AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,040
Habari wana jf:
ktk hali ya kustusha juu ya kifo cha mwenyekiti wa CDM usa river-Arumeru east, Kamanda wa polisi amesema kuwa kifo hicho hakihusiani na maswala ya kisiasa.
My take
iweje kamanda wa polisi Arusha atoe tamko juu ya kifo hicho cha kustukiza hata pasipo uchunguzi kukamilika wala kuanzwa, tena iwaje tamko hilo linalotofautiana na maelezo ya ndugu wa marehemu wanaosema kuwa muhusika alikuwa na maadui wa kisiasa walokuwa wakimpinga marehemu kuhusu uwepo wake CDM!!
source: ch10 saa1 jioni leo