Halafu huyu Pius Ikongo wala sio Mpentekoste. Ana wake wawili. Kaulize Kanisa la TAG Soweto Moshi watakueleza kuwa huyu ni muasi aliyeoa wanawake wawili. Aligombea ubunge mwaka 2010 katika kura za maoni CCM hapa Moshi mjini akatupwa nje. Kundi analolingoza la PPFT hawamjui sawasawa!Wakuu huyu mchungaji lkongo hana tofauti na yuda ninazo habari zake nyingi tuu kwanza Ikulu ni kama nyumbani kwake jukwaa la wakriso kunawakati walikuwa wakimtumia kupeleka maamuzi yao kwa Rais kufika kule akawageuka akasema jukwaa la wakriso linataka 2015 ccm isishinde Bali wachukue dola wapinzani. Huyu ni mchumia tumbo tuition.