inakuwaje chama cha Chadema kinakuwa na uongozi wote wa ngazi za juu wote uwe ni wa kanda mmoja?
siwapendi watu kama ninyi mmejaa ukabira tuinakuwaje chama cha Chadema kinakuwa na uongozi wote wa ngazi za juu wote uwe ni wa kanda mmoja?
prof mkumbo!! Kumbe kunawakati unatoa vitu safi!!! Big up!!
Huo ni ukweli kabisa. Luna watu kama Sumaye walinyanyaswa wakaishia kulalama tuu lakini kuchukua maamuzi wanashindwa. Kwa nafasi aliyofikia uamuzi aliochukua ni ujasiri mkubwa na chama tawala kimedhalilika.
inakuwaje chama cha Chadema kinakuwa na uongozi wote wa ngazi za juu wote uwe ni wa kanda mmoja?
Kitila ni professor. kwa hiyo uelewa wake na wako ni tofauti. ndo maana wewe huwezi kumuelewa akienda hatua moja mbele kwa sababu akili zako ndogo. sijaona alichobadilika Prof. KitilaKatika hili Kitila Mkumbo umeanza kurudi katika mstari, BIG UP!
inakuwaje chama cha Chadema kinakuwa na uongozi wote wa ngazi za juu wote uwe ni wa kanda mmoja?
inakuwaje chama cha Chadema kinakuwa na uongozi wote wa ngazi za juu wote uwe ni wa kanda mmoja?
inakuwaje chama cha Chadema kinakuwa na uongozi wote wa ngazi za juu wote uwe ni wa kanda mmoja?
Habari wanaukumbi!
Akihojiwa na BBC usiku huu katika dira ya dunia,mwanasiasa wa Chama cha ACT Prof.Kitila Mkumbo amesema Mh Lowassa ni mtu jasiri sana kutokana na kitendo chake cha kujiunga na upinzani.
Amesema Lowassa ni kiongozi aliyepitia misukosuko mingi ya kisiasa tangu mwaka 1995 pale jina lake lilipoondolewa bila sababu za kueleweka,na akajiuzulu uwaziri mkuu mwaka 2008 kwa sababu ambazo hazijawekwa wazi mpaka leo,Halafu amekuja kukatwa kwenye mbio za urais na CCM kimizengwe kwa hiyo amefanya maamuzi ya kijasiri sana kujiunga Chadema!
Ameongeza kwa kusema Mh.Lowassa amebadilisha kabisa upepo wa kisiasa kwa siku ya leo na ametikisa siasa za Tanzania kwa kiasi kikubwa kwa sababu ya umaarufu mkubwa aliojijengea tangu mwaka 1995.
Amesema alichokifanya Mh Lowassa ni ushindi mkubwa dhidi ya maadui zake.
BBC.