PPF commercial tower Sam Nujoma road litakuwa jengo refu zaidi Afrika Mashariki

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
Hello hili jengo la PPF barabara ya Sam Nujoma road nafikiri ndio litakuwa jengo refu zaidi Africa Mashariki

Plan ya jengo na ilipofika sasa. Kwa sasa imefika floor ya 34 na bado inaenda juu.

b31d844388f2e34e99ce251e65966926.jpg
IMG_20180102_231151_935.JPG
 
Hello hili jengo la PPF barabara ya Sam Nujoma road nafikiri ndio litakuwa jengo refu zaidi Africa Mashariki

Plan ya jengo na ilipofika sasa. Kwa sasa imefika floor ya 34 na bado inaenda juu.

View attachment 666792 View attachment 666797
Sema Tanzania sio Africa mashariki mana Kenya tayari wana britam tower at 200m ,napia Kenya wanajenga pinnacle tower 70floors at 300m+ kwahiyo ppf litakuwa tallest in tz labda wapite britam. Pia nikitazama juu ya jengo hill naona wameshafika floor ya mwisho ambayo ni 35 saw a na pspf towers
 
Huu mjengo nimekuwa nikijiuliza kila mara nikipita pale Njia panda ya Sinza Makaburini, ni wa nani? Hatimaye nimejua leo. Maana ukipita ukiwa kwenye chombo cha usafiri, kile kibao cha permits hakionekani.
Zunguka nyuma ya jengo kuna geti kubwa wameweka kibao chenye details zote
 
Hello hili jengo la PPF barabara ya Sam Nujoma road nafikiri ndio litakuwa jengo refu zaidi Africa Mashariki

Plan ya jengo na ilipofika sasa. Kwa sasa imefika floor ya 34 na bado inaenda juu.

PSPF commercial tower Sam Nujoma road litakuwa jengo refu zaidi Afrika Mashariki

Tuamini kipi kati ya heading na kilichomo
 
Back
Top Bottom