Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,814
Bado huyu mzee wa majalala
🤣🤣🤣Akili inaanza kukaasawa sasa
🤣🤣View attachment 2149880
Bado huyu mzee wa majalala
"Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.
Hapana siyo hasira; isipokuwa ni hekima tu inayumba kwa kiasi fulani na hiyo ndiyo iinaweza ikamsababisha akachafuka na kumwonyesha kama ana hasira kumbe hapanani hasira ya kuondolewa baraza la mawaziri.
Maprofesa wa kweli ni wale waliosoma science hawa waliosoma arts hawaaminiki,hubadilika kama kinyonga🤔Hahahaaaa...... Kitila na Kabudi wanafanana sana!
Sayansi kama Maghembe au yule wa makinikia?!Maprofesa wa kweli ni wale waliosoma science hawa waliosoma arts hawaaminiki,hubadilika kama kinyonga🤔
Huwezi pindisha formula za science au hesabu labda uwe Ndani ya CCM ndio Kila kitu kinawezekana🤔Sayansi kama Maghembe au yule wa makinikia?!
Uko sahihi mkuu. Tatizo tulilonalo Tanzania lipo kwa nchi nyingi, hatuandai viongozi. Watu wanaokotezwa barabarani hata hawafanyiwi background check. .....ukiangalia track record ya kisiasa ya Kitila Mkumbo-usaliti aliowafanyia CHADEMA kisha ACT Wazalendo, ni wazi hakufaa hata kidogo kuwa katika baraza la mawaziri maana msaliti ye yote ni mvujisha siri.Hapana siyo hasira; isipokuwa ni hekima tu inayumba kwa kiasi fulani na hiyo ndiyo iinaweza ikamsababisha akachafuka na kumwonyesha kama ana hasira kumbe hapana
Mtu kama ulikuwa tayari umeshakula kiapo na ukawa unashiriki vikao vya Baraza la Mawaziri, hutakiwa tena kuwa unazungumza zungumza huku nje kirahisi rahishi namna hiyo sawa kama watu ambao hawajawahi kabisa kuwemo kwenye Barazala Mawaziri. Hii hatari yake ni kwamba kuna siku atakuja kuponyokwa na kuongea mambo ambayo walishawahi kuyajadili kwenye Baraza la Mawaziri, na hapo ndiyo itakuwa taabu, kwa sababu hayo ndiyo aliyokula kiapo kuyatunza. Uwaziri haupo kwa sasa hivi, lakini kiapo kitaendelea kuwa pamoja na yeye maisha yake yote
Haya mambo ambayo ameshaanza kushughulika nayo mara anasikika kwenye uchambuzi wa BBC akiwa anaongelea decission za Serikali ambamo alikuwa akitumika, hata kama ni katika mlengo ambao ni positive kwa Serikali anayoiongelea, bado haifurahishi sana kwa mtu ambaye ameshakuwa Waziri. Unless kama ameshaanza kuangalia tena opportunity nyingine ya kurudi upinzani alikokuwa akitumika tangu awali
Sasa haya mambo mengine ni madogo madogo muno, mtu unahitaji kujiongeza mwenyewe tu, na si kila kitu mpaka waje professionals waku-intervene; kwa sababu ukisema hivyo itabidi sasa hata namna ya uvaaji wa suti wakufundishe.Uko sahihi mkuu. Tatizo tulilonalo Tanzania lipo kwa nchi nyingi, hatuandai viongozi. Watu wanaokotezwa barabarani hata hawafanyiwi background check. .....ukiangalia track record ya kisiasa ya Kitila Mkumbo-usaliti aliowafanyia CHADEMA kisha ACT Wazalendo, ni wazi hakufaa hata kidogo kuwa katika baraza la mawaziri maana msaliti ye yote ni mvujisha siri.
😀Umemuelewa lakini?
Hizi ni dalili mbaya sana za woga!Hapana siyo hasira; isipokuwa ni hekima tu inayumba kwa kiasi fulani na hiyo ndiyo iinaweza ikamsababisha akachafuka na kumwonyesha kama ana hasira kumbe hapana
Mtu kama ulikuwa tayari umeshakula kiapo na ukawa unashiriki vikao vya Baraza la Mawaziri, hutakiwa tena kuwa unazungumza zungumza huku nje kirahisi rahishi namna hiyo sawa kama watu ambao hawajawahi kabisa kuwemo kwenye Barazala Mawaziri. Hii hatari yake ni kwamba kuna siku atakuja kuponyokwa na kuongea mambo ambayo walishawahi kuyajadili kwenye Baraza la Mawaziri, na hapo ndiyo itakuwa taabu, kwa sababu hayo ndiyo aliyokula kiapo kuyatunza. Uwaziri haupo kwa sasa hivi, lakini kiapo kitaendelea kuwa pamoja na yeye maisha yake yote
Haya mambo ambayo ameshaanza kushughulika nayo mara anasikika kwenye uchambuzi wa BBC akiwa anaongelea decission za Serikali ambamo alikuwa akitumika, hata kama ni katika mlengo ambao ni positive kwa Serikali anayoiongelea, bado haifurahishi sana kwa mtu ambaye ameshakuwa Waziri. Unless kama ameshaanza kuangalia tena opportunity nyingine ya kurudi upinzani alikokuwa akitumika tangu awali
usaliti ni mental issue si rahisi kama inavyodhani. Na ndiyo sababu wasaliti wote si wa kuaminiwaSasa haya mambo mengine ni madogo madogo muno, mtu unahitaji kujiongeza mwenyewe tu, na si kila kitu mpaka waje professionals waku-intervene; kwa sababu ukisema hivyo itabidi sasa hata namna ya uvaaji wa suti wakufundishe.
Kwani wewe umemuelewaje ? Mimi naona ameweka wazi kila kitu !Nadhani hujamuelewa!
Kila jambo lina wakati wake !CCM wanalitambua hilo, kutoa katiba mpya ni sawa na kurusha tauro wa bondia wako.
Hehehe naona system imeanza kujireset baada ya kukaa bench na anajua 2025 Jimbo linachukuliwa na wenye chama chao yeye arudi kushika chaki."Tulishakubaliana kama nchi kuwa tunataka Katiba Mpya tangu mwaka 2014 ndiyo maana tukaanzisha mchakato wa Katiba na kupata Katiba inayopendekezwa, tunachopaswa kuzungumza kwa sasa ni nili tunaendelea na mchakato na siyo kurudisha mambo nyuma" Mbunge wa Ubungo Prof. @kitilam.