Asilimia kubwa ya wanandoa hawana furaha. 80% kati yao either wanajutia or they wish for divorce

Analyse

JF-Expert Member
Jan 19, 2014
16,494
41,663
Ipo wazi kuwa katika mfumo rasmi wa maisha ya mwanadamu, huwa unahusisha pia muunganiko wa jinsia mbili tofauti (ndoa). Ila kwa kadri siku zinavyoenda, muunganiko huu umegeuka kuwa changamoto sana badala ya kuwa msaada kwa wawili hao, kama ilivyokusudiwa.

Now days migogoro imekuwa mingi sana kati ya wanandoa. Na mingi ya migogoro hii huanza kujitokeza miaka mitano baada ya ndoa. Wote kwa pamoja, ni mashahidi, maana tumezungukwa na watu wa karibu wengi sana ambao wanachangamoto hizi. Mimi nitawapa mifano michache kwa kirefu.

1. Huyu jamaa nilisomaga nae primary. Yeye ni muislam, alioa mwaka 2014. Pamoja na dini yake kumruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja, ila jamaa hakuwa na mipango hiyo. Yeye na mkewe wana watoto wawili. Mwaka 2019 shangazi wa mkewe aliugua ghafla, so mke wa jamaa ikabidi afunge safari kwenda kumuuguza mpaka alipopata nafuu then akarudi kwake. Tokea kipindi hicho, kukawa na safari za mara kwa mara za mkewe kwenda kwa shangazi yake huyo, na mara chache ikitokea ameenda siku za mwisho wa wiki, basi atalala huko mpaka jumapili ndio anarudi.

Sasa july mwaka jana, mke aliaga anaenda tena kwa shangazi yake. Aliondoka alhamis, kwa makubaliano atarudi jumamosi jioni au jumapili mchana. Sasa siku ya ijumaa, mumewe (mshkaji wangu) akaamua kwenda viwanja na washkaji wengine. Wakiwa wanapiga tungi, ghafla kwenye meza ya mbele yake akamuona mkewe, tena wakakutanisha macho kabisa. Mmoja kati ya jamaa alioenda nao kwenye hiyo club, anamfahamu mke wa mshkaji wangu so nae akawa ameusoma mchezo. Na kwavile anamjua mshkaji ni mtu wa hasira, akawahi kumshika. Kwenye ile meza ya pili, mwanamke alibeba pochi yake akakimbia.

Mwenye mke na rafiki yake, ikabidi wasogee kwenye ile meza aliyokimbia mwanamke. Kufika pale wakaongea kistaarabu kabisa. Pale ndio akaambiwa kuwa yule ni shemeji yao, demu wa rafiki yao ambaye muda tukio linatokea alikuwa toilet. Jamaa nae alivyotoka toilet, akakiri yule ni demu wake, pia akashangaa kusikia ni mke wa mtu, maana yupo nae muda mrefu na hajawahi kumwambia kuwa ameolewa.

Pale club hapakutokea ugomvi wowote, wakaondoka. Jamaa kurudi home, hakumkuta mkewe. Akampigia simu, hakupokea. Akamtumia msg kumwambia arudi home, mke akasema nikija utaniua, siwezi kuja. Jamaa akampotezea. Baada ya muda, mwanamke akadai talaka, jamaa akampa talaka 3 bila hata kupepesa. Ugomvi ukaibuka pale mwanamke alipotaka mali zote zigawanywe nusu kwa nusu, jamaa akagoma kutoa hata kijiko.

Mke akafikisha swala mbele ya sheria, jamaa akaitwa. Wakasikilizwa, then wakapangiwa kurudi siku nyingine. Walivyoondoka pale, kwavile jamaa anamawe ya kutosha, alimtafuta wakili aliyewekwa na mkewe, akampiga mpunga wa kutosha. Siku ya kesi ilivyofika, wakili akawa anamzungusha mwanamke, hadi ikabidi atafute wakili mwingine. Mchezo ukawa ni huo huo, mpaka mwanamke hela za kuweka wakili zikakata. Akaamua kwenda kwa sangoma.

Kipindi haya yote yanatokea, mshkaji wangu alikuwa kaanzisha mahusiano na mdogo wa aliyekuwa mkewe (shem wake), na huyo ndio alikuwa anampa jamaa mipango yote ya dada ake. Siku ambayo jamaa alikuwa home kwake na shem wake, shem alimpigia dada ake kumuuliza kama ameghairi wazo la kwenda kwa mganga, dada mtu akajibu kuwa kuna mambo alikuwa anaweka sawa, jumamosi ya wiki hiyo atampitia amsindikize waende wote. Siku ya kwenda kwa mganga ilivyofika, shem akawambia jamaa kuwa akifika kule atampigia simu then ataiweka cm kwenye mkoba, jamaa akipokea asiongee chochote, asikilize tu.

Na kweli shem alifanya hivyo, mimi na jamaa tukawa tumetulia sebuleni kwake tunaangalia replay ya mieleka huku tunaskiliza maongezi yao. Jamaa yangu ni mtu wa Kigoma, na kule wanasifika sana kwa ushirikina, ila mambo tuliyokuwa tunayasikia kwenye ile simu, jamaa alianza hadi kusweat. Maana request za demu zilikuwa nzito nzito tu. Yule mwanamke alinishangaza sana, kwani nilitegemea aombe jamaa apumbazwe ili yeye apate mali, ila hakuzungumzia kabisa habari za mali. Kwanza alianza kuomba jamaa afilisike, ila baadae akasema afanywe asiweze kudindisha tena au akikutana na mwanamke, pumbu zimbane hadi ashindwe kupiga shoo. Alisema vingi hadi mganga akamuuliza mbona huna msimamo? Unataka nini kati ya hivi ulivyotaja? Yule demu akajibu vyote., nikamuona jamaa yangu katoka kwenye sofa akakaa chini kwenye zulia. Baadae jamaa alishindwa kuvumilia, akakat simu. Jioni shem wake akampigia, hakuniambia in details nature ya mazungumzo yao maana nilishaondoka. Ila ninachokumbuka, kesho yake asubuhi, jamaa na shem wake walikuwa njiani kwenda kwa mganga yule yule. Nasikia shem wake alimshauri waende kwa mganga mwingine ili asionekane snitch, lakini jamaa aligoma akihofia pengine wanaweza kwenda kwa mganga mwenye uwezo mdogo alafu ikala kwake. Walirudi kwa yule sangoma, akampa mshiko wa maana, wakapangua yote yaliyowekwa jana yake.

Mpaka time hii naandika, hawa bado wanamgogoro na hauna dalili za kuisha vizuri.

2. Huyu jamaa ni msabato pure, sio mlevi wala sio mtu wanawake. Sina story nae kivile, ni mtu ambae maongezi yetu ni salamu tu. Huyu jamaa ameoa na ana watoto watatu, amejenga mjengo wake chanika, Dar esa salaam, kazi anafanyia maeneo fulani ya katikati ya jiji. Kazi anatoka saa 11 jioni, kila akitoka anapitia bar iko maeneo ya Mandela Road, akifika anaagiza maji na enerygy drink, ataperuzi simu yake mpaka mida ya saa mbili au saa tatu usiku kisha atawasha gari yake kuelekea home, kufika ni saa nne au tano. Akifika ni kula then analala. Na hii ndio ratiba yake almost every week. Watu wake wakaribu wanasema jamaa anawaambia anajaribu kupunguza muda wa malumbano, maana nyumbani kwake mbango hazijawahi kuisha.

3. Huyu ni mwanamke ambae kipindi fulani nilishawahi kuwa na mahusiano nae. Then tukaja kuachana peaceful tu baada ya jamaa mwingine kutangaza ndoa. Sikumind kwavile angeendelea kuwa na mimi, mpaka muda huu angekuwa hajaolewa bado, maana hatukuwahi kuweka plans hizo kati yetu. Aliolewa 2019 mwanzoni kabisa, ila now hana hamu kabisa na ndoa yake, maana vikao vya familia vya usuluhishi ni kila week. Maana mumewe anamkono mwepesi sana, huwa anamtwanga mara kwa mara. Nimeshawahi kukutana nae mara 3, na zote hizo nilimkuta mkono kaufunga na vile vimfuko vya kusupport mkono kama umeteguka, huku akiwa na plasta jichoni. Nampaga pole tu, sikuwahi kutaka kuongea nae in details yanayomsibu.

Lakini ukiachana na hiyo mifano mitatu, rudi humu humu JF, angalia threads zinazoanzishwa na wanandoa nyingi ni za kulalamika, na zinaelezea maumivu. Sio kwamba hakuna ndoa zenye furaha, zipo nyingi tu, lakini ukilinganisha na zenye migogoro, utakuta wengi wana migogoro.

Kati ya watu 10 waliopo kwenye ndoa, ukiwahoji utakuta 8 wanatamani kutoka au wanajutia uhamuzi wao

Kwa wanawake, ndoa ni security, kwamba wanafeel safe wakishaingia kwenye ndoa, ila upande wetu wanaume, ukiingia kwenye ndoa kwa kiasi kikubwa unakuwa umeuza your freedom. Na ndio maana ndoa nyingi zinaanza migogoro pale mwanamke anapoanza kufeel safety haipo au pale mwanaume anapoona his freedom is completely not there.

Sometime tunahisi kupendana ndio sababu pekee ya kufanya tuoane, lakini kiuhalisia factors zipo nyingi sana. Kuna mtu anaweza akawa anakupenda kwa dhati, lakini maswala ya mapenzi kwake sio kitu serious kivile. Kuna mwingine ni mvivu sana kutuma msg au kupiga simu, na hii unakuta anayo tokea hata kabla hamjakutana au kuoana. So ukioa/kuolewa na mtu wa hivi, unaweza ukakuta ukiondoka asubuhi no communication mpaka unarudi home au ukisafiri anakuwa kimya mpaka wewe ndio umtafute. Ukisema ukaushe, mtakaushiana hata wiki, kipindi hicho ww unakuwa na hasira, ila mwenzako yuko normal na hata hashtuki, anaona kawaida. Sasa ukimmind na yeye atamind then itaibuka migogoro. Au ukimsema, ataomba msamaha na kuahidi kurekebisha, then mambo yataendelea hivyo hivyo bila mabadiliko, mwishowe utachoka.

Kuna wengine ni wagumu sana kuomba msamaha, hata awe kakosea. Atakiri kuwa amekosea, ila neno nisamehe hutokaa ulisikie likitoka mdomoni kwake, na hata likitoka itakuwa ni kama anajilazimisha. Unakuta watu wa hivi, matendo yake yataonesha kuwa anajutia alichofanya, lakini hatokaa aseme neno samahani, ukishindwa kumuelewa, utahisi anakiburi then migogoro itaanzia hapo.

Sometime tujiulize, wewe hizo tabia ulizonazo imekuchukua miaka mingi sana kuwa nazo. Leo hii unakutana na mtu mwingine mwenye tabia zingine tofauti kabisa na zako, ila unataka afatishe unayotaka kwa 100/%, hivi upo serious kweli?

Wanaopenda ni wanawake, wanaume tunajifunza kupenda. Mwanamke hatembei na mwanamme kama hajampenda, ila kwetu wanaume ipo tofauti. Pamoja na hayo, UPENDO sio sababu pekee yakuwafanya muoane.

Haya yote yamesababishwq na utandawazi especially mambo ya 50 by 50 Kati ya wanaume na wanawake
 
Apo kwenye swala la mawasiliano ya simu umenigusa kabisa.
 
Andiko lako limeshiba ila hapo mwishoni mbona kama umeandika kinyume

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Unamaanisha paragraph ya mwisho kabisa? Sijaelewa huo ukinyume uko wapi, pengine utaweza kunisahihisha. Ila nilichojaribu kumaanisha ni kwamba, kupendana sio factor pekee ya kuwafanya watu waingie kwenye ndoa, kwamba vipo vingi ambavyo yafaa viwe considered.
 
Upendo ni neno pana sana. Kinacholeta matatizo kwenye ndoa nyingi ni aina ya mahusiano yaliyopelekea wawili kuingia kwenye ndoa.

Usioe au kuolewa sababu ya presha ya watu wanaokuzunguka. Usioe au kuolewa sababu ya uhitaji wa vitu au huduma kama kupikiwa, kufanyiwa usafi, sex na kufuliwa nguo sababu unaweza mlipa mtu yoyote akufanyie hayo kwa malipo

Oa au olewa sababu umepata mtu wa kukukamilisha, mtu ambae ili maisha yako yapate maana na yawe ya furaha na ndani ya nafsi yako huwezi kuishi bila yeye.

Oa au olewa na mtu ambaye mna mawasliano mazuri bila kujali msimu mnaopitia..... yaani mkipishana muwe na hali ambayo mnahitaji kuweka mambo yenu sawa bila kuchelewa. Mahusiano mengi yanavunjika sababu ya ego/jeuri/viburi vya kijinga.... ila kwa mtu anayeushika moyo wako mkikwazana mtaumia na hamuwezi acha siku iishe bila kuyamaliza

Mwanamke usiolewe na mwanaume mwenye pesa au mali peke yake; Olewa na mwanaume ambaye ana uwezo wa kukuongoza kiimani, kimwili na maisha kwa ujumla. Mwanaume mwenye kutosha kwenye nafasi yake anayekupenda na kukupa heshma ya mke. Mwanaume ambaye upo tayari kumsikiliza, kumshauri kwa staha na kumheshimu kama kiongozi mkuu wa mji

Communication ni kila kitu kwenye mahusiano iwe kwenye mipango ya familia, sex, ibada bila mawasliano mtashangaa kujikuta kila mtu yuko kwenye njia tofauti na mwingine

Analyse ukichunguza hata kwenye hizo ndoa ulizotolea mfano hapo utagundua kuna shida hizohizo na ndio zimewafikisha wahusika hapo walipo.
1.Mmoja kati ya wanadoa au wote wawili waliingia kwenye ndoa sababu tuu ya kuyatii mazingira yanayowazunguka ikiwa ni pamoja na watu wanaowazunguka, uhitaji wa vitu, na ili kushurtishwa na umri. Na sio kwamba walivutiwa na uwepo wa kila mmoja kwa mwenzie

2.Communication ndani ya ndoa ni shida nyingine inayovunja mahusiano. Mimi naamini natakiwa kuwa free kwa partner wangu, kushare nae feelings na mawazo yangu zaidi ya mtu mwingine yoyote. Sasa pale tunapoamua kutafuta furaha readymade sehemu zingine ndio inakua balaa kubwa.

Haina haja ya kuumia kuishi na mtu unayeona hakutoshelezi. Maana unaweza kuishia kujistress kwa kubeba mahusiano mawili, matatu wakati una uamuzi na uwezo wa either kuyajenga yaliyopo au kuyaacha kabisa kama umeona hayafai na kuanza upya
 
Unamaanisha paragraph ya mwisho kabisa? Sijaelewa huo ukinyume uko wapi, pengine utaweza kunisahihisha. Ila nilichojaribu kumaanisha ni kwamba, kupendana sio factor pekee ya kuwafanya watu waingie kwenye ndoa, kwamba vipo vingi ambavyo yafaa viwe considered.
Hapo uliposema wanaume huwa wanajifunza kupenda wakati mimi najua wanawake ndio wanajifunza. Ninachojua mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu huwezi kumbadilisha

Back
Top Bottom