Elections 2010 Postmotem: ccm propaganda?

Mchekechoni

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
279
19
Like many other fellow citizens,I received a string of sms on my mobile in the last week of the ended campaign, such as follows; 1)."Slaa ni mropokaji na mgomvi anatukana vyombo vya ulinzi na usalama. Anataka damu imwagike ili mradi aingie Ikulu. Tumkatalie kuigeuza nchi yetu Somalia." 2).".... Hana uwezo wala sifa ya kuwa Rais. Tumuepuke Slaa kama Ukoma. Tusidanganyike." and on the last night of the campaign from the President (himself?) "Mimi Jakaya M. Kikwete. Nakutumia meseji hii kukuomba kura yako kesho. Katika miaka mitano iliyopita, umenipa heshima kubwa ya kuwa Rais wa nchi yetu. Nakuomba unipe tena heshima ili niendelee...." sasa weweee ulipataga hizo msg, na ukafanyage...teh teh teh.!
 
hizo zilikuwa kampeni, ni kama CUF walivyokuwa wanafanya kampeni za nyumba kwa nyumba. kwenye siku ya kupiga kura ni wewe mpiga kura kuona nani anakufaa ili umpe kura. hivyo sms au mgombea kuja nyumbani hakulazimishi mimi au wewe umpe kura huyo mtu.

Kimsingi nilichofanya mimi ni siri yangu
 
Wananchi Tuwaulize CCM Pesa Wanazotumia Wanapata Wapi Kuweka Matangazo SMS? CCM Sio Kampuni Binafsi Kama Wananchi Tunavyofahamu, ni Chama Kinapata Pesa DOWANS, RICHMOND, BANK KUU na MIGODI ya TAIFA. Wananchi Lazima Kuwafukuza Hawa Wezi na Wanatumaliza. Hizi Kampeni za CCM Zinakubalika na Wajinga na Wasiosoma Tu. Mtanzania Mwenye Akili Zake Sijui Kama ATAKUBALI PUMBA KAMA HIZI.
 
Back
Top Bottom