leo wanatarajiwa kuanza ziara mikoa tofauti, wakati mwenyekiti wa taifa ataanza ziara mkoani kigoma katibu mkuu atakuwa mkoa wa morogoro, ambapo wanatarajiwa kuzindua matawi mapya ya chama na kupokea wanachama wapya.