Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,129
Kwani airport imejengwa na tba.hawahitaji maagizo ya kisiasa bali wafanye professionally,kazibeni ss exp joint,hayo maagizo ndio yamepelekea kujenga airport ya kutua popo na bundi chato,mpanda,n hayo hayo yanafanya mnajenga electric sgr kwenda kubeba mawese na magunia ya dagaa kwa matrion ya shilling,and many more white elephant projects,stupid mind kabisaa
Alafu unajichanganya sana, sijui ni shallow mind, my goodness. Unasema hawahitaji maagizo ya kisiasa Bali wafanye professionally, my question is, ulitaka TBA wapewe maagizo na nani ili kazi yao ifanyike professionally.