Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,864
- 5,672
Hadithi yako inatufundisha nini?
Inatufundisha siasa za uongo na uchochezi hazifai kwa taifa hili.
Hadithi yako inatufundisha nini?
Inatufundisha siasa za uongo na uchochezi hazifai kwa taifa hili.
Hadithi haiendani na uhalisia ni kama club soda isiyokuwa na radha,huu ushauri waambie FISIEM kule ndo kuna vibaka
Chama kina miaka 23 mpaka leo hakina ofisi bado kimepanga, hata mtu alieanza maisha kipindi kile leo anaishi kwake, chama cha wala ruzuku tu wamejilimbikizia mali na majumba mpaka Dubai ila chama kimepanga vichochoroni mtaa wa mateja nyuma ya makaburi na chimbo la dada poa kisa tu nyumba ya Mtei.
We kichwani msondo ngoma
unawaza kwa kutumia makalio...kama hayo nawaonea sema ukweli?
Rich Pol
Nahisi ukichaa unakusumbua hadi akili zako zimeganda.
Dunia nzima hakuna wezi kama masisiemuu....tena mnawaibia wananchi masikini wasio na chochote...wanakufa kwa kukosa dawa hospitali, hawapati Maji, hawajui watapata wapi mlo wa siku lakini bado mnawaibia??? Hii ni laana kuu na haitakaa iwatoke.
Kilio cha wengi kinafika mbali na hivyo mjiandae kwa pigo kuu kwa laana hiyo.
Wee Rich Pal ni zuzu kweli kweli: unasema CDM ina miaka 23 inapanga ofisi?
Ccm wamejenga ofisi zipi?kwakutumia hela za nani? Viwanja kama CCM kirumba etc mmevitoa wapi? Tueleze.
Miaka zaidi ya 50 lakini watanzania hali yao ikoje chini ya utawala wenu...
Laana ina kutafuna wewe...----! Usinitie hasira ndorobo wewe....
Unamaanisha nini?Ina maana musoma imekaa kama kibuyu cha mganga?
Hizo ofisi za Lumumba zimejengwa chini ya mfumo wa vyama vingi au chama kimoja?Hiyo ya Lumumba ni yako? Eti anawaibia wananchi, wananchi ni pamoja na wewe haya niambie za kwako ulizoibiwa ni ngapi? Acheni kudanganya wananchi hizo ndizo siasa za uongo. Eti mnatetea wananchi ni kulinda maslahi yake kama kweli ni kweli Slaa anapokea 14M kwa mwezi halafu alikuwa anamlipa Kagezi laki 3 huo ndiyo usawa? Acheni uongo Ikulu wataisikia tu wacha wale ruzuku tu.
Kipi bora kati ya kuwa na ofisi ya kupanga na kusambaza ujumbe kwa wananchi chama kikajulikana? Wangejenga ofisi halafu wasieneze sera za chama nchi nzima ingesaidia nini? Mimi naona suala la ofisi siyo ishu. Ishu ni chama kwanza watu wakijue then majengo yatakuja baadae. Naona katika hili la kukieneza chama chadema wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa na ndiyo maana uchaguzi wa serikali za mitaa wameshinda maeneo mengi. Je wangekuwa busy kujenga ofisi hivyo viti vya serikali za mitaa wangevipata?Chama kina miaka 23 mpaka leo hakina ofisi bado kimepanga, hata mtu alieanza maisha kipindi kile leo anaishi kwake, chama cha wala ruzuku tu wamejilimbikizia mali na majumba mpaka Dubai ila chama kimepanga vichochoroni mtaa wa mateja nyuma ya makaburi na chimbo la dada poa kisa tu nyumba ya Mtei.
Ujio wa professor Jay Kuja Musoma mjini pamoja Mhe Vincent j Nyerere mbunge wa Musoma mjini.Jumapili mapokezi na mkutano mkubwa wa hadhara na kikaoo cha ndani, pia kuwapongeza madiwani wa Halmashauri kwa kazi kubwa na nzuri waliyofanya kwa kipindi cha miaka mitano waliokuwa madarakani hii sio ya kukosa wakazi wote wa Musoma Mjini.
Karibu sana Musoma Mjini Prof Jay✌✌