Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,328
- 23,880
- Thread starter
- #21
Mwana ngoja nikupe majibu sahii, CCP ni Chuo Cha Polisi, na interview ni general kama ulivyoambiwa na wana JF, tell us about urself, how do u think u as a police U can help people in community? Na ni machache tu then sehemu ya pili ni kucheck ur health i.e HIV, na magonjwa mengine ya zinaa kwa akina dada kuna kupima afya including pregnance na tatoo.
Sure CCP ni MUHIMU no way na ni 6months. Nina uthibitisho pekeyangu na niliwaambia apa nilipotoka kwene interview kama mnakumbuka.
CHUKUA CHAKO POTEA, Teheee teheee jamani te he!
Aisee nimeshukuru sana mwana...its exactly what they were told..CCP ni lazima. na hivi intakes za huko zinakuwaga miezi gani na gani..kwa sababu hawakuambiwa labda ikipita wiki kadhaa hatujakupigia ujue hujachaguliwa. Am thinking, kama intake ya ccp ni June labda, na ikafika june hajaitwa, ajue hajapita..kuliko kukaa tu bila kuwa na definite answers.