Prof. Kapuya atoweka ghafla nchini. Ni baada ya kufunguliwa mashataka Polisi

Waulizeni GPL na Shingongo wao binti aliye polisi ndio yule binti yao?

Kuwa gazeti la udaku si tiketi ya kupika uongo.Hawa GPL nao watashughulikiwa hasa huyo binti yao abanwe.
 
Hawa majangili walisubiria huyu muuza unga mwenzao akimbie then ndio wajifanye ati tuna mkono mrefu.Juma Kapuya ni mmoja wa wauza unga maarufu nchini ndio wanaangamiza vijana njaa najua mtauliza niweke ushahidi lakini sihitaji Kwa sasa kwani Juma Kapuya mwenyewe alisema hivi''WATOTO WETU WANAUZA UNGA LAKINI HAKUNA WA KUWAKAMATA SIE NDIO SERIKALI BANA''
then wahusika wamemnyamazia tu,mtu ashajinasibu
 
Waulizeni GPL na Shingongo wao binti aliye polisi ndio yule binti yao?

Kuwa gazeti la udaku si tiketi ya kupika uongo.Hawa GPL nao watashughulikiwa hasa huyo binti yao abanwe.

japo MAGAZET YA UDAKU HUANDIKA VITU VISVYOSOMEKA,SIJAWAI KUONA,KUSIKIA WALA KUSOMA KUWA MAGAZET HAYA WALAU YAMEKEMEWA,MAANA SIAJABU HATA KWENYE MIKOBA YA MAWAZIRI NA WABUNGE UKIPEKUA UTAYAKUTA
 
Watanzania kwa uzinzi tu MUNGU katubariki...sasa lizee kama hili lingetulia kwenye ndoa yake hizi kashfa zingeanzia wapi...lakini mijitu mizima inataka kujichanganya na vibinti sasa hata watu wakikutegea ili wakupune hutatokea wapi?
 
Kuna misukule humu ilikua inamtetea eti hana hatia....

mtu asie na hatia atakimbiaje kesi wakati anauhakika hahusika.!
 
mhh hivi unamjua kapuya au unamsikia?hilo ni #BAZAZI ambalo liliruka stage ya ujana........kama unabisha nitafute nikakuonyeshe mambo garden kwa wazee wa akudo
Kusema kweli ninabisha mwekundu itabidi nikutafute unipe habari nzima
 
Last edited by a moderator:
Juzi nilisoma habari ya gazeti moja ya Global publishers kuhusu sakata nzima, niliisi kichefuchefu make ni dhairi ile habari ilipikwa tena kwa maji taka ni hatari sana kwa chombo kikubwa kama kile kupotosha umma na kumdhalilisha mtoto wa watu kwa kweli niliumia sana ingawa ckuwa na chakufanya. Watz tuwe makini hasa vijana, nchi inaenda pabaya.
 
Back
Top Bottom