Prof. Kapuya atoweka ghafla nchini. Ni baada ya kufunguliwa mashataka Polisi

Mzee kapuya amemtowa Mmungu shukurani Hivi wewe mtu juu ya elimu uliyo nayo na wadhifa ulio nao una kwenda kutafuta vi Papa mkojo hata sura hawana wachilia mbali nywele bure ni khali mwanamke kama yule
 
Mzee kapuya amemtowa Mmungu shukurani Hivi wewe mtu juu ya elimu uliyo nayo na wadhifa ulio nao una kwenda kutafuta vi Papa mkojo hata sura hawana wachilia mbali nywele bure ni khali mwanamke kama yule

Kwi! Kwi! Kwi! Kwi! Malizia kwamba amemtia miwaya .
 
AMETOROSHWA ogopa lichama linalokataa neno MAADILI YA UONGOZI kwenye KATIBA!!Halafu kuna wafu wanawatetea!!
 
Hawa majangili walisubiria huyu muuza unga mwenzao akimbie then ndio wajifanye ati tuna mkono mrefu.Juma Kapuya ni mmoja wa wauza unga maarufu nchini ndio wanaangamiza vijana njaa najua mtauliza niweke ushahidi lakini sihitaji Kwa sasa kwani Juma Kapuya mwenyewe alisema hivi''WATOTO WETU WANAUZA UNGA LAKINI HAKUNA WA KUWAKAMATA SIE NDIO SERIKALI BANA''
 
extradite this foolish dude

Kapuya is a member of the team "axis of evil" led by mwigulu
 
Wazungu waambiwe ni "Paedophile" tuu biashara inaisha na misaada kwa CCM inakatwa kwa sana na jamaa anaweza hukumiwa kulekule.
 
Huyo kashauliwa na CCM atoroke! Halafu habari zitakuja kwamba amefariki kama ilivyokuwa kwa Balali! CCM ni chama kilichooza!!!!
Umenena jambo muhimu sana.

Si unakumbuka serikali ya magamba ilipotoa taarifa ya kifo cha Balali,lakini cha kushangaza,serikali hiyo ya CCM,haikuwahi kututajia tarehe ambayo Balali aliaga dunia,na hadi leo hakujawahi kuonekana picha zozote za mazishi ya kigogo huyo,aidha kwenye mitandao ya kijamii,wala kwenye chombo chochote cha habari,ndani ya nchi yetu au nje ya nchi.

Kwa jinsi nchi yetu inavyoendeshwa kwa maigizo ya hali ya juu,tusije kushangaa waTZ, tukatangaziwa msiba "hewa" wa huyo mtu!!
 
Kama kweli wana mkono mrefu wamkamate Daudi Balali kwanza.
Tena ngoja tuwatip askari wa Interpol,mahali ambapo wanaweza kumkamata kirahisi Balali,ni nchini Uswisi,ambako tunaambiwa account yake binafsi,ingali ipo active,ambapo muhusika huyo huwa anakwenda kuwithdraw yale mabilioni yaliyofichwa na vigogo wa nchi hii,yeye Balali akiwa miongoni mwa hao walioficha mapesa hayo huko!!
 
humjui sumaye , waziri mkuu kwa miaka 12 ? Ila unamjua lowasa waziri mkuu miaka 2 ! Sitaki kuamini bhana .

Sumaye alikuwa Pm kwa 12 Years?!! Inabidi Prof.Sifuni Mchome aanzishe Division Six-Ufaulu wa kuhuzunisha?
 
Back
Top Bottom