Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
Hahaha, kumbe Waziri wetu wa fwedha kasoma Almeda University - USA.... Masalaleeee... Aibu tupu. Inakuaje sisi wadanganyika tukubali kutambua qualifications za watu wanaosomea uko US wakati serikali ya US imetoa tamko la wazi kwamba hawakitambui hiki chuo? Ama kweli sisi wadanganyika wote ni mambumbumbu.
Mimi naomba niwaulize wana jamboforums... Hivi hawa ndugu zetu wa usalama wa taifa huwa hafafanyi background checks kabla mtu hajapewa madaraka makubwa kama haya? Ni aibu sana kuona kwamba mtu anapewa madaraka ya uwaziri wa pesa wakati ana degrees za uongo.. Je mtamwaminije mtu kumpa madaraka yote hayo wakati yeye vyeti vyake ni bomu? This automatically Disqualifies him for his current post. Hayohayo yalijitokeza kwa waziri wqetu wa zamani wa Sheria. Hivi hadi waziri wa Sheria naye haoni aibu kubandika qualifications feki? Hivi haoni aibu kuitwa "DR" wakati yeye anafahamu kwamba she doesn't deserve to be called a Dr?
Hii Almeda University (according to Wikipedia - http://en.wikipedia.org/wiki/Almeda_University) ni unaccredited American University founded in 1997.
In Connecticut: According to the Connecticut Department of Higher Education, Almeda was ordered to cease operating in Connecticut in October, 2001. After an investigation in 2002 indicated that Almeda was continuing to advertise its programs in Connecticut, the Department of Higher Education sent Almeda a second cease and desist letter and referred the issue to the Connecticut Attorney General for possible legal action.
In Florida: In 2003 the Florida Department of Education made an agreement with Almeda to cease operating in the state. Although Floridians can still get a degree from the online university, Almeda warns Floridians that its degrees may not be valid for public employment in Florida.
In Texas: Almeda is also on the Texas list of "Fraudulent or Substandard Institutions", making it illegal to use an Almeda degree in Texas in an advertisement; to get a job, promotion, raise, license, or to get admitted to an educational program or to gain many positions in government.
Other states: Almeda's website also warns Almeda degrees may not be valid for public employment in Illinois, Oregon, New Jersey, North Dakota, Washington and Idaho.
Hivyo basi, mimi nafikiri waziri wetu wa fedha alitoa tamko la namna ile sio kwamba kafanya makusudi kuwadanganya wadanganyika ila ni kwa sababu haelewi what he was talking about. Mimi sio mchumi, ila mtu aliyeenda Almeda University kujifunza MBA hawezi kunidanganya kirahisi kwa kutumia materials za Almeda.
Duh!!!!
Mazee angalia pia thread yenye heading 'The case against Mustapha Mkullo' started by Game Theory kuna madudu mengine ya aibu kushinda hili if you thought this was the worst of it all.
The worst is yet to come.