Prof.Benno Ndullu kafanya maajabu BOT!!

Kama kuna institution ambayo sina imani nayo ni BOT……

1. Kwanza wanaongoza kwa kutoa statistics feki kila wakati za uchumi kukua na inflation kupungua…..
2. Wanaongoza kwa kutoa ajira pendelevu….utashangaa watu wanaajiriwa BoT kila kukicha, ila hakuna matangazo yoyote ya vacancies ambazo tumeshawahi kuziona kwenye vyombo vya habari husika…Je inakuwaje private companies watangaze, hii benki yetu isitutangazie??? Je wanawapataje waajiriwa wao??? How competent are they??
 
Ndiyo chombo chao hawa jama so wajanja ni kukomaa nao hawa .Ni waongo na wanafanya kila kitu kuwa siasa na mafanikio ya CCM na si Tanzania .
 
this is real sad guys, mwnkjj u can say that again, when u find somebody to shoot you, tell them to shoot me too, i feel like am walking in a very long tunnel mbele giza, nyuma giza, ingekuwa siku za nyuma wakati akili yangu haijafunguka ningeona situation niliyopo its my fault maybe am not doing enough, but now nikisoma mambo yanayoendelea now i know kwanini matumizi yangu yanavuka mapato yangu and i cant control that, kwa mahesabu ya haraka haraka robo ya kipato am spending on transport, tena usafiri wenyewe wa ubabaishaji kama nini, kila siku am late na inatia hati hati ajira yangu, just imagine nikipoteza ajira mambo c yatazidi kuwa worse, siwezi ku save sehemu ya kipato changu, nikitaka mkopo, man..hizo interest unazochajiwa unaonelea bora uendelee kufunga mkanda hivyo hivyo, another robo inaenda kwenye umeme, bado chakula ambacho ni vital katika kuendesha maisha ya mwanadamu ah yaani we acha tu, if i had one wish, i wish i could swap position na kikwete or any other kigogo/fisadi ili ajue hardship ambazo mwananchi wa kawaida ana face, kutokana na maamuzi yasiyo na busara.
 
Vijana twaweza fanya maajabu kama tukipenda kufikiri. Nawaza bila shaka na wewe wawaza. Je sisi simoja ya mataifa makubwa? Je sisi simoja ya mataifa tajiri sana?
 
mi nadhani Ndulu kajitahidi lakini ameingizwa kwenye genge.Pale Bot palishakuwa nyumbani kwa watu.
 
this is real sad guys, mwnkjj u can say that again, when u find somebody to shoot you, tell them to shoot me too, i feel like am walking in a very long tunnel mbele giza, nyuma giza, ingekuwa siku za nyuma wakati akili yangu haijafunguka ningeona situation niliyopo its my fault maybe am not doing enough, but now nikisoma mambo yanayoendelea now i know kwanini matumizi yangu yanavuka mapato yangu and i cant control that, kwa mahesabu ya haraka haraka robo ya kipato am spending on transport, tena usafiri wenyewe wa ubabaishaji kama nini, kila siku am late na inatia hati hati ajira yangu, just imagine nikipoteza ajira mambo c yatazidi kuwa worse, siwezi ku save sehemu ya kipato changu, nikitaka mkopo, man..hizo interest unazochajiwa unaonelea bora uendelee kufunga mkanda hivyo hivyo, another robo inaenda kwenye umeme, bado chakula ambacho ni vital katika kuendesha maisha ya mwanadamu ah yaani we acha tu, if i had one wish, i wish i could swap position na kikwete or any other kigogo/fisadi ili ajue hardship ambazo mwananchi wa kawaida ana face, kutokana na maamuzi yasiyo na busara.

Mim naweza sema nilazima tufanye maamuzi mazito ktk uteuzi wa mawaziri, maana wana aribu kazi, weng wanafanya siasa nakuongopea uma. PROF Ndullu KWEL ANAJITAIDI ILA WAPUMBAVU NA WAJINGA WACHACHE WANAMUANGUSHA.
 
mi nadhani Ndulu kajitahidi lakini ameingizwa kwenye genge.Pale Bot palishakuwa nyumbani kwa watu.

Katika nafasi aliyokuwa nayo hakuna suala la kujitahidi. Anatakiwa a-deliver ama sivyo hatufai. Kama anaona wanaomzunguka wanamwangusha, awatimue na ikishindikana, yeye mwenyewe aachie ngazi. U gavana wa benki kuu si mahali pa kufanyia mzaha hata kidogo!

Amandla.....
 
Hapo umenena Fundi Mchundo, kuna kundi kubwa pale BoT ambalo linatakiwa kutimuliwa, BoT siyo kijiwe cha kundi fulani, ni jicho la kila mtanzania, kama hajaweza dhibiti watu feki wanaopiga siasa tutakutana na EPA zingine.
 
ukitazama mambo yote ya Micro economics na macro economics hapa ndio unaweza kusema ni kwanini maana yana connection kila kimoja na USD kushuka ina maana wanataka hata vitu kwao watu wanunue toka kwako na USA iwe strong kwa muda fulani. maana ni trend ya kiuchumi hapa
 
Hat mimi si elewi, kwani uchumi kukua vigezo vyake ni ujenzi wa shule? Huyu Mkulu asitutanie, nani ambaye hajaenda sokoni mwezi huu, nyany imekuwa ya mafisadi maana sie hatuwezi kununua. Huyu anataka tu kukubali Governor ajengewe jumba la kifahari ili baadae aje aseme uchumi umekuwa kwani tumeweza kujenga jumba la Governor.
 
“Mabadiliko yaliyofanywa na Ndullu pale BoT yamesaidia kwa kiasi kikubwa kuboresha uchumi wa Tanzania, na hivi sasa shilingi ya Tanzania inapambana na dola,” alisema Mkulo na kuongeza kuwa, uchumi wa nchi yeyote hauendelei bila wananchi hasa wa tabaka la chini kupata mikopo itakayowawezesha kufanya shughuli za kuwaongezea kipato.

kwa hiyo malipo yake ni kuishi kwenye nyumba ya sh. bilioni moja? this is bongo reward system!!!!
 
Hat mimi si elewi, kwani uchumi kukua vigezo vyake ni ujenzi wa shule? Huyu Mkulu asitutanie, nani ambaye hajaenda sokoni mwezi huu, nyanya imekuwa ya mafisadi maana sie hatuwezi kununua. Huyu anataka tu kukubali Governor ajengewe jumba la kifahari ili baadae aje aseme uchumi umekuwa kwani tumeweza kujenga jumba la Governor.

Hapo kwenye Nyanya ndiyo penyewe Rimbocho.
 
Sasa mbona hii habari ya mwaka juzi machi!??? tunaijadili ki-2010 au ki-2008??

Mh
 
Swali kwa Mkulo: Nduru alipoingia madarakani USDTZS ilikuwa ngapi na sasa ni ngapi? Nasema hivi kwa sababu kimsingi shilingi imedhoofika yani ukienda kidata!!leo ni 1350 je nduru alipoingia ilikuwa ngapi? Tusipanick twende na data. Mkulo hajui chochote maskini
 
Du kumbe issue ya mwaka 2008 !!! I take back my comments. Kwa nini kunakuwa na huu mchezo jamani ?tunapoteza muda ::*&*&^%^
 
Siti binti Saad, gwiji la muziki wa mwambao. Siti alizaliwa Zanzibar, 1880 kwa baba Mnyamwezi & mama Mzigua wa Tanga.

CGPwYVqWcAAaIvO.jpg
 
Back
Top Bottom