Polisi yatembeza mabomu kwa wananchi Arusha

Inawezekana haya mabomu wanayolipua polisi yamekalibia ku-expire sasa wanajua hayana faida tena hata wasipo yatumia na pengine nimazoezi kumbe na sisi wanatupa shule....
kama wao wana mabomu na kila siku wanatupiga nayo acha na sisi tujifunze kuyatengeneza na kuyatumia harafu tuone...
 
Yaani polisi wetu ni zero. Raisi wa Interpol yupo nchini akiwapiga shule akina Said namna wanatakiwa wabadilike, huku Andengenye akiendeleza upuuzi wake dhidi ya wana-Arusha
 
Hii ni aibu kwani hapa ofisi za kilimo mkoa na kwa mkuu wa Wilaya watu wenye pressure lazima wakimbizwe hospitalini kwa sababu from nowhere mabomu yamerindima bila watu kuwa na taarifa na hii imeleta mtafaruku wa watu kukimbia ovyo. Sijui kwa nini polisi Arusha wamedhamiria kuvuruga amani kwani nasikia watu walikuwa wanamsindikiza tu mbunge wao ofisini Polisi wakaingilia na kupiga mabomu.

Yaelekea kwamba nchi hii ina MABOMU MENGI YA KIVITA NA HAYA YA KUTULIZIA GHASIA KIASI KWAMBA WANATAFUTA MBINU ZA KUYA DISPOSE KWA AIDHA KUYALIPUA MAKSUDI(Mbagala/GMboto)na KUWAPIGA NAYO WANANCHI!!!

Hivi haya majitu ya CCM na VIKARAGOSI vyao(POLISI+JWTZ) hawaoni UPEPO UNAOVUMA HUKO KASKAZINI MWA AFRIKA? Hivi hawa jamaa wanafikiri ni kitu gani kimewaondoa MADARAKANI Ben Ali(TUNISIA) na Hosni Mubaraka(MISRI) na sasa upepo umeingia kwa GADAFI mpaka YEMENI.

Hivi CCM na MAJESHI yake wanafikri WATANZANIA NI MAMBUMBUMBU sana hawawezi kuchukua uamuzi kama wa hao ndugu zao wa Nchi za Kiarabu?????

CCM,POLISI NA JWTZ TUMECHOKAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!
 
CHADEMA hawajamgusa mtu iweje Polisi wawashtue watu walioko maofisini namna hiyo. Nimeshuhudia mtu akiwa amebebwa kutokana na pressure kwani mabomu yamepigwa karibu naye naye alikuwa anajipitia zake wala hakujua nini kinachoendelea.

Mbaya zaidi mabomu ya leo yana mlio mkubwa kuliko nilivyozoea kusikia
 
Niliweka Thread ya jinsi ya kutengeneza Molotov Cocktail au Bomu la Petrol Mods wakaitoa. Kuna umuhimu wa wanachi kujua jinsi ya kujihami na hawa Police koko wanaofikiri kwa makalio yao badala ya kifikiri kwa bongo zao. Mods naombeni nirudishe ile ilimu!

nitumie mimi niweke kwenye action
 
Kinachofanywa na CCM ni kuuonyehsa umma wa wana-arusha kuwa wapinzani ni watu wa vurugu hivyo wasiwachague. Dalili za mtindo huo zilianza kujionyesha mwanza ila yaelekea mkuu wa Polisi Mwanza ameenda shule na anajitahidi kuchuja mashinikizo ya CCM! Jambo nisilolifahamu ni kwamba; atachuja hadi lini? Wa Arusha alishaamua kubeba kila agizo la CCM!!.
 
Hii ni hatari CDM waachane na hiyo issue!!
Mkuu TUKUTUKU nia ya hawa watu ni kama unavyosema CDM waachane na hiyo isue!!! Hapo mimi natofautina na wewe maana nia ya hawa watu ni kuikatisha CDM tamaa.
Lakini nawaambia hakuna kugive up hadi kieleweke!!!! Meya halali ARUSHA lazima apatikane!!!!!!!!! Wangoje uamuzi wa mahakama!!!
 
Wanaprogramu ya kuyapunguza ili yasilipukie kwenye store.

Jamani nauliza - hivi hao polisi wanaishi uraiani au wako kwenye baracks??? kama ni mtaani - wana ujasiri gani kufanya hivyo????

Jamani hivi hao polisi na huyo mkuu wao - wana familia???? hivi na familia zao pia zinawaunga mkono - wakirudi wanawapa "pole ya kazi???" na kama ni wanaume wananawishwa mikono wale chakula" -----------oh! am just thinking loud!!!!!

SIONI KAMA NI WANADAMU WA KAWAIDA ................. HOW CAN THEY ACT LIKE HOOLIGANS??? WANAPATA FAIDA GANI??? WAKATI WANAYEJIPENDEKEZA KWAKE YUKO ZAKE IVORY COAST ANAKULA KUKU KWA MRIJA NA KUCHEKA CHEKA OVYO.................WAO............WANASOTA .....AU HIZO UNIFORMS WANAZOVAA NA VILAND-ROVER VILIVYOCHOKAA NDIO WANAONA WAMEFIKA???

NDIO AMBAO WAKISTAAFU - WANAKOSA HATA PA KWENDA KWA LAANA ZILIVYOWAJAA - BADALA YA KUWA WATU WA AMANI NA KUFIKIRIA YA KESHO - KAZI KUPIGA WATOTO WA WENZAO MABOMU - SIJUI YA MACHOZI ..........SIJUI YA MOTO........................I HATE ALL POLICEMEN IN THIS COUNTRY OF TANZANIA!!!!!! ITS HIGH TIME WE TOOK ACTION - JAMANI - PEOPLES POWER INAHITAJI - TUWANG'OE HAWA MAJASUSI WA NCHI YETU - CCM NA JESHI LA POLISI
 
Hawa polisi wajaribu kuwa reasonable kidogo. Kwa maelezo ya wanaArusha inaonekana hakukuwa na ulazima wa polisi kutumia mabomu ya machozi. Badala yake wangehakikisha tu hakuna uvunjifu wa amani. Ni matumizi mabaya ya nguvu za kijeshi. Kwa nini polisi wetu hawataki kujifunza? Hata siku tutakayoandama kwa lengo la kuung'oa utawala dhalimu wa CCM watapaswa kutulinda tu na sio kutupiga mabomu wala risasi. Lazima polisi wetu waelewe maana ya NGUVU YA UMMA!
 
Me Nadhani Police nao sasa wajifunze pia kutumia sheria kama wao wamemwona mtu anaandamana bila kibali mwacheni afike huko aendako baada ya hapo wakisha twawanyika basi mwamfuata na kumshika bila shida sasa nyie mwenda rusha mambo ya machozi ili iweje sasa hamjifunzi hata ya huko kwa wenzetu Misri walifika muda wakaacha maana ni kesi hizo mwajiandalia msitegemee utakaa hapo kwa hicho kiti mpaka kufa jamani mkono wa sheria utumike na sio kulipuana mabomu khaaa
 
Niliweka Thread ya jinsi ya kutengeneza Molotov Cocktail au Bomu la Petrol Mods wakaitoa. Kuna umuhimu wa wanachi kujua jinsi ya kujihami na hawa Police koko wanaofikiri kwa makalio yao badala ya kifikiri kwa bongo zao. Mods naombeni nirudishe ile ilimu!

The timing was not ripe, sasa ndiyo wakati muafaka. Please ibandike tena
 
Kwani bado hawajatoa taarifa yoyote kwa nini wamefyatua mabomu hayo?
 
People's minds a frustrated but there will be hell to pay once even people's souls are frustrated. For a frustrated soul is like a dead soul and a person with a dead soul has nothing to lose.

Poleni wakazi wa Arusha na wananchi wote kwa ujumla. Tuna zidi kusubiria updates.
 
Kwani watu wakitembea shida iko wapi? Tatizo polisi wamekariri, na wanachoambiwa wanafanya bila hata kujali kwamba kuna uvunjifu wa amani au la.

Siku ya siku watajua kwamba wanatumika vibaya!
 
Back
Top Bottom