PPF commercial tower Sam Nujoma road litakuwa jengo refu zaidi Afrika Mashariki

Siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu pale GOLDEN JUBILEE TOWER anafanyakazi DSE. Aisee ofisi yake ghorofa ya 18-20 sikumbuki vizuri, ina view moja balaa! Ukiwa huko juu unaona viwanja vya Gymkhana na bahari tu....view ya maana!
Nakumbuka kuna cku nilienda ubalozi wa korea ckumbuki ni jengo gani kuchungulia nje nilipata kizunguzungu na kujiona tyr nimeanguka chini cjui ni phobia au ushamba naogopa majengo marefu duh
 
Hamna jinsi... hata kama watahamia Dodoma bado investment kama hizi zitaendelea kubaki Dar es salaam! NSSF wamejenga shopping mall kubwa Mwanza lakini hadi kesho wanaitia wapangaji... now what about Dodoma ambayo is far less compared to Mwanza!!
Masahihisho ni LAPF
 
Nakumbuka kuna cku nilienda ubalozi wa korea ckumbuki ni jengo gani kuchungulia nje nilipata kizunguzungu na kujiona tyr nimeanguka chini cjui ni phobia au ushamba naogopa majengo marefu duh
Ubalozi wa Korea ,office zao zipo jengo la Golden jubilee towers
 
Nakumbuka kuna cku nilienda ubalozi wa korea ckumbuki ni jengo gani kuchungulia nje nilipata kizunguzungu na kujiona tyr nimeanguka chini cjui ni phobia au ushamba naogopa majengo marefu duh
Nafikiri ni humo humo, KOICA
 
Siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu pale GOLDEN JUBILEE TOWER anafanyakazi DSE. Aisee ofisi yake ghorofa ya 18-20 sikumbuki vizuri, ina view moja balaa! Ukiwa huko juu unaona viwanja vya Gymkhana na bahari tu....view ya maana!
Siku nimeenda kwenye mgahawa mmoja kule juu; nilipotoka tu nikatengeneza kibubu kwa ajili ya Penthouse za 711@Kawe ingawaje hata 1M moja haijafika!

Guys, hata kama zote zishachukuliwa plz msiniambie manake nitakuwa totally disappointed!
 
Halafu ule ni ukanda wa ma tetemeko kuna foreshocks nyingi sana kuna tetemeko linakuja kubwa
Osaka na Tokyo Japan ni miji ambayo iko kwenye very prone area to earthquakes, tena matetemeko ya maana sio hivi vidogo vya huko kagera au Dodoma. Licha ya hayo wameweza kujenga majengo marefu zaidi ya hilo la ppf, matetemeko yanapiga ila hayaanguki, tena vinaanguka vinyumba vidogo huku kwetu.

Kitu kikubwa ni standard stahiki za ujenzi ingawa na gharama inakuwa kubwa. Hivyo inawezekana Dodoma kujengwa ghorofa zaidi ya hilo.
 
We mpumbavu kweli manake usingekuwa mpumbavu ungefahamu hoja hapo sio TBA bali maagizo ya kisiasa ambayo yamefanya UDSM Hostels kupata cracks chini ya 1 year na wajenzi wakiwa hao hao TBA.
Pumbavu ni wewe hapo fara Mkubwa, unaejifanya you know everything and your thoughts are correct.
Kwa iyo kama hoja sio TBA ni maagizo ya ki Siasa, ulitaka TBA wapewe maagizo ya hiyo kazi na nani ili kwako wewe pumbavu isiwe siasa.
 
Huo urefu sija-quote Wikipedia. Bad enough natumia cm and am on trip kwahiyo cwez tafuta source. Na kwenye source wameweka into ft ambayo in meters ni 133.XX na hiyo 135 nimefanya approximation
160+
Architech mwenyewe kasema
 
Pumbavu ni wewe hapo fara Mkubwa, unaejifanya you know everything and your thoughts are correct.
Kwa iyo kama hoja sio TBA ni maagizo ya ki Siasa, ulitaka TBA wapewe maagizo ya hiyo kazi na nani ili kwako wewe pumbavu isiwe siasa.
We ni lipumbavu tu shenzi taipu!!! Eti najifanya I know everything; wapi nime-claim najua kila kitu? Ju'ha wewee
 
Back
Top Bottom