tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,134
- 280
Ninaomba kutofautiana na mleta thread: Huyo bi dada ndo mwenye fedha zake, kijana akahofu kuagiza msosi wa nguvu na kusingizia kuwa alishakula home.
kuna mshkaji wkt tunasoma azania alitumia pocket money ya wiki kumnunulia ngamia (gals wa jangwani sec) zawadi na mazaga zaga. amerudi hosteli pale hana hela ya kula akawa anakula mihogo na kugongea misosi kwa washkaji wiki nzima maana hawezi enda hm kuomba tena hela
anataka cha uvunguni huyo!!!
Ndio maana wajane wa kiume ni wachache kuliko wanawake!Why men population will remain low forever......
This guy is taking soda while buying gal friend chapati 3, sandwich ya nyama na samaki wa kipande
View attachment 66023
Hivi ww na Preta hamuoni huyo mdada kashika sandwich....na kwenye sahani yake kuna michakula
wakati mkaka kwake ni kweupeeee, yuko na fanta tu
diet na soda??
Adha yote hii juu yanini?lol!
Mleta uzi ni mhudumu tu wa huo mgahawa hivyo yeye ndiye aliye wahudumia. Halafu huwezi amini jamaa alikopa!kama huyo sio wewe.....umejuaje hivyo vitu ndio vipo kwenye sahani......? mbona mimi sioni.....
really?!
Safi sana. Hiyo ndio dawa yake.Boflo, enzi za Twiga Hotel pale Roof Garden, kuna mdada nilimdate, wote tukaagiza vinywani na chakula, imagine enzi hizo Chicken masala ilikuwa na bei. You know what she didi? Alikula vijiko vitano tu.....eti nimeshiba. Sikumjibu kitu, nikavuta sahani nikala, and that was the end of our friendship. Nikaona huyu ni muharibifu tu, hafai.
Nanyonywa hadi siku hizi natoa unga badala ya maziwa
Hey Boflo Hebu Mjibu mkuu Preta Swali lake?Why men population will remain low forever......
This guy is taking soda while buying gal friend chapati 3, sandwich ya nyama na samaki wa kipande
View attachment 66023
Mkuu Preta mimi ninahisi huyu atakuwa ni Boflo sasa Udhaifu wake huyu Boflo anadhani ndio Wanaume wote tupo hivyo hahahahahahahh :laugh::clap2:kama huyo sio wewe.....umejuaje hivyo vitu ndio vipo kwenye sahani......? mbona mimi sioni.....
kama huyo sio wewe.....umejuaje hivyo vitu ndio vipo kwenye sahani......? mbona mimi sioni.....