Prof. Haroub Othman Afariki Dunia

Hukuwa na haja ya kuandika hayo uliyoaandika. Kama unajua amefariki ghafla au usingizini basi ungenifahamisha hivyo badala ya kuandika uliyoyaandika. Umauti huwafika binadamu kwa njia mbali mbali na siyo mpaka wawe wagonjwa, niliuliza ili kutaka kujua tu nini kilichomsibu hadi kufariki.

Umekurupuka tu kupost bila hata kusoma habari yenyewe kwa ukamilifu wake?

Unatafuniwa hata kumeza unashindwa unalilia msaada! Fanya effort kidogo....
 
Umekurupuka tu kupost bila hata kusoma habari yenyewe kwa ukamilifu wake?

Unatafuniwa hata kumeza unashindwa unalilia msaada! Fanya effort kidogo....

Kwani ungenijibu tu kwamba kafariki usingizini, ungepungukiwa lipi!? :confused: Duh! Watu hutaka kuanzisha kasheshe hata pale isipostahili. Duh! Kazi kweli kweli! Have a great Sunday.
 
it came with a profound shock.how comes good people never last? I personally knew prof.haroub and it is sad to see him parting ways with us
Rest in peace prof,your death is our victory
 
Zanzibar imempoteza mtu muhimu sana katika mchango wa Muungano na hata History yake na Pia huyu Jamaa alikuwa makini sana katika kuchambua Siasa za Tanzania
 
Kwani ungenijibu tu kwamba kafariki usingizini, ungepukiwa lipi!? :confused: Duh! Watu hutaka kuanzisha kasheshe hata pale isipostahili. Duh! Kazi kweli kweli! Have a great Sunday.

Ulishindwa nini kusoma hadi nikusomee (nikujibu). Umezoea vya mteremko eeh?

Kaaaaaazi kweli kweli!
 

Ulishindwa nini kusoma hadi nikusomee (nikujibu). Umezoea vya mteremko eeh?

Kaaaaaazi kweli kweli!

Muonee huruma hajui alifanyalo yeye kazoea ku copy na paste bila ya kusoma content.

Kwa kifupi huyo ni mzee gwiji la copy and paste!
 
Alikuwa mwalimu hodari, Amejitahidi kusema ukweli "He call black a black and white a white" blah blah no! I will dearly miss you and world will miss
 
Mara nyingi sana nilipenda sana kumtazama katika vipindi kama Je tutatfika cha Makwawiya wa Kuhenga Channel 10 na pia katika washa mbalimbali sana, kweli huyu jamaa alikuwa very conservative katika vitu anavyoamini yeye na pia kutokana na msaada wake wengi amewasimamia MA's and PHD's pia, kweli Taifa nimpoteza mtu muhimu sana
 
Kwakweli nimesoma kwa makini nakala zote zilizoandikwa hapa inasikitisha anapoondoka mtu muhimu kama huyu. Hata hivyo hatutakiwi kulia au kusikitika kwasababu ni kazi ya mungu na hivyo basi siku yake ilikuwa ishaandikwa. Ila cha msingi prof H. Othman alikuwa ni mtu mchamungu na msema kweli hata kama kuna wakubwa mbele alikuwa akilisema jambo kama halipo sawa bila kujali waliopo pale ni vigogo wa nchi (unlike maprof wengine uchwara huwa wanafiki wakisema jambo vigogo wanalotaka kulisikia hata kama wanapindisha ukweli).

In my perspective nilikuwa namuadmire upole na udhalilifu wake mbele za watu. Huwezi akiwa katikati ya watu anakuwa mtu wa kawaida utafikiri sio profesa. Na hasa ukiwa nae msikitini mfano pale ngazija unashangaa kuona professa mko nae katika kundi la watu wadogo na hataki kuwa kiongozi. Unlike watu wengine hutaka waonekane hasa wao ni vigogo marehemu hakuwa mtu wa kupenda attention.

Lakini nadhani katika kumuenzi ni vizuri kufahamu misingi aliyoisimamia na kuifata. Binafsi nilikuwa namuadmire jinsi anavyoweza kuchambua vizuri maswala mbalimbali ya kisiasa duniani. nikifuatilia mchanganuo wake bbc na dw. Vijana wenzangu especially waislamu tujiendeleze kielimu kwani huyu mtu alikuwa nuru kwa sie vijana wa kiislamu. Tusome kwa jitihada umakini na malengo ili pengo lake lije kuzibwa na watu 10 kama yeye. Na sio waislamu tu bali hata vijana wengine kwani huyu professa hakuwa wa waislamu bali wa sote. With 70% ya illeteracy Tanzania ni gap kubwa mno tujitahidini watanzania wenzangu ili kumuenzi mpiganaji wetu.

Maendeleo huja wakati ujinga unapopotea.
 
Alikuwa mkweli na aliipenda dini yake that what I like about him.

Mataifa ya nje yalimtumia zaidi kuliko sisi.

RIP
 
Alikuwa msemanji wa Wapalentine na Nakumbuka alishiriki pia harakati za makongamano mengi sana
 
Alhamdulillah!
Inna Lillahi wa Inna illahi Raj'oon... Verily to Allah we belong and to him we shall return...

"Surely Allah takes what is His, and what He gives is His, and to all things He has appointed a time... so have patience and be rewarded."
Dhikr and Patience are the most befitting Remedy.

Oh Allah enlighten his grave and make it spacious and a garden of the gardens of Jannatul Firdaus, and do not constrict him in a pit of the pits of the fire.
Oh Allah conceal his faults above the earth and below the soil and on the day he is displayed before you.
Oh Allah send tranquility upon the hearts of his families and replace him in Jannah with families better than he, for certainly you are over all things capable.
May Allah have mercy on his soul.

*Ameen thuma Ameen*
 
Back
Top Bottom