Prof. Haroub Othman Afariki Dunia

Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, jina la Bwana na lihimidiwe. Amen

Mungu awape ujasiri na faraja familia ya marehemu na watanzania wote tulipata kumfahamu Prof. H. Othman

Kwa moyo wa majonzi na uliopondeka natoa salamu maalum kwa Omary Ilyas. Najua Prof. alikuwa role model wetu sote hasa mimi na wewe.
 
Jamani poleni wafiwa. Huu ni wakati mgumu kwenu. Hasa mnapoondokewa na mpendwa wenu namna hivi.
 
Goooossssssshhhhh!!!!!!!!

RIP Prof. Moja ya nguzo muhimu sana ya Wasomi na Wanataaluma wa Tanzania waliokuwa na udhubutu wa kulisemea jambo lolote bila kumwogopa mtu toka enzi zile . . .

Hakika kila nafsi itaonja mauti . . .
 
9fd1321df3d14e5d9e0dd127a4aaeae1_zan2.jpg


%5Cprofessor%20Haroub%20Othman.jpg


Profesa%20Haroub%20Othman,%20M.jpg


1218140906_waziri_pin.jpg


011.JPG
 
Innaalillah wainna ilayh raajiuun

znz legal society, waznz, watz, waafrika na wapenda haki na demokrasia ya kweli duniani kote tumepoteza kiungo muhimu sana. Alikuwa ni kundi moja na kina prof. Issa shivji, prof. Sherrif, lweitama na marehemu seith chachage. Ktk kundi hili serikali ilikuwa inakalia kaa la moto sana.

Tukieleka uchaguzi mkuu ujao 2010, naona timu inapungua wakati mafisadi wanapata nguvu mpya kuelekea huko.

Tuombe mwenyezimungu atuongoze salama kuleleka 2010.
 
Ina maana ni kifo cha gafla sana?
Kwa mujibu wa Farouk Karim wa ITV/Radio One, alimrekodi akizindua kitabu, akawana nae mpaka 6 usiku kwenye tamasha. Familia haijatoa kilijiri nini tangu usiku huo mpaka alipofariki asubuhi.
Mungu irehemu familia yake na kuifariji.
 
Wengine tunajiita walimu ila Prof. Haroub wewe ulikuwa mwalimu wa ukweli! RIP mwalimu.
Dada Saida pole sana. Wakati huu mgumu sana kwako
 
Ndio alifariki jana usiku...innalillaahi wa inna illahi Rajuuun...sijui nanai ataandika obituary ya huyu KIGOGO wetu lakini naamini kuwa he is up there na akina MAZRUIS, Japo miaka ile alikuwa bado ni COMMUNIST lakini he was there with us kwenye Fundraising ya msikiti wa NGAZIJA (DIAMOND jubilee) kwa sababu he understood what it meant kwa watu, its also worth mentioning kuwa in the last years alibadilika na alikwenda hijja kama sikosei mwaka jana au mwaka Juzi.


ni rahisi kusema kuwa we still have his ideas, books, lectures, the records of the debates he waged around the world. But Prof Haroub Othman was a writer you loved as a whole person. You loved the way his laugh filled the room, his confident walk, the easy, mellifluous voice and the sometimes merciless sarcasm from which he would not spare himself.

We will read Prof Othman's works over and over again, and will commemorate his memory in the years to come. But it is hard knowing we will no longer watch him striding into battle, stripping off the varnish from insidious words and tearing the mask from the face of corruption.

anyway...I am still in shock but below ni paper ambayo iliaandikwa na jamaa na Prof Othman Amefeature prominently mle
THE UNION BETWEEN TANGANYIKA AND ZANZIBAR: LEGALITY OF ADDITIONAL MATTERS OUTSIDE THE ARTICLES OF UNION

http://www.zanzinet.org/files/legality_union.pdf


The sense of loss felt by the death of such a great intellect, gentleman and friend is immeasurable. His eminent work of decades and all that he stood for will remain forever a monument for justice, and human rights. As a man of courage, graciousness, hope and dedication, his memory will remain forever in our hearts.

I am still in shock but what more can i say rather tha INNAA LILLAAHI WA INNA ILLAHI RAJ'UUN
 
Last edited:
R.I.P Prof H Othman.
Poleni wote mlioguswa na msiba mkubwa wa Mwl wetu mpendwa.
 
Katika ubibadamu wa kawaida inakuwa ngumu kukubali muondokewa na mwanafamilia aliyependwa na wengi, naamini hivi ndivyo ilivyo kwa kwa ndugu na jamaa wa Profesa. Lakini imani zote zinatufundisha kukubaliana na matukio haya kwani tuna amini kuwa ni mapenzi ya Mungu.
Hivyo nawapa pole wote tulioguswa na msiba wa Profesa H. Othman
Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe!
 
RIP Prof. Harub Othman.

Mimi nilitamka mbele ya marafiki wengi kwamba katika walimu walionifundisha pale Mlimani, wewe ulinikuna sana, hakika nilitamani maprofessor wote wawe na uwezo wako.

Hivyo najivunia kwamba sifa zako nilizitamka kabla hujafariki na sasa nazikariri tu. Maana huwa ni kawaida watu kusifiwa tu pale wanapokuwa wameshaenda mbele za haki.
 
Back
Top Bottom