Polisi yatembeza mabomu kwa wananchi Arusha

Arusha tushayazoea mabomu ya machozi siku nyingiiiiiiiiii!!!!!!
kwa hiyo kuyalipua ni kama vile unarusha pulizo.

Arusha kwa sasa tunafanya mazoezi ya kuzoea risasi za moto, tena zile za AK 47.
 
CHADEMA hawajamgusa mtu iweje Polisi wawashtue watu walioko maofisini namna hiyo. Nimeshuhudia mtu akiwa amebebwa kutokana na pressure kwani mabomu yamepigwa karibu naye naye alikuwa anajipitia zake wala hakujua nini kinachoendelea.

Mbaya zaidi mabomu ya leo yana mlio mkubwa kuliko nilivyozoea kusikia


Acha waendelee kutuchokoza.
CHADEMA ni wastaarabu sana hujapata kuona.
Iko siku ustaarabu utatoweka nchi nzima
 
Hao polisi wanaendelea sifa kwa mafisadi huku wanaumia njaa kama sisi. Ngoja siku wananchi wakiwageuzia kibano.
 
Walikuwa na ruhusa ya kuandamana au ndio kundi la wajanja waliotaka kupora watu kwa kutumia mgongo wa Chadema?
 
Back
Top Bottom