popooooooooooo!

molely molly

JF-Expert Member
Nov 28, 2011
317
30
kuna jamaa alioa mke kutoka mbwise hajuiuume wala mapenzi usiku wa ndoa mke akauliza hii ni nini akaambiwa yaitwa popoo!halafu jamaa akaongeza ninayo mimi peke yangu hapa duniani cku moja jamaa akasafiri,aliporudi mke akamuuliza mbona jirani yetu MUSSA nae anayo popoo?jamaa akajua dah musa ashalabua mzigo kwa kujibaraguza jamaa akajibu nilikua nazo mbili nikampa musa moja mke wake akahamaki iweje umpe musa ile kubwa neene tamu na nzuri hivyo ubaki na hii ndogo nenda ukachukue popoo yako bwana :flypig:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom