Polisi yatembeza mabomu kwa wananchi Arusha

Serikaliya CCM inahitaji watu kama kina LeMA wengi tu

Wasomi wanatumi na nadharia za vit darsani abu tu hawaiwezi CCM hawawezi.

Wamejaribu kina lipumba, Slaa CCM wanafanya mzaha tu.

So a mixture of both wasomi and the likes of LEMAs ndio italeta mabadiliko.
Until tukifikia kama tunavyoona kwenye bunge la kenya. Maana kulekenya hata wasomi sometime wanaweka usomi pembeni . am sure u know why this happen?
umeshawahi kuandamana naye?
 
Sitashangaa. Lema amezoea kufanya vitendo vya kihuni.

Hajui kuwa yeye ni mbunge na ubunge una heshma zake.

Mshaurini aache usanii katika siasa. Arudi shule, hajachelewa sana.

Vitendo vya kihuni ni vitendo gani tena? Mbona Raila,Nyerere,Kagame,Martin Luther King wote waliandamana. Wewe leo unasema kwamba ubunge unaheshima zake. Hauoni kwamba hata hawa watu walifanya kitu cha maana? Mabadiliko yalikuja kwa sababu ya wao kua fromtline ya maandamano ya namna moja au nyingine.

Tuacheni mambo ya ushabiki sometimes kwenye mambo serious. Wamepigwa mabomu bila sababu na hawa vijana wakiamua kuongea wataitwa wahuni na waleta vurugu.:A S 112:
 
KWA HABARI ZALIZOFIKA PUNDE NI HUKO ARUSHA LEO NI ILE CASE YA CHADEMA. MABOMA YANARUSHWA NA POLISI KAMA KAWAIDA YAO
:peace::peace::peace:
 
Hakukuwa na lazima ya kupiga wananchi mabomu lakini indirect wanazidisha chuki kwa serikali iliyopo madarakani.
 
Poleni makamanda wa Arusha,
Hii ndo maana rais wa interpool kasema polisi waanze kujisafisha wenyewe ili waaminike na wana wa nchi.
 
Hivi tumepata funzo lolote kutoka nchi za Ki-Arab (Tunisia, Misri, Libya n.k)

Wananchi sina wasiwasi nao manake naamini wanajifunza jinsi ya kuondosha serikali zinazowakandamiza.

Wasiwasi wangu ni kwa hawa wana-jeshi (yaani polisi na JW) nao wanajifunza nini wanatakiwa kuwatendea wananchi?

Ikumbukwe ukatili wa polisi ndiyo ulipelekea kudondoka kwa Ben Ali na Mubarak na vile vile ukatili wa Polisi na jeshi kwa raia ndiyo utapelekea kung'olewa kwa Gadaffi na Mfalme wa Bahrain!

Polisi watch out! Hivi vitu vidogo vidogo ndivyo uwa mwanzo wa mambo makubwa.
 
Vitendo vya kihuni ni vitendo gani tena? Mbona Raila,Nyerere,Kagame,Martin Luther King wote waliandamana. Wewe leo unasema kwamba ubunge unaheshima zake. Hauoni kwamba hata hawa watu walifanya kitu cha maana? Mabadiliko yalikuja kwa sababu ya wao kua fromtline ya maandamano ya namna moja au nyingine.

Tuacheni mambo ya ushabiki sometimes kwenye mambo serious. Wamepigwa mabomu bila sababu na hawa vijana wakiamua kuongea wataitwa wahuni na waleta vurugu.:A S 112:
Tuache mizaha jamani kinachofanya hawawatu wasikae nakuongea ni nini!? mnaenda kusuruhisha nchi za wenzenu alafu nchini kwako unaacha moshi unafuka unategemea nini! Tunaweza kuzuia mengi zaidi kama ccm na cdm wakikaa arusha na kuyaweka haya mambo sawa! kwani hata kwenye hayo maendeleo ambayo woote tunayataka hivi yanawezekana bila kushirikiana!
JK SI LAZIMA UAMBIWE NA MATAIFA MENGINE UKASULUHISHE NDO UKUBALI SASA MIMI NASEMA KAYAMALIZE HAYA MAMBO ARUSHA KABLA HAYAJAFIKA PABAYA, HUWA YAANZA HIVYOHIVYO NA BAADAYE INAKUWA MBAYA ZAIDI!
 
Wanasaidia nguvu ya umma kujifunza namna ya kukabili mabomu ya machozi
 
Hakukuwa na lazima ya kupiga wananchi mabomu lakini indirect wanazidisha chuki kwa serikali iliyopo madarakani.

Me naanza kuhisi kitu kwa jeshi letu la polisi na lile jingine.....nahisi kama vile na wao hawaridhiki na Mkwere ila wafanyaje zaidi ya kutibua hasira za wananchi...wakati mwingine sidhani kama haya yote yana mkono wa Mkwere ila nahisi kama vile jamaa wanafanya makusudi kukera wananchi wachukie serikali.......

Mkwere kazi unayo na kwa sababu IQ yako ni ndogo kusoma alama huthubutu hata kuwaelekeza jeshi lako kitu sahihi......Za kupewa zinamatatizo, hata kufikiri vitu vidogo tabu
 
Lema needs to learn to be a leader and not a boy... si kila kitu ni maandamano na kelele.... kwa hili nampinga Lema, it was unnecessary kutembea na kundi la watu ukiprovoke matatizo

he can do better than that
A) why is he a boy? Kwa sababu alikua na kundi?
B) Unajuaje alikua ana provoke?

Ongea na watu waliokuwepo huko watakuambia ukweli. :A S 112:
 
Back
Top Bottom