Poor Men (Wanawake Wanatunyonya)

Unajuwaje kama jamaa kamkuta huyo demu hapo na yeye akaamua kum-join ??
 
waliongilia kwa sound za kujidai kuwa wanazo mwisho wao unakuwaga hivo,we unadhani ukiwa mkweli tangu
mwanzo hayo yangekwepo?

Kuna kijana ambaye hawajawahi kumkuta hayo? Fikiria scenario hii: Umemdondokea Kaunga na unataka kum-impress. Unamtoa out restaurant classic - wewe mwenyewe hujawahi kwenda na hivyo hujui bei za humo na una kama elfu hamsini ukijua zitatosha. Only baada ya kuingia unagundua zitatosha kwa Kaunga kula na wewe kunywa soda, so what do you do ili usiwe embarrassed mbele ya binti unaetaka kum-impress?
 
Kwa nini unatoa mfano wa Kaunga ??
 
Last edited by a moderator:
Kuna kijana ambaye hawajawahi kumkuta hayo? Fikiria scenario hii: Umemdondokea Kaunga na unataka kum-impress. Unamtoa out restaurant classic - wewe mwenyewe hujawahi kwenda na hivyo hujui bei za humo na una kama elfu hamsini ukijua zitatosha. Only baada ya kuingia unagundua zitatosha kwa Kaunga kula na wewe kunywa soda, so what do you do ili usiwe embarrassed mbele ya binti unaetaka kum-impress?
Mkuu mi nahangaika na viwango vyangu tu,na ninapoenda kutongoza mwonekano wangu tu utamwonyesha girl mi mtu
wa level zipi,akiridhika poa asiporidhika na mimi poa pia
 
jamaa anafukuzia penzi, na demu alivyo mshenzi akachukua mfuko wa zawadi akarudi ndani wala hakupiga nae stori. jamaa tulimtania sana kwa zaidi ya mwezi

Ngamia wa jangwani akampeleka jamaa chaka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom