Waliopo Arusha tupeni data zaidi
Extremely low!Wananchi wakishayazoea sijui wataanza kutumia risasi za moto? Vitu vingine havina sababu ya kufanyika, I did not expect this
Leo ilikuwa ni siku ya kesi ya chadema. Baada ya kesi kutajwa na kuahirishwa mahakamani wana CDM Wakiongozwa na mbunge wa Arusha mjini Lema walitembea kwa maandamano wakiwa wanaimba "hatumtaki meya" na walipofika karibu na ofisi za manispaa polisi wamewatawanya kwa mabomu ya machozi.