Polisi wezi

Kifulambute

JF-Expert Member
May 8, 2011
2,539
755
jamani how comes serikali ikachukua mapato bila kutoa receipt? Polisi wameanzisha process za kutoa ID kwa wafanyakazi wa ndege, kwa mtanzania unatoa 13,000 na foreigners $25+11000 lakini pesa hizo zote ukitoa hupewi receipt.....huu ni wizi...nimetoka mida hii hapa Polisi Arusha na hawatoi receipt jamani weizi hawa!
 
Back
Top Bottom