PPFT: Askofu Kakobe usitumie mwavuli wa dini kuhubiri chuki na uchochezi

Kakobe kaisha siku nyingi anakadi yake ya chama cha siasa ndiyo maana anakipigania kweli chama chake tangu aseme umeme hautawaka yalipovunjwa majengo yake kupisha upanuzi wa barabara lakini mungu hajamsikiliza amekuwa na chuki na serikali sana.

Umeme pale kwa ASKOFU KAKOBE mwenge haupiti,PERIOD!!!
attachment.php
 
na jua ya kuwa makusudi yako haya wezi kuzuilika,(ayubu 42:2) ikiwa mungu amekusudia kuirudisha tanganyika,basi hakuna wakuzuia,
 
Wakuu huyu mchungaji lkongo hana tofauti na yuda ninazo habari zake nyingi tuu kwanza Ikulu ni kama nyumbani kwake jukwaa la wakriso kunawakati walikuwa wakimtumia kupeleka maamuzi yao kwa Rais kufika kule akawageuka akasema jukwaa la wakriso linataka 2015 ccm isishinde Bali wachukue dola wapinzani. Huyu ni mchumia tumbo tuition.
 
Mimi niliposikia kauri ya kakobe kweli nikajua tayali kavuta chake sasa anatumikishwa kama punda aliyebeba mzigo.

Zipo habari za kawaida kuwa KAKOBE ni mwiba mkali kwa watawala na kwa kupitia hoja zake hawajawahi kuzitolea ufumbuzi.
1.Mwaka 2009/2010 aliyekuwa mhariri wa gazeti hilo la familia ya Kikwete Simon Mkina aliwahi kuandika habari namna Ikulu inavyo jichanganya katika Mgogoro wa suluhu la Umeme pale kwa Kakobe ,siku moja baada ya gazeti hilo kutoka watawala walimwita kupitia kwa Salva na kumuonya lakini Simon Mkini alionyesha msimamo kuwa anaushahidi na baadaye alifukuzwa hapo na akaamua kuendelea na gazeti la ----- hadio leo
2.Miaka ya 1990/2000 Waziri Ernest Mambo ya ndani alidanganya umma kuwa Kakobe anaiba dhahabu za waumini na kwamba anatumia uchawi kutoka Nigeria.Hoja hiyo ndio iliyomfanya Mrema wakati huo anavuma sana kufuatilia na kuona ni uongo mtupu.
Mrema alitofautiana na Waziri Ernest(ambaye ni marehemu) na kuleta mgogoro mkubwa kwa kuwa suala hilo lilikuwa linaendeshwa Kisiasa kuwalinda watala ikulu.
3.Baada ya Mrema kutoka CCM alipata ushauri wa kisiasa kutoka kwa KAKOBE juu ya ulinzi wa kura jimbo la TEMEKE na mbinu alizopewa na kuzitumia ziliangusha vibaya CCM temeke na Mrema akashinda eneo hilo amablo lilikuwa ngome ya CCM.
CHUKI YA KWANZA dhidi ya KAKOBE ilianzia hapo kwa kuwa amekuwa anatoa mbinu za kulinda kura na kudai tume huru ya uchaguzi
Sasa kama KAKOBE sio kitu kwa nini CCM iliangushwa TEMEKE??
4.Miaka ya1995/ 2000, CCM na serikali walikuwa na hofu kubwa juu ya nguvu ya KAKOBE na Mrema kwa kuwa hoja za Kako zilikuwa hazina majibu kwao.
(a)Mbinu ya kwanza ni kumuchafua KAKOBE kwa Kumfananisha na Kibwetere ili hali kibwere alikuwa na asiri ya kanisa Katoliki!!
(b) Hoja ya pili ilikuwa ni kusema Kakobe anaiba dhahabu za waumini,wakati hakuna hata mtu mmoja aliyelalamika na cha kushangaza wanaosema hivyo ni Waziri wa mambo ya ndani anayeongoza Jeshi la polisi
(c) Hoja ya tatu wakasema kwamba waumini wa Kakobe ni masikini .Hoja hii inajichanganya kwa kuwa huwezi kuwa masikini harafu ukawa na dhahabu!!
(d) Hoja ya nne wakema Kakobe ni tajiri . Hoja hii inajichanganya na hoja za hapo juu.
(e).Hoja ya tano wakasema KAKOBE ni mchunagaji sasa kwa nini anachanganya dini na siasa. Hoja hii nayo inajichanganya na hoja kwamba Kakobe ni Kibwetere!!
5.Migangani hii ya Ikulu ilipeleleke serikali kumwita KAKOBE kwenye kipindi cha Kitimoto huku vyombo vya usalama wakiwa wamepenyeza kwa wingi na waandishi wengi .
Mtu aliyekuwa anaendesha kipindi hicho ni Pascal Mayalla ambaye anafahamika kazi yake.Baadhi ya waandishi waliotumiwa kumshambulia KAKOBE ni pamoja na:
(i) Absolom Kibanda wakati huo anatumikia mtandao wa Kikwete,Rostam na Lowassa .Kumbuka Kibanda na Salva ni kundi moja Habari corp .
(ii) Glory Tesha wa gazeti la habari leo. Anafamika kwa kazi yake.
(iii) Shadrack wa habari leo anafahamika kila alichafanya
Kwenye kipindi kile cha Kitimoto alikuwepo pia Msafili Mtemela ambaye kwa sasa ypo CHADEMA na anafahamika kwa kazi yake.
Kwa kifupi ni kwamba KAKOBE alichana Maswali yote na kuanika Ikulu kiasi kilichopelekea PASCAL MAYALLA kuyumba na baada ya hapo waliamua kufuta kabisa Kipindi hicho na kupiga marufuku mkanda wa KITIMOTO hadi leo ni marufuku kusikilza hoja hoja za Kakobe .!!
Hatua ya pili ilikuwa kupiga marufu na kumunyima kabisa Kakobe nafasi ya kuongea na jamii na hata kumnyima haki ya kuanzisha TV yake na huo ndio mzizi wa Mgogoro wa Umeme uliokwama kwa KAKOBE.
Hatua ya tatu ni kufanya propaganda za kumutusi KAKOBE ili jamii imuone kama mwizi,ametoroka,Kibwetere na mambo mengi !
Mwaka huo 2000 CCM walitenga Zaidi ya 2bils kumukabili Kakobe pekee na watu maalumu walijichanganya kanisani kwake hadi leo wapo pale.
Aliyekuwa dereva wa Mrema alishafariki alielez ukweli kwa kuwa alikuwa upande wa pili.
6. Mwaka 2010 KAKOBE alitoa elimu ya mpiga kura na mkanda huo ulikuwemo humu. Baada ya mkanda huo kutoka watawala hawakupenda na hilo likaonekana kuwa KAKOBE NA SLAA ndio watu tishio kwa uhai wa CCM na kutengewa fedha kubwa kuwadhibiti.
7.Wakati wa mgogoro wa PCT na Ikulu walidhani kuwa Kaokobe hayupo na wakadanganya kuwa ametoroka lakini walipo ona ameibuka tena wakaanza kutetemeka!!

Mwaswali ya Msingi
1.Kama ikulu inampuuza KAKOBE kwa nini ilimuita kwenye kipindi cha Kitimoto??
2.Kama ikulu haina porojo na usanii kwa nini ilimwita Kakobe harafu walipiga marufuku kurusha kipindi hicho hicho tena??
3.PASCAL MAYALLA kwa nini umehusika kuficha habari kwa hoja alizo jibu KAKOBE??
4.Kama Ikulu haimuogopi Kakobe kwa nini wasimwite tena kwenye kipindi cha KIIMOTO aleleze juu hali ya siasa nchini?? Itisheni kipindi hiki harafu mtume tena watu mtaipata!!
5.Kama CCM haimuogopi Kakobe kwa nini wanatenga pesa nyingi kumufauatilia ,kununua wachungaji njaa na kumufungulia kesi ya porojo??

NB : Salva naukushauri uweke hadharani mkanda wa KITIMOTO ili jamii ijue kilichokuwemo na si kufanya porojo. Kuficha habari za jamii ni kukiuka sharia ya uhuru wa habari
 
USHIRIKA wa wachungaji wa Kipentekoste nchini (PPFT) umemtaka Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zakaria Kakobe, kuacha tabia ya kutumia mwavuli wa dini kuhubiri chuki na uchochezi kwa wananchi.

Akizungumza juzi wakati wa kufunga semina ya viongozi wa dini wa Mkoa wa Kilimanjaro iliyofanyika katika ukumbi wa Umoja Hostel, Mwenyekiti wa Ushirika wa Wachungaji nchini, Askofu Ikongo alisema kauli za Askofu Kakobe zimekuwa za hatari na zinaweza kuliingiza Taifa kwenye machafuko ya kidini.

"Nchi yetu imekuwa na dalili za viashiria vya kutoweka kwa amani na utulivu, kutokana na baadhi ya viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa na kuanza kutoa kauli za kuashiria uchochezi na kupandikiza chuki kwa waumini…sasa umefika wakati sisi viongozi wa dini hatuwezi kunyamaza kwani tutaonekana na matamko yanayotolewa kiholela kwa kutumia mwamvuli wa upentekoste," alisema Askofu Ikongo.

Alisema Askofu Kakobe amekiuka uadilifu wake, kwani Aprili 20 mwaka huu katika kanisa lake la Mwenge, alitoa kauli kuwa atapambana hadi Tanganyika irudi hata kwa kukatwa kichwa, kauli ambayo inadhihirisha ugaidi.

Askofu Ikongo alisema kauli kama hiyo haistahili kutolewa na mtumishi yeyote wa Mungu, kwani mtu mwenye uwezo wa kusema hata akatwe kichwa sio wa kawaida bali ni mtu aliye na mafunzo ya kujitoa mhanga kama gaidi.

"Tunasikitishwa na kauli za Askofu Kakobe ambazo zinaweza kuliletea Taifa machafuko ya kidini…siku ya Pasaka Aprili 20 mwaka huu aligeuza mimbari kuwa jukwaa la siasa, kwa kuhubiri uchochezi kwa kudai; kila mtu anayepigania kurudi kwa Tanganyika, ana Mungu ndani yake," alisema.

Kwa mujibu wa Askofu Ikongo, kauli hizo za Kakobe ni za kigaidi na zina nia ya kuvuruga amani ya Watanzania na kuliingiza taifa kwenye machafuko, ambayo yataharibu tunu iliyoachwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.

Alisema ni vyema viongozi wa dini wajikumbushe wajibu wao wa kuliombea Taifa, na kuwaongoza waumini wao kufuata yaliyo mema badala ya kugeuka sehemu ya kutumiwa na wanasiasa.

Akifunga semina hiyo Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Makiluli aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa huo Leonidas Gama, alisema inasikitisha kuona viongozi wa dini kutumiwa na wanasiasa, kwa kutoa kauli zinazowafanya wananchi kuhoji kama viongozi hao hawatumii dini kutekeleza malengo ambayo sio mema.

Alisema Serikali bado ina imani na viongozi wa dini, kwa wale wanaozingatia maadili na utume wao wa kuhakikisha amani iliyodumu kwa miaka mingi inadumishwa.

Aliwataka waumini kutowaunga mkono wanaotumia mimbari kuwa jukwaa la siasa kwa kutoa maneno makali yanayohatarisha amani na kupandikiza chuki miongoni mwa waumini na wananchi.
Chanzo: Habarileo.

[h=2]HIZI NI POROJO NA USANII WA IKULU YA KIKWETE[/h] Tarehe 19/2/2014 KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Sefue Ombeni, amepinga vikali madai yaliyotolewa na maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste nchini, kuwa Serikali imepuuza majina yaliyopendekezwa na makanisa hayo kwa ajili ya uteuzi wa wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana kwa niaba ya Balozi Ombeni, Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florence Turuka, alisema Serikali haikupuuzia kundi lolote lililoainishwa kwa mujibu wa Sheria ya Mabadiliko, kuwakilisha mapendekezo ya Bunge Maalum la Katiba.
Alisema walijaribu kutafuta mapendekezo ya makanisa hayo kwenye Kanzi Data ya Msingi
(Primary Data Base), lakini hawakuona chochote.
"Uchambuzi ulifanywa ili kubaini kama kulikuwa na mapendekezo kutoka Baraza kati ya mapendekezo 850 yaliyowakilishwa, lakini hakukuwa na taarifa za majina ya waliopendekezwa,"alisema Dkt. Turuka na kuongeza kuwa;
"Majina ya maaskofu watano walioshiriki katika utoaji taarifa kwa vyombo vya habari yalitumika ili kubaini kama wao pia walikuwa miongoni mwa waliopendekezwa."
Alisema utafutaji huu haukubaini kuwa Baraza lilikuwa moja ya taasisi zilizowasilisha
maombi. Alisisitiza kuwa hakukuwa na jina hata moja la viongozi wa Bara walioitisha mkutano na vyombo vya habari kutoa taarifa za kulalamikia uteuzi wa wajumbe kutoka Baraza hilo kwa madai kuwa wametengwa.
Mbali na hilo, alisema kuwa juhudi za Serikali zilijielekeza kutafuta endapo kulikuwa na mapendekezo ya kundi hilo. "Hata hivyo utafutaji haukubaini majina ya viongozi hao kuwepo katika orodha hiyo,"alisisitiza Dkt. Turuka.
Kwa mujibu wa Dkt. Turuka, kulikuwa na uwezekano pia Baraza liliwasilisha mapendekezo ambayo yalifika kwa Katibu Mkuu Kiongozi nje ya muda uliopangwa kisheria wa Januari 2, mwaka huu.
Alisema uchambuzi wa mapendekezo 52 ambayo yaliwasilishwa nje ya muda haukubaini kuwepo kwa mapendekezo kutoka kwa Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania. Alisema juhudi za Serikali katika kufuatilia uwepo wa mapendekezo kutoka Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste Tanzania hazikuweza kuthibitisha kuwa Baraza lilituma mapendekezo yake kama ilivyokuwa imeagizwa na Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
Kwa msingi huo, alisema tamko la Baraza la Maaskofu wa Kipentekoste kudai kuwa wamebaguliwa halina ukweli, kwani uchunguzi waliofanya haujathibitisha kuwa Baraza lilipeleka mapendekezo.
"Ni vyema Baraza likafanyia kazi kwa nini kama kulikuwa na mapendekezo hayakufikishwa kwa Katibu Mkuu Kiongozi (Dar es Salaam) au Katibu Mkuu Kiongozi (Zanzibar)...tunaamini kabisa kama mapendekezo hayo yangekuwa yamewasilishwa, Rais angechagua mwakilishi kutokana na mapendekezo hayo," alisema.
Alisema Baraza hilo kutokuwa na wawakilishi, lakini litawakilishwa vyema na wajumbe walioteuliwa. Hivi karibuni maaskofu watano wa Makanisa ya Kipentekoste waliitisha mkutano wa waandishi wa habari wakilalamikia mjumbe wao kutopata uwakilishi katika Bunge hilo la Katiba ambalo limeanza juzi.

UCHUNGUZI ULIOFANYWA NDANI HUMO HUMO UKAONYESHA KUWA MAJINA YA MAASKOFU FUATAYO YALIPOKELEWA KWA DISPATCHI NI KAMA IFUATAVYO:
(1) Leornadi Manyama(Mwanasheria PCT)
(2) Askofu Paul Shemsanga(PhD)
(3)Askofu Bathoromeo Shegha (PhD)
(4) Askofu Bruno Mwakibolwa
(5) Yohana masinga
(6) Rejoyce Ndalima
(7) Askofu Erick Mwambigija
(8)Askofu Banabas Mtombali (PhD)(Askof Mkuu TAG)
(9) Askofu Davidi Mwasota (PhD). (Katibu Mkuu PCT)
Vielelezo vyote viliwekwa bayana kwenye gazeti la Jibu la Maisha na mhariri aliweka bayana.Baada ya hayo kuwekwa hadharani Ikulu ikawaita Maaskofu wa PCT haraka ili wayamalize kwa kuwadanganya kuwa Raisi kikwete anashughurikia tatizo lenu na kuwataka wanyamze. Sasa uongo huu na usani huu umekuwa mkuu kuliko ule wa mwanzo na mbele huko kuna bomu!! Sasa kama Ikulu ipo makini ni kwa nini isiwaite maaskofu kabla ya kutoa tamko?? Na badala yake baada ya kuumbuliwa wanafanya hivyo kwa siri??? Kama Ikulu ina ubavu kwa nini isingepimana na Maaskofu kwa hoja ??? Njia ya muongo ni fupi, umesema huja ona majina harafu unadanganya kuwa Rais anashughurikia ?? hapo vipi??
CCM IMEKUWA INAKUMBATIA WANAJIMU NA MAJINI
LICHA ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na serikali yake kumkana, Mnajimu maarufu nchini, Sheikh Yahya Hussein, ameibuka na kusema kwamba hahitaji kibali katika kumwekea "ulinzi wa majini" mtu anayempenda - Rais Jakaya Kikwete.

Akizungumzia kauli za viongozi wa CCM na Serikali kwamba hawatambui "ulinzi wa majini" aliosema atautoa kwa Kikwete, Sheikh Yahya, amesema: "Sihitaji kibali cha yeyote kumuwekea rais wangu ulinzi wa majini."

Sheikh Yahya, ambaye amekuwa akitoa kauli tata kuhusiana na Kikwete hata kabla ya kampeni kuanza, alisema, jana, jijini, kuwa anachozungumzia yeye si uchawi wala ushirikina; bali ni mambo ambayo yapo na hayakwepeki.

"Kila mtu anazaliwa na jini. Hata Slaa (Dk.Willibrod Slaa, Mgombea urais wa CHADEMA) ana jini anaitwa Subiani. Nakwambia sihitaji kumshirikisha mtu katika hili," alisema Sheikh Yahya Hussein na kumkabidhi simu mwanae aliyejitambulisha kwa jina la Hassan, ambaye naye alisema;

"Sheikh alisema binafsi hahitaji kumshirikisha mtu katika hili. Serikali iendelee na ulinzi wake na yeye atatoa ulinzi wake. Mbona hao walinzi walikuwapo lakini akaanguka? Matatizo yale si ya kiafya. Sheikh anafanya kwa kuwa anampenda na hutasikia tena anaanguka."

Awali Sheikh Yahya alinukuliwa katika taarifa yake akisema kwamba atatoa ulinzi usioonekana kwa macho kumkinga Rais Kikwete ili mtu yeyote asijaribu kumfanyia ‘mchezo' wowote kama ilivyotokea Jangwani.

Sheikh Yahya alisema katika taarifa hiyo ya kuwa amefikia hatua hiyo kutokana na uchungu alionao kwa nchi na kwa Rais Kikwete anayempenda.

Kufuatia kauli hiyo, Dk. Slaa alikemea kauli hiyo na kusema: "Nchi haiwezi kuongozwa na uchawi. Haiongozwi na imani za watu, kila mtu ana imani yake, lakini tusifike mahali tukaongoza nchi kwa uchawi."

Alimtaka Rais Jakaya Kikwete kumkemea Sheikh Yahya kwa kauli hiyo iliyotolewa juzi Dar es Salaam, la sivyo wananchi wataamini mnajimu huyo anatumiwa na CCM kuleta hofu katika jamii.

Dk. Slaa aliwakumbusha wananchi kuwa mwanzoni mwa mwaka huu, Sheikh Yahya alisema mtu yeyote atakayegombea urais na Kikwete atakufa na kuongeza: "Sisi wengine ni majabali, hatuogopi kufa kwa ushirikina."

Tayari serikali imesema haihusiki na hoja ya ‘ulinzi' usioonekana kwa Rais Kikwete, kama ilivyotangazwa na Sheikh Yahaya.

Hata hivyo, Sheikh Yahya alisema hakuwa anazungumzia uchawi wala nguvu za giza, "bali majini ambao ni viumbe kama sisi, isipokuwa wao wameumbwa kwa moto na sisi tumeumbwa kwa udongo na wametajwa katika vitabu vyote vitakatifu vya Waisalamu na Wakristo na Mwenyezi Mungu amesema tushirikiane nao".

Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Kampeni za CCM, Abdulrahman Kinana, alisema Rais Kikwete ni muumini wa Dini ya Kiislamu, ambaye anaamini Mungu na hivyo hahusiki kwa vyovyote na kauli ya Sheikh Yahya.

Kauli hiyo ya Sheikh Yahya imeibua mjadala mkali; huku baadhi ya wananchi wakitaka uchunguzi wa kina ufanyike kuangalia kama kuna fedha za umma zinazotumika kugharamia masuala ya ushirikina.

Baadhi ya wananachi hao, wakiwamo viongozi wa dini, wamekemea tabia ya baadhi ya viongozi kukimbilia katika imani za ushirikina baadhi wakitumia raslimali za umma katika kugharamia imani hizo.

Rais Kikwete amepata kuanguka hadharani mara tatu; mara ya mwisho ikiwa ni wakati akizindua kampeni yake ya urais, hivi karibuni, katika viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam. Alipata pia kukiri hadharani kwamba alimsaidia Sheikh Yahya fedha za kwenda matibabuni nje ya nchi.

Gazeti la habari leo,Katibu Tawala,Mkuu wa Mkoa unganisha na huyo Mchungaji utapata jibu.CCM wasifikiri propaganda zao zitazaa matunda,Mtu akiwa na mawazo tofauti na Wewe siyon adui yako.Wanao kunywa Chai Ikulu tutawona wote nyakati hizi wawe Maaskofu,wawe Wachungaji,Wawe Mashehe tutawajua tu
 
Huyo Askofu njaa zinamsumbua..

Afadhali umesema maana nasikia huyo anayeitwa Askofu Ikongo bei yake anajulikana na kuvuruga jukwaa la Wakristo kwa kwenda kueleza kwamba jukwaa hilo lina lengo la kuitoa CCM madarakani na baada ya hapo hupewa fedhaa na kuandaa press conference za jukwaa hilo. Habari hizi ni kwa mujibu wa mwinjilisti mmoja anayezijua vizuri nyendo za askofu huyo njaa na maslahi.

Wala hana hadhi yoyote ya kuhoji fundisho la Kakobe ndo maana amepotosha hata mafundisho ya Askofu Kakobe kwa kumlisha maneno ambayo hakuyasema. Ikongo ni mchumia tumbo tu.
 
Endeleeni kujipoza tu na kauli nyepesi , ishatabiriwa na masihi wa Bwana mtaparanganyika kabla ya 2015 haijaisha..
 
USHIRIKA wa wachungaji wa Kipentekoste nchini (PPFT) umemtaka Kiongozi Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Askofu Zakaria Kakobe, kuacha tabia ya kutumia mwavuli wa dini kuhubiri chuki na uchochezi kwa wananchi.

Akizungumza juzi wakati wa kufunga semina ya viongozi wa dini wa Mkoa wa Kilimanjaro iliyofanyika katika ukumbi wa Umoja Hostel, Mwenyekiti wa Ushirika wa Wachungaji nchini, Askofu Ikongo alisema kauli za Askofu Kakobe zimekuwa za hatari na zinaweza kuliingiza Taifa kwenye machafuko ya kidini.

"Nchi yetu imekuwa na dalili za viashiria vya kutoweka kwa amani na utulivu, kutokana na baadhi ya viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa na kuanza kutoa kauli za kuashiria uchochezi na kupandikiza chuki kwa waumini…sasa umefika wakati sisi viongozi wa dini hatuwezi kunyamaza kwani tutaonekana na matamko yanayotolewa kiholela kwa kutumia mwamvuli wa upentekoste," alisema Askofu Ikongo.

Alisema Askofu Kakobe amekiuka uadilifu wake, kwani Aprili 20 mwaka huu katika kanisa lake la Mwenge, alitoa kauli kuwa atapambana hadi Tanganyika irudi hata kwa kukatwa kichwa, kauli ambayo inadhihirisha ugaidi.

Askofu Ikongo alisema kauli kama hiyo haistahili kutolewa na mtumishi yeyote wa Mungu, kwani mtu mwenye uwezo wa kusema hata akatwe kichwa sio wa kawaida bali ni mtu aliye na mafunzo ya kujitoa mhanga kama gaidi.

"Tunasikitishwa na kauli za Askofu Kakobe ambazo zinaweza kuliletea Taifa machafuko ya kidini…siku ya Pasaka Aprili 20 mwaka huu aligeuza mimbari kuwa jukwaa la siasa, kwa kuhubiri uchochezi kwa kudai; kila mtu anayepigania kurudi kwa Tanganyika, ana Mungu ndani yake,” alisema.

Kwa mujibu wa Askofu Ikongo, kauli hizo za Kakobe ni za kigaidi na zina nia ya kuvuruga amani ya Watanzania na kuliingiza taifa kwenye machafuko, ambayo yataharibu tunu iliyoachwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere.

Alisema ni vyema viongozi wa dini wajikumbushe wajibu wao wa kuliombea Taifa, na kuwaongoza waumini wao kufuata yaliyo mema badala ya kugeuka sehemu ya kutumiwa na wanasiasa.

Akifunga semina hiyo Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Kilimanjaro, Grace Makiluli aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa huo Leonidas Gama, alisema inasikitisha kuona viongozi wa dini kutumiwa na wanasiasa, kwa kutoa kauli zinazowafanya wananchi kuhoji kama viongozi hao hawatumii dini kutekeleza malengo ambayo sio mema.

Alisema Serikali bado ina imani na viongozi wa dini, kwa wale wanaozingatia maadili na utume wao wa kuhakikisha amani iliyodumu kwa miaka mingi inadumishwa.

Aliwataka waumini kutowaunga mkono wanaotumia mimbari kuwa jukwaa la siasa kwa kutoa maneno makali yanayohatarisha amani na kupandikiza chuki miongoni mwa waumini na wananchi.
Chanzo: Habarileo.

Huyu aliyetoa tamko hili hajitambui, ni mchumia tumbo tu! Kakobe alichokifanya ni kuuleza umma wa Watanzania uhalali wa Kuidai Tanganyika yao, na kwamba Katika Mpango wa Mungu Kuidai Tanganyika siyo dhambi.. ni Kibiblia Kabisa kuidai Tanganyika. Huyu aliyetoa Tamko hili ana maslahi fulani na wachumia tumbo wenzake ambao hawaitakii mema nchi yetu ya Tanganyika, na pia hana ufahamu wa Biblia... kama anataka kuelewa angemfuata Askofu Kakobe amfundishe Biblia.... Hongera Askofu Kakobe kwa Somo lile... Mimi nililifuatilia lote kwa makini sana...
 
Wakuu huyu mchungaji lkongo hana tofauti na yuda ninazo habari zake nyingi tuu kwanza Ikulu ni kama nyumbani kwake jukwaa la wakriso kunawakati walikuwa wakimtumia kupeleka maamuzi yao kwa Rais kufika kule akawageuka akasema jukwaa la wakriso linataka 2015 ccm isishinde Bali wachukue dola wapinzani. Huyu ni mchumia tumbo tuition.

Mbona unachanganya Kakobe na IKONGO wapi na wapi?
 
asilimia 99% ya watanzania ni watu WAOGA ndio maana serikali inawatafuta watu majasiri ambao ni hiyo asilimia Moja 1%,iliyobaki ya watu kama Askofu Kakobe,Dr Slaa,Mbowe n.k na hii asilimia Moja ni ya watu wenye uchungu na wenzao ambao bado wapo kwenye kifungo cha Uoga, tuunge mkono juhudi za watu HAWA
mfano Askofu kakobe kwa ujasiri wake bila woga alipambana na tanesco waliotaka kupitisha msongo wa umeme wenye madhara makubwa kwa wananchi wa mwenge na akashinda kwa taarifa tanesco waliangalia maslahi yao na si afya za wananchi
Askofu Kakobe utuombee na sisi vijana wa nchi hii tuwe majasiri tutakaoweza kudai haki zetu na za wananchi wenzetu kama mnavyofanya wewe na slaa.
n.k kwenye nchi hii isiyojali wananchi wake
 
Nilishawai kusema wanajiita watumishi wa mungu wakati hawajui miiko na wito wa kazi ya ni sumu kwa taifa changa kama hili ambalo watu ndo wanaanza kuifahamu siasa, KAKOBE mimi binafsi huwa si muelewi ni mtu ambaye ametuhumiwa kwa mambo mengi ya kishetani japo anajiita Askofu so anachokifanya hakijui.
 
kakojoe ulale mtoto wa kike wewe,ili umwelewe Kakobe inahitajika akili kubwa na si hiyo uliyoshikiwa lumumba.
 
"Nchi yetu imekuwa na dalili za viashiria vya kutoweka kwa amani na utulivu, kutokana na baadhi ya viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa na kuanza kutoa kauli za kuashiria uchochezi na kupandikiza chuki kwa waumini…sasa umefika wakati sisi viongozi wa dini hatuwezi kunyamaza kwani tutaonekana na matamko yanayotolewa kiholela kwa kutumia mwamvuli wa upentekoste," alisema Askofu Ikongo.

Alisema Askofu Kakobe amekiuka uadilifu wake, kwani Aprili 20 mwaka huu katika kanisa lake la Mwenge, alitoa kauli kuwa atapambana hadi Tanganyika irudi hata kwa kukatwa kichwa, kauli ambayo inadhihirisha ugaidi.
Askofu Ikongo alisema kauli kama hiyo haistahili kutolewa na mtumishi yeyote wa Mungu, kwani mtu mwenye uwezo wa kusema hata akatwe kichwa sio wa kawaida bali ni mtu aliye na mafunzo ya kujitoa mhanga kama gaidi.
Chanzo: Habarileo.
Ushabiki wako wewe mleta mada, huyo mchungaji na gazeti la intarahamwe... Kakobe hajawahi kusema maneno hayo!

https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=143981&stc=1&d=1394453148
 
Back
Top Bottom